Wataalamu wa masuala ya tiba wanaeleza sana kuhusu madhara ya punyeto, lakini hawatoi maelezo ya kutosha kuhusu tiba sahihi inayoweza kumrejesha mtu katika hali yake ya awali baada ya kuathirika na punyeto.
Tiba yake ni ipi hasa.
TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME






[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]PILIPILI[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


Punyeto ( kwa wanaume ) ni kitendo cha mwanaume, kujifikisha mwenyewe kileleni kwa kujichua uume hadi kumwaga mbegu za kiume. Uchunguzi unaonyesha katika watu wa jinsia ya kiume kumi wenye umri wa kuanzia miaka 16 hadi 45, angalau wanne kati yao wamewahi kupiga punyeto katika kipindi fulani cha maisha yao, na wawili kati yao wanajihusisha na upigaji punyeto. Uzoefu unaonyesha, asilimia kubwa ya wanaume wanao piga punyeto huanza katika umri wa kubalehe ( miaka 14-16 ), wengine huachana na tabia hiyo mara baada ya kupata wapenzi wa kike ama kuoa na wengine huendelea na tabia hiyo hata baada ya kuoa .

Zipo sababu mbalimbali zinazo wapelekea wanaume kupiga punyeto, ila kubwa kati ya hizo ni pamoja na kutokuwa na wapenzi, kutokuwa na wapenzi wanao kidhi vigezo vyao, kuwa katika mazingira yasiyokuwa na wanawake ( mfano katika shule za sekondari za bweni za wavulana tu ), kujiepusha na hatari ya kupata maambukizi ya v.v.u nakadhalika

ATHARI ZA PUNYETO KWA WAVULANA.

Punyeto ina athari nyingi na kubwa sana kwa wanaume wanao jihusisha nayo, lakini kwa leo, tutaangalia athari moja kubwa kati ya nyingi. Athari hii si nyingine bali na KUUA NGUVU ZA KIUME. Mwanaume anayepiga punyeto hutumia nguvu nyingi kuibana mishipa inayo fanya uume usimame. Mwisho wa siku uume hulegea na kusinyaa, na kukosa nguvu kabisa na hatimaye mhusika kuwa khanithi. Uchunguzi unaoonyesha, kuna idadi kubwa sana ya wanaume wanao sumbuliwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume kama matokeo ya kupiga punyeto kwa muda mrefu. Athari za mwanaume kutokuwa na nguvu za kiume, nadhani zinajulikana, ila kwa faida ya wote tutazizungumzia kwa kina siku za mbele, lakini kwa ufupi ni aibu kubwa sana kwa mwanaume kukubali kuua ufanisi wa uume wake kwa sababu ya kupiga punyeto.

MUNGU HAPENDI PUNYETO : ( MIONGONI MWA WANANZUONI WA MASOMO YA BIBLIA DHAMBI YA KUPIGA PUNYETO HUJULIKANA KAMA ONANISM )

Kwa mujibu wa maandiko matakatifu, upigaji punyeto ni moja kati ya matendo yanayo muudhi Mwenyezi Mungu, kwa sababu yanapigana na utaratibu aliouweka . Kwenye kitabu cha MWANZO 38:9, Onan mwana wa Yuda aliagizwa na baba yake ( Yuda ) kwenda kumjua mke wa kaka yake ( Onan ) ili aweze kumzalia watoto. ( Kwa mujibu wa mila na desturi za kiyahudi wakati huo, kaka anapofariki bila kucaha mtoto, ndugu wa kiume wa marehemu hutakiwa kwenda kumuoa mjane aliye achwa na kaka yake, na watoto watakao zaliwa watabeba jina la marehemu kaka yake..., aina hii ya ndoa hujulikana kama LEVIRATE MARRIAGE )Biblia inasema, Onan hakutaka kumpa mimba mjane wa kaka yake ilihali akijua watoto watakao zaliwa hawatakuwa warithi wake, hivyo basi kila mara alipokutana kimwili na mjane wa kaka yake, alimwaga mbegu zake pembeni. Biblia inasema katika kitabu kile cha Mwanzo 38: 10 "

