Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Kwa uelewa wangu suala la upiganyi nyeto hutibiwa na washauri nasaha na sio madaktari...

Ungelikuwa ni ugonjwa bila shaka ungelimuona daktari lakini kwa kuwa athari za punyeto huteka akili na fikra basi kwa hakika unahitaji mshauri nasaha...

Ahsante Sana Mkuu
Nahitaji Kumuona Huyo Mshauri Nasaha!!
 
Na mda mrefu saaana napiga nyeto ila ayo matatizo cjawai kutan nayo nyeto tamu
 
Mkuu Suala La Kuacha si Tatizo!
tatizo Ni Nini Tiba Ya Hizo Effect Hapo Juu?

Ukiacha jicho kitendo na dalili zote zitakwisha mkuu, pole kwa addiction hiyo ni bora ukaacha mara moja itakuathiri vibaya sana. Ji keep busy na jiepushe kuwa mpweke.
 
Fanya kegel exercise na mazoezi ya kukata tumbo yaan itakusaidia sana na utapata hamu ya kusex maradufu,mm mwenzio nlikuwa hata dk cmalizi nmeshakojoa bt saiz first round 15 min had 30 min la pili yaan ndo shida nachelewa sana kumwaga(0762601090)kw maelezo ya ziada

For Promotional Use Only
 
Mkuu Nyeto Imeachwa Mda Mrefu Sana
Tatizo Ni How to cure Bad Effect , Kama Hizo Nilizoziorodhesha?
Ahsante Sana!

Kaka kuacha nyeto,simple,ila kuhamisha akili ndiyo swala gumu sana, kwa sababu inatakiwa aache kabisa kuwaza swala la sex kwa sasa ili ku-gain momentum hususani katika swala zima ya tendo na linahitaji utulivu wa kutosha na kujikubali.
Ushauri wangu;
1. Inatakiwa mhanga awaone wataalamu wa afya hasa ili kutibu physical pains, kama hayo maumivu yote yanayomkuta.
2. Kwa kutibu mind effects, inatakiwa awaone wataalamu wa psychology ili apatiwe ushauri nasaha.
3. Kujikwamua kabisa katika hatari hiyo baada ya hayo mambo ma-2 ya juu Itabidi ku-concentrate zaidi katika kazi za uzalishaji,mazoezi,na kujiweka safi kiroho.
Naamini akifuata hayo mambo ma-3 atapona kabisa.
Get well soon, all the best.
 
Nashukuru Sana Mkuu
Labda Ushauri wakoi Ni Hospital itafaa
 
Nashukuru Sana Mkuu
Labda Ushauri wakoi Ni Hospital itafaa
1. Hospital
2. Wataalamu wa saikologia kwa ajili ya ushauri nasaha, maana mind ikivurugwa hamna kitu kinachoenda sawa.
Ila ili kuzipoteza kumbukumbu za zamani ndiyo hivyo inatakiwa , mazoezi kwa sana , kazi kwa sana, ibada zaidi.

Karibu
 
Hii kitu mbaya sana, mkuu acha kupiga tena pia jaribu kupumzika na ule vyakula vya asili vitakusaidia sana madawa ya hospitali siyo mazuri sana...hawa wazungu watatumaliza kweli!!
 
Hii kitu mbaya sana, mkuu acha kupiga tena pia jaribu kupumzika na ule vyakula vya asili vitakusaidia sana madawa ya hospitali siyo mazuri sana...hawa wazungu watatumaliza kweli!!

Jaribu kuvitaja hivyo vyakula vya asili mkuu.
Hospitali ni mhimu aende,Pia dawa ni mhimu kumeza hasa za kuzuia maumivu ila siyo za kuongeza nguvu.
 
Yaweza ikawa kama ni kituko furani lakini, siyo siri jamani mwenzenu kamchezo haka sasa naona kameniingia damuni tang nilipo kuwa O-level mpaka sasa nna umri wa miaka 23,nmejaribu kwa kila namna kuacha lakin nashindwa kuj control kwa kila nnapohc kufanya tendo cna muda wa kujihangaisha na Mwanamke yeyote.

But I beleive kuanzia sasa pindi nitakapo pata suluhisho toka kwa wadau nitaacha nisaidieni ndugu.
 
Back
Top Bottom