Punyeto ni mlango wa Roho chafu

Leviathan humuingia mtu pale anapopiga punyeto, kwa unapofanya hii dhambi Basi tambua umemfungulia mlango mwenyewe
Pia Leviathan sio Unclear spirit. Ujue kuna unclean spirit, kuna demons, evil spirit, fallen angel, wicked spirit etc .. somo lako zuri sana goja nilifanyia kazi..
 
Pia Leviathan sio Unclear spirit. Ujue kuna unclean spirit, kuna demons, evil spirit, fallen angel, wicked spirit etc .. somo lako zuri sana goja nilifanyia kazi..
Ni pepo kama pepo wengine ,
Inaongea na Ina style yake ya kutembea kama mawimbi(moves za nyoka)
 
Kwa spirit of Leviathan mwanangu umetulisha chai.. Leviathan hausiki na mambo yanayo husu sex.. huyo ni pride ndio mahala pake.. roho zinazo husika na masta ni kama ashtoreth, tonodo, jebezebel , baadhi ya marine spirit..
Mnatuchanganya sasa Wapiga Punyeto wa Kutukuka. Je, tushike lipi sasa na tumuamini nani?
 
white man wameshafanya research zao...

Majibu Yao ni tofaut na yako...

All in all watu waachane na uraibu wa punyeto
Maana inasemekana ni kama uraibu wa heroine...
Sigara hata pombe πŸ€“πŸ€ 
 
Hapo kwenye namna ya kupona napingana na wewe kwenye baadhi ya mambo.

1. Katika ulimwengu wa leo mawazo ya ngono huwezi kuyakwepa asilani. Labda uamue usimiliki simu ya smart (usipate internet connection, usiingie kwenye social media etc.). pia ujifungie huko mashambani usionane na hawa wanatutega mabarabarani, mijini na maofisini hata kwenye nyumba za ibada wamejaa wengi wanatingisha matako tuu.

2. Unaposema akina TB Joshua na wengine wana uwezo wa kutoa hizo roho hapo unatulisha matango pori. Mwenye uwezo ni Mungu pekee na wewe unachotakiwa ni kumuomba Mungu akuepusha na majaribu. Hiyo ni kazi ya Roho mMtakatifu. Vinginevyo wewe utakuwa mfuasi wa Mwamposya na wapiga dili wengine kama hao.
 
Maisha Ni kuchagua
Na unalolifanya leo , ndio matokeo ya kesho
 
Kila mtu abebe msalaba wake.. kama ukiweza kupiga nyeto bila kumwaga mbengu chini, haina madhara yoyote na sio dhambi.. πŸ˜…πŸ˜…
Mkuu Wapiga Nyeto wa Kutukuka ( Nikiwawakilisha ) tunahitaji Ufafanuzi wa Kina hasa unaposema Nyeto tupige, ila Mbegu zisitue chini. Kwahiyo tuzidake zikiwa zinakaribia kutoka Mboloni Kwetu au tuziwekee Bakuli kwa Chini ili Jini asizidake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…