Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu madai kama haya huleta maana kama yatasindikizwa na ushahidi aidha wa kidini au kisayansi.
Mwanaume anayejichua ni mwanaume dhaifu kuanzia mwili hadi afya yake ya akili.
Mkuu madai kama haya huleta maana kama yatasindikizwa na ushahidi aidha wa kidini au kisayansi.
Hakuna aliyefundishwa!!!Hivi Ni Nani huyo aliyegundua huu mchezo wa punyeto maana jamaa alizua balaa Kweli Kweli,dah!
Shukran, sasa msiwe mnabania mbususu mtanirudisha chaman jamaniUamuz mzuri
Ha ha haa,aiseeShukran, sasa msiwe mnabania mbususu mtanirudisha chaman jamani
Amina ndgu yangu.Mungu atakusaidia mkuu.
Unapenda mizozo isiyo na tija kijana. Stress za kukosa Hela tafuta pesa. .Mmh hyo namba 4 mbn catholic huko vatican wameiruhusu
kumwaga njee + kupiga nyeto + kutumia kondom = taratibu za kuepusha jinsia ya kike kupata mimbaNdiyo, utouti ni wa wazi.
Mkuu ushawahi piga Punyeto?
Kama umewahi utagundua kuwa ili kufanikisha azma ile hauhitaji mtu mwingine, ni wewe na mikono yako.
Ushawahi fanya tendo la ndoa?
Kama umewahi utagundua kuwa ili ufanikishe unamhitaji mume.
Hiyo ni tofauti kubwa kabisa, suala la kumwaga nje nalifananisha na suala la kutumia Condom kwa maana Lengo yake huwa ni sawa.
Natumai nimekujibu vizuri.
Watu hua wanaacha wake zao kitandani wamelala wanaenda zao bafuni kupambana na Mrs. Sabuni.Daah yan ndo nmetoka kupga nyeto apa ila bola nioe aisee
Mkuu nadhani point kubwa ya Yesu hapo ilikuwa sio kutazama...point ni kutamani kuzini naye.....sasa kinachofanyika ktk nyeto...kule kuvuta hisia si ndo huko huko kutamani?...na ukumbuke nyeto inahusha uvutaji wa hisia tofauti tofauti...ikiwemo hiyo ya kutamani kuzini na mwanamke fulaniHiyo ni Matthew 5:28
“Lakini mimi nawaambieni, yeyote anayemtazama mwanamke kwa kumtamani amekwisha kuzini naye moyoni mwake.”
Halafu ushawahi piga punyeto?
Kama ushawahi utagundua ili ufanikishe hilo hakuna hauhitaji “kumtazama mwanamke kwa matamanio”
Unachohitaji ni “kufikiria na kuvuta hisia”
Na maneno ‘kutazama’ na ‘kuvuta hisia’ hayana maana sawa. (Natumai hii iko dhahiri hakuna haja ya kuyafafanua zaidi).
Niseme tu kuwa mstari ulionukuu haukuongelea Punyeto.
Na tena Nirudie kwa kusema katika biblia nzima hakuna mstari unaoongelea Punyeto, mstari pekee ulio karibu na maelezo kuhusu Punyeto ni ule wa kwenye mwanzo 38:1-10
Basi kwa statement hio nadhani 98% ya wanaume kwa Sasa Ni wadhaifu,tena hio figure yawezekana nimei-underestimate.
Mwanaume anayejichua ni mwanaume dhaifu kuanzia mwili hadi afya yake ya akili.
Kitu Cha Porn-induced erectile dysfunction(PIED) ndani ya nyumba.Daah ile sabuni ya jamaa nimeipigia sana nyeto na mafuta ya kula au babycare......
Bao la mkono lilikuwa tamu.....😂😂😂
Ila nimeacha wakuu nyeto noma....
Kuna dogo hawezi kupiga mzogo hadi abusti na vitu aseee.....
Nmepunguza kuangalia porno, nmejiepusha kukaa chumban pekeangu na mda nkiwa pekeangu bas ntakuwa naangalia movie au kucheza gameHongera kwa hatua hiyo mkuu
Tafadhali ‘share’ nasi mbinu ulizotumia kuacha
Mkuu umenena vyema sana...nami pia nafahamu nyeto ni dhambi kwa sababu hizo hizo ulizozitaja ww.Ili kujua punyeto ni dhambi au sio dhambi, ni lazima tujiulize nini kinapelekea mtu anafanya punyeto; maana dhambi haianzii mwilini, bali dhambi inaanzia rohoni. Ndio maana Bwana Yesu alisema..
Mathayo 15:18-19 “Bali vitokavyo kinywani vyatoka moyoni; navyo ndivyo vimtiavyo mtu unajisi.
Kwa maana moyoni hutoka mawazo mabaya, uuaji, uzinzi, uasherati; wivi, ushuhuda wa uongo, na matukano."
Hivyo, kabla ya kutaka kufanya tendo lolote la zinaa, huwa linaanzia kwanza moyoni, kwa kutamani. Pale unapotamani tu, tayari umeshazini kabla hata ya kukutana na yule mtu kwa mujibu wa maandiko.
Mathayo 5:28 “lakini mimi nawaambia, Kila mtu atazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake”.
Kama ‘wazo’ tu ni dhambi, si Zaidi ‘tendo la wazo’?
Hivyo, kujichua ni dhambi, kwa sababu hilo ni zao la tamaa ya uzinzi. Na haupaswi kufanya kama mtoto wa Mungu, kwasababu wote wanaofanya wanatenda dhambi
Ukiwa mfanyaji wa dhambi hii, wewe mwenyewe tu dhamiri yako itakushuhudia unachokifanya sio sawa, bila hata kuhubiriwa au kusoma biblia.
Kabla hujafanya chochote, tafakari kwanza, Je! Yesu anaweza kufanya hilo jambo? Kama hawezi basi, ujue ni dhambi.
Mkuu; Biblia inatuasa kuzishinda tamaa za mwili.na akaamua kupiga nyeto kwa kumvutia hisia (Kumtamani) mke wake wa ndoa.....hapo punyeto yake itahesabika ni dhambi au siyo dhambi?