Punyeto ni nini na nini madhara yake?
mi jana xaa 5 usiku nilipiga nyeto. nikawa nimetimiza mara 2 kwa mwezi. ila mwez ujao nitapunguza tena.
 
Mmmmmh, hii kitu ina majina mengi kama puchu, puli, nyeto, punyeto, masturbation, self service, raha jipe mwenyewe etc. Hii kitu inatia hamu sana kuifanya kwa sisi mabachelor.

Ukiwa ghetto peke yako unaperuzi blogs mbalimbali kama rahatupu, au umeamka asubuhi ukaenda kuoga maji ya moto!! Lazima umalizie japo kamoja tu.
 
Kaka nimefarijika sana kuona kuwa siko peke yangu. Haka katabia huwa kananikera, sana sana baada ya kumaliza self service yangu. Nina mwaka wa 3 sina girlfriend, pia naona usumbufu kufuatanafuatana na kubembelezana bila sababu maalumu. Lakini nahitaji kuacha sasa, nini mpango thabiti wa hili tatizo langu?
 
Kunaile mbinu mzizi mkavu aliitoaga ya kujizua kwa siku 40 ilisaidia sana.. Nilikuwa na countdown ila yote kwa yote baada ya zile siku 40 kuisha nilirudia tena kushtua na ndipo nilipogundua kuwa inahitajika kureplace mastabation na sex yaani uwe na mwanamke ok
 
Hutakiwi kufanya ngono na yeyote asiye mume/ mke wako kwa kisingizio cha mpenzi au mchumba..!!
 
Punyeto ni mchezo endelevu.. Kuna siku utashtua tuuuu.... So husijisifu kuwa umeacha... Hiyo kitu haiachikiki...
 
Madaktari kwa kipindi kilefu wameshindwa kuelewa madhara ya punyeto. Ila mimi ni mwathirika wa punyeto nimeanza kupiga hadi leo napiga mara tatu kwa siku. Ni miaka 12 sasa tangu nianze, nilikuwa very bright! Sana shuleni. Ila mwaka wa pili baada ya kuanza puli ugonjwa wa kusahau umenikumba hadi leo. Siwashauri wanafunzi wafanye hii kitu ni mbaya! Hata madaktari wameshindwa kujua madhara ya hii kitu nimetembelea mitandao mingi sana ya kimataifa. Naamini Jf ni jukwaa la kuelimishana, mwenye kusikia na asikie. Kama