Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Hongera kijana mana nyeto ni hatari sana Mungu akusaidie mana nyeto ni pepo mchafu na ameshindwa
 
hivi ulijuaje km engineering students wanapiga sana punyeto??

vipi umeacha kuangalia na porno?
 
Hongera kijana kwa maamuz magum m nilianza nikiwa kidato cha nne mwaka 2005,mpaka nimeiacha mwaka 2012 nikiwa chuo kikuu mwishon mwa mwaka niliapa kutoingia mwaka 2013 na tabia mbaya za miaka ya huko nyuma,NAICHUKIA PULI,ila mdogo wangu automatically utajikuta Unasaka demu kwa nguvu na Utampata!HONGERA KARIBU KWA WASTAAFU!
 
heshima kwenu ndugu zangu katika jukwaa hili.
nianze moja kwa moja mimi ni kijana wa miaka 24 nipo chuo mwaka wa tatu(civil engineering) mnamo tarehe 13/04/2014(jumapili saa nne hivi usiku niliipa talaka tabia ya kujichua na kujiwekea moyoni na kuingiza hisia za kuichukia zaidi(japo hii siku niliitenga kwa kupiga sana punyeto nakumbuka nilitumia mda mwingi kupiga lengo likiwa ni kuagana nayo),,ukweli ni kwamba mpaka ninapo andika uzi huu nikisikia mtu anapiga punyeto naumia sana kwa sababu ni moja kati ya adui niliyetangaza nae uadui wa maisha..hivo nilifanikiwa na kwa kweli hata ile hamu tu iliniisha na wala huwa siiwazi tena(niliamua kufanya tendo la kiimani ),,,kubwa zaidi niliandika hata maombi ya kuivunja hii laana kwani kwangu niliichukulia kama ni laana, haiwezekani mda wote nilikuwa natamani kupiga punyeto.
KWA HAKIKA NINASHUHUDIA USHUHUDA HUU NIMEACHA NA SIO KUACHA TU BALI NIMEICHUKIA,,na moja kati ya ombi langu kwa mungu hii tabia ikae mbali na mimi.
sasa ndugu zangu ushauri ninaouomba ni kwamba
1.najua kuna watu wamebarikiwa kuwa na madawa mengi na mbalimbali kwa ajili ya kutibu maradhi mbalimbali baraka hizo pengine ni kutoka kwa MUNGU.lakini hao kwa sasa naomba wasinisaidie kutumia dawa hizo ila ninachoomba...NI VYAKULA GANI VYA ASILI KUTOKA MADUKANI AU MASHAMBANI NAWEZA KUTUMIA ILI KUIMARISHA MIFUPA KATIKA UUME WANGU?(ikumbukwe isiwe dawa iliyotengenezwa hata kama ni kiasili bali nahitaji chakula ambacho chaweza kuwa ndio chai yangu,kinywaji changu na chakula changu)...
MWISHO;wanafunzi wengi hasa kwenye fani za engineering wamekuwa adicted na tabia hii ni vema tukaamka sasa na kuitokomeza
natanguliza shukrani
nawasilisha

Mkuu green hapo, embu niweke sawa. Kwani uume una mifupa?
 
inapendeza sana....
tiba! chukuwa tikiti,barachichi,karoti tengeneza juic usiweke maji wala sukari kila siku glas moja walau kwa wiki mbili, pia jitaidi sana kufanya mazoezi ya viungo.
 
nawashukuru wote mlionipa mawazo mazuri,,nitayafanyia kazi pia nitarudi tena kutoa ushuhuda
 
hats hapa ulipo maliza kuandika huu uzi hujapiga kimoja kweli! hongera kwa kuacha puli
 
Hongera sana, lakini jitahid pia kuepuka mazingira yanayopelekea mtu kupiga puli (mfano kuangalia porn) maana ukiendelea nayo hutadumu soon utajikuta umerudia
 
Vizur kijana, sisi wengine hatuwezi kukiua chama cha CHAPUTA ni dhambi,tunasikitika kukupoteza mwanachama.Ss nenda kafe na ngoma maana lazima utataka uiguse yenyewe.

Mkuu unasimamia vidole vya minguu tumechoka
 
Wataalamu wa masuala ya tiba wanaeleza sana kuhusu madhara ya punyeto, lakini hawatoi maelezo ya kutosha kuhusu tiba sahihi inayoweza kumrejesha mtu katika hali yake ya awali baada ya kuathirika na punyeto.
Tiba yake ni ipi hasa.
 
Back
Top Bottom