Yaweza ikawa kama ni kituko furani lakini, siyo siri jamani mwenzenu kamchezo haka sasa naona kameniingia damuni tang nilipo kuwa O-level mpaka sasa nna umri wa miaka 23,nmejaribu kwa kila namna kuacha lakin nashindwa kuj control kwa kila nnapohc kufanya tendo cna muda wa kujihangaisha na mwanamke yeyote.................Bt I belev kuanzia sasa pind ntakapo pata suluhisho toka kwa wadau ntaacha nsaidien ndugu...................:llama:
Yaweza ikawa kama kituko fulan! lakin cyo siri kamchezo haka naona kameniingia damuni mpaka naona kero sasa na kila ninapofanya jitihada za kukiacha kitendo hki nashindwa kujicontrol tangu nilipokua O-level mpaka sasa nina umri wa miaka 22 nahitaj sana kuachana na kitendo hki lakin kwa mbinu nilizo zituia mm nashndwa lakin naamin kuanzia sasa ntafauru zoezi hili pindi ntakapo pewa elimu na mbinu za kuachana na kitendo ,,,,,I really hate it please my guys help me na km kuna mtu anaushaur wa kitaalam anisaidie pia
Nasikiaga kuacha madawa ya kulevya ni rahisi kuliko kuacha punyeto.....Yaweza ikawa kama kituko fulan! lakin cyo siri kamchezo haka naona kameniingia damuni mpaka naona kero sasa na kila ninapofanya jitihada za kukiacha kitendo hki nashindwa kujicontrol tangu nilipokua O-level mpaka sasa nina umri wa miaka 22 nahitaj sana kuachana na kitendo hki lakin kwa mbinu nilizo zituia mm nashndwa lakin naamin kuanzia sasa ntafauru zoezi hili pindi ntakapo pewa elimu na mbinu za kuachana na kitendo ,,,,,I really hate it please my guys help me na km kuna mtu anaushaur wa kitaalam anisaidie pia
Pole mkubwa ila cha kwanza unachotakiwa kufanya ni kuamua kwamba kuanzia sasa PUNYETO BAAS!!!
Then cha pili tafuta vitu vya kukukeep bize inaonekana huna kazi za kufanya unawaza ngono hovyo kijana miaka 22 taifa linakutegemea!!!!!!!!
Cha tatu jaribu kufanya mazoezi hapa ngoja nikazie sio mazoezi legelege pushapu 20 then unalala unajiona na ww umefanya mazoezi!!!!! Namaanisha mazoezi hasa makali ili kupunguza mihemko ya huo mwili!!!!!!!
Mazoezi ni program jiandae kiakili pia kimwili design program yako ya mazoezi kutokana na ratiba yako ya siku anza na mazoezi mepesi kwanza then unaendelea hata mbuyu ulianza kama mchicha
Hahaahaaa pole sana nna vyojua wapiga nyeto wengi ni madomo zege af unapalilia kibamia inavyoonekana umepiga zaid ya miaka mitano angalia usije kosa watoto aloo!!!!!!
NB: Km nimekutania vile ila nimekuinyesha adhari za hako kamchezo.
Ni PM km unataka program ya mazoezi!!!!
Hivi kuna vifungu katika maandiko matakatifu yanayokataza kupiga punyeto..!! Basi hizo phrase zitakuwa zimejificha kidogo. Ila phrases zinazokataza kuzini, kutamani mademu, ufisadi,wizi, uuaji, ufiraji,ulevi, n.k. zipo wazi sana.
Hili ndilo jibu sahihi, hamna kitu kibaya kama punyeto.,
Na huwa inasababisha matatizo mengi sana
Ikiwemo kushindwa kuridhisha mwanamke.
..
Actualy nimewahi kufanya hako ka mchezo ila sikuwa addicted sana, ila madhara niliyaona.
Lakini baada ya hapo mazoezi tena yale ya Gym + Kegel exercises ndio yalinisaidia kurudi kawaida..
Now im 21years young na nipo fit sana,
Naendelea na gymin program yangu. Na nimepata mafanikio makubwa..
Shida Na Tatizo Linaambatana Na Dalili Hizi...
-High Nerve Pain Hasa Mgongo ,Kifua Na Kiuno
-Kukosa Hamu Ya Sex
-Mwili Na Viungo Vyote Kukosa Nguvu
- Maumivu Ya Ubongo Hii Upelekea Ubongo Kuchoka Na Kusahau Haraka Sana
-Usingizi Mara Kwa Mara
-Macho Kukosa Uwezo Wa Kuona
Wakuu Msaada Kwani Utendaji Wa Kazi Na Shughuri Za Maendeleo Kwa Ujumla Zimesimama
Baba hakuna kitu kibaya kama punyeto ndugu yangu nakushauri wacha haraka sana kaka ipasavyo-punyeto inaleta premature ejaculation-yaani ukiendekeza punyeto thn ukapata deni siku ya kujamiana na huyo demu ukichomeka uume ukeni umemwaga ndugu yangu-punyeto inaharibu mfumu wako kisailolojia matibabu yake si vidonge bali kisaikolojia pia
deni=demuBaba hakuna kitu kibaya kama punyeto ndugu yangu nakushauri wacha haraka sana kaka ipasavyo-punyeto inaleta premature ejaculation-yaani ukiendekeza punyeto thn ukapata deni siku ya kujamiana na huyo demu ukichomeka uume ukeni umemwaga ndugu yangu-punyeto inaharibu mfumu wako kisailolojia matibabu yake si vidonge bali kisaikolojia pia
acha kuangalia porno.....