Majigo
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 5,519
- 1,828
Dawa ni wewe mwenyewe. Pumzika na hamisha mawazo yako yote katika hayo mambo. Ikibidi tafuta Bibilia au Kurani uwe uansali kila siku jioni kabla ya kulala.
Mkuu Suala La Kuacha si Tatizo!
tatizo Ni Nini Tiba Ya Hizo Effect Hapo Juu?