" Alicho kifanya kilikuwa ni chukizo kubwa mbele za Mwenyezi Mungu hivyo Mwenyezi Mungu akampa adhabu ya kifo! "

Umeona! Kumbe basi adhabu ya kiroho ya tendo la masturbation ni "umauti!". Umauti huo unaweza usiwe kama ulio mpata Onan, ila unaweza kuja katika sura tofauti. Mfano kufa kwa nguvu za kiume, ni adhabu tosha sana kwa mwanaume yoyote yule duniani na inaweza kuwa kali kuliko hata ile aliyopewa Onan.

DAWA YA ASILI NA YA UHAKIKA YA KUKUFANYA UACHE KUFANYA PUNYETO.

Uzoefu unaonyesha, mtu anayepiga punyeto, hata kama ameathiriwa na tatizo la punyeto kwa kiwango gani, endapo atafanikiwa kutopiga punyeto kwa muda wa siku arobaini mfululizo, mtu huyo hatopiga tena punyeto katika siku zote za maisha yake kwani tayari mtu huyo atakuwa amerudia katika hali yake ya kuto kuwa addicted tena na upigaji punyeto, na atalichukia kabisa hata jina la tendo hilo achilia mbali tendo lenyewe.

UFANYE NINI ILI USIPIGE PUNYETO KWA MUDA WA SIKU AROBAINI MFULULIZO!

Sio rahisi kwa mtu aliyekuwa addicted na punyeto kustahimili kujizuia kupiga punyeto kwa muda wa siku arobaini mfululizo. Anaweza kujizuia kupiga punyeto kwa siku mbili lakini baada ya hapo ataendelea tena na mchezo wako.

ATUMIE DAWA IPI?

PILIPIL
I

Pilipili inayo hitajika hapa ni yoyote ile ili mradi iwe kali sana, ( Ila inayo pendekezwa ni pilipili mbuzi ama pilipili kichaa, pilipili hoho haihusiki hapa ).

MATUMIZI
Kwanza kabla ya kujua matumizi ni vyema ukatambua muda ambao huwa unapiga punyeto ( Mara nyingi huwa ni asubuhi baada ya kuamka,wakati wa kuoga ama usiku kabla ya kulala ).

Chukua pilipili zako, zipasulie kwenye viganja vya vidole vyako na kujipakaza katika viganja vya vidole vyako. Unaweza kutumia pili moja kwa kila kiganja, na kwa kila muda ambao huwa unapiga punyeto lakini unaruhusiwa kujipakaza zaidi ya pilipili moja.

Ukishajipaka pilipili kwenye viganja vya vidole vyako, moja kwa moja unakuwa umekwisha jilazimisha kutokufanya punyeto, kwa sababu ukipiga punyeto kwa viganja ambavyo vina pilipili utawashwa sana wala hautaweza kufurahia tendo hilo.

JAMBO LA KUZINGATIA : Hakikisha unakuwa na walau pilipili mbili mpaka nne kila unapokuwa katika maeneo ambayo yanaweza kukuchochea kufanya punyeto.

UFANISI WA DAWA HII : Dawa hii inawafaa wale tu ambao wamedhamiria kutoka mioyoni mwao kuacha kufanya punyeto. Kwa wale ambao hawajadhamiria haitaweza kuwasaidia.

MWISHO,TUNAWATAKIA KILA LA HERI WATU WOTE WATAKAO AMUA KUJARIBU KUTUMIA NJIA HII KUACHANA NA SUALA LA UPIGAJI PUNYETO. TUTAFURAHI SANA ENDAPO MTATUPA FEEDBACK BAADA YA HIZO SIKU AROBAINI TANGU MUANZE KUFANYA ZOEZI HILI. MUNGU AWAPE NGUVU NA AWABARIKI.CHANZO.Neema Herbalist & Nutrtional Foods Clinic: TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME
 
Ndugu zangu nipeni madhara ya kupiga nyeto.

 
Ndugu zangu nipeni madhara ya kupiga nyeto
MADHARA YA KUPIGA PUNYETO (MASTRUBATION) Je Kuna Faida au Hasara ya Kupiga Punyeto?

Ili tuweze kuongezeka inatubidi tuzaliane kama viumbe wengine, na hatuwezi tu kuzaliana bila ya kujamiiana, na hatuwezi kujamiiana bila ya kuwa na hisia zitakazotupelekea kufanya kitu kama hicho. Katika maumbile ya mwanadamu hupata hisia hizo anapofikia umri wa kubalehe na ndio hapo huanza kuona mambo mageni kiasi cha kumfanya ajione tofauti na wengine hata kama nao walishapitia hatua kama hiyo.

Katika hatua hii ndio mbegu za uzazi (Sperms) zinaanza kutengenezwa na kukomazwa, hali inayomfanya mtu kuwa na hisia za kutaka kuwa na mwenzake (Girlfriend) ili atimize haja zake. Kwa asilimia kubwa ya vijana wa sasa hujichua ili kuondoa hisia hizi pale wanapokosa wapenzi, na imeathiri vijana wengi sasa bila ya wao kujua.

Kitendo hiki cha kujichua kinachojulikana kama "Kupiga punyeto” in English "Masturbation” huleta madhara ya muda mrefu ambayo ni vigumu mtu kugundua. Hebu tuangalie baadhi ya madhara ya kitendo hiki:



  1. Upungufu wa nguvu za kiume.

Hili ni tatizo linalowakabili watu wengi sana na hili pia hutokana na watu hao kuwa na mchezo wa kupiga punyeto hapo awali au hata muda huu. Na hivyo hukosa nguvu za kiume na kuwafanya wakose heshima ndani ya ndoa.



  1. Kutofurahia tendo la ndoa.

Kumbuka kuwa unapopiga punyeto unatumia mkono ambao unapewa amri na ubongo ya kufanya kile ambacho nafsi itaridhika, hivyo lazima utatumia nguvu nyingi za mkono kwa kadiri ya matamanio ya nafsi yako yanavyohitaji hali itakayopelekea kutofurahia tendo la ndoa kwani hapo utakuwa hutumii mkono bali ni kiungo kingine ambacho hukiamrishi wewe kufanya vile utakavyo.



  1. Madhara ya ndani ya sehemu za siri.

Kitendo cha kupiga punyeto hutumia sabuni ambayo ina kemikali, hivyo kitendo cha kusugua sugua kwa kutumia sabuni huifanya ipenye ndani au kwenye vitundu vidogo vya ndani ya ngozi na kuweza kukusababishia madhara mbalimbali. Ni wachache sana ambao hawatumii sabuni lakini bado haina faida kwani huweza kupata athari kwa sababu zingine.



  1. Kupunguza uwezo wa kufikiri.

Wafanyao kitendo hiki hutumia nguvu nyingi za akili kuwaza kuwa yuko na fulani kumbe sio kweli, yeye yuko peke yake bafuni na sabuni yake tu. Hali hii huumiza sana akili kwani ni kitendo cha kila siku na kwa vijana wengine hufanya mara mbili au zaidi kwa siku kutegemea na hisia zake, hivyo akili huchona na uwezo wa kifikra unapungua kwa kiasi kikubwa sana.




  1. Kukosa nguvu katika magoti.

Kufanya sana kitendo hiki hupunguza mafuta yalio katika viungio vya magoti na kufanya magoti kukosa afya na nguvu.

Unaweza kujiuliza sasa kama ni kijana ufanyeje ili uepukane na hili? Na je? Utadhibiti vipi hisia zako? Ni rahisi sana fanya haya yafuatayo:



  1. Jiweke busy na masomo yako kwani ndiyo wakati wake huu na sio kufuata au kufikiria juu ya matamanio. Kumbka kuw amatamanio hayawezi kuja tu ikiwa utayapuuza na kujali mambo mengine ya muhimu kulingana na wakati wako.






  1. Fanya sana mazoezi ya kuuchosha mwili kama vile kukimbia, kuruka kamba, kucheza mpira, basketball, karate na mengineyo ambayo yatakuchosha na kukutoa jasho kila siku kwa mpangilo maalumu.








  1. Epuka kukaa peke yako bila kazi yoyote kwani kutakufanya ufikirie matamanio kwani ndio jambo linalotawala fikra za vijana.








  1. Acha kula hovyohovyo bila sababu maalum na hasa epuka sana kula vyakula vya mafuta mafuta kwani hivi hutengeneza mbegu za kiume kwa kasi kubwa sana.








  1. Tumia muda wako wa free kupumzisha akili yako kwa kulala.








  1. Jitahidi kutokukaa bafuni kwa muda mrefu bil aumuhimu wowote na epuk akujisugua au kujishika sana sehemu za siri wakati wa kuoga.


Jitahidi ubadilike na fahamu kwamba kufanya hivyo kukiendelea sana kwako itakuwa tena sio mazoea bali ni tabia na siku zote mazoea hujenga tabia, utajikuta huachi hata kama utampata wa kukutimizia haja zako (Mke) kwani hutoridhika naye kwa athari ya mkono wako.

Fahamu pia kuwa kutafuta msichana (Girlfriend) sio njia sahihi kwani ndiyo sababu ya kuharibu jamii kwa kuwaharibia maisha yao kwa kuwapa ujauzito wakiwa mashuleni, kusambaza maradhi na kuleta watoto wa mitaani (Street Children).

Njia sahihi ni kama tulizozitaja hapo juu. Soma kawa bidii, Jali muda wako na kuwa makini sana. Utapata kazi nzuri,utampata akupendaye mkaridhiana, mkaoana na kujenga familia iliyo bora kabisa ambayo hata mungu ataipenda na kuibariki.
 
Habari zenu wakuu?

Rejea kichwa cha habari hapo juu.Kuna dawa babu yangu aliniambia muda sana kabla sijajiunga jf nilikuwa nasoma tu threads za watu kama kawaida bt nilikuwa sina uwezo wa kujibu.

Katika hizo threads nilikuwa naona watu wakitaka kujua tiba ya mtu aliyeathirika na punyeto.Dawa ya mtu aliyeathirika na upigaji wa punyeto kwa muda mrefu au mfupi.

Tiba yake

Unachukua {asali,pili pili ya fil fil abyadh na kibiriti upele}.Unachukua nusu lita ya asali halafu unachukua pili pili fili fil abyadh na kibiriti upele vijiko viwili unachanganya kwa pamoja.

Matumizi

Unachua ktk uume pole pole kwa muda wa dakika tano ukishamaliza unaiacha kwa muda wa dakika 30 then unaosha kwa maji ya uvuguvugu. Hilo zoezi unalifanya asubuhi na jioni kwa muda wa mwezi mmoja lakini utaanza kuona matokeo ndani ya wiki 1.

Kazi yake.

1. Kama misuli ya uume ilikuwa iko lege lege inaifanya iwe imara
2. Kama uume ulikuwa umekonda ina inenepesha
3. Uume ulioingia ndani unarudi kama kawaida.

Marehem babu kuna watu aliwapa hiyo dawa sasa wako safi kama walivyokuwa awali,na mimi mwenyewe kuna marafiki zangu kama 5 waliathirika na punyeto nikawapa hiyo tiba sasa hivi wako vzr.

Dawa zote hizo zinapatika katika maduka ya dawa za asili. Sifanyi utani naapa kwa Mungu wangu hiyo dawa ni ya kweli ndugu zangu.

Asanteni sana usiku mwema.
 

Hiyo pili pili fili fil abyadh na kibiriti upele sijavielewa mpaka saa hizi

Ni vitu gani hivyo mkuu, unaweza fafanua kidogo??
 
Pili pili fili fil ndo ipi hiyo mkuu?maana nlishapiga sana hiyo kitu.sasa siyo chaputa ni ps yaani puri safi
 
hizo dawa za kibiriti upele na fili fil abyadh ni dawa za unga unga.kama ukienda katika maduka ya madawa za asili ukimwambia muuzaji hayo majina ya hzo dawa atakuelewa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…