Majigo
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 5,519
- 1,828
Kwa uelewa wangu suala la upiganyi nyeto hutibiwa na washauri nasaha na sio madaktari...
Ungelikuwa ni ugonjwa bila shaka ungelimuona daktari lakini kwa kuwa athari za punyeto huteka akili na fikra basi kwa hakika unahitaji mshauri nasaha...
Ahsante Sana Mkuu
Nahitaji Kumuona Huyo Mshauri Nasaha!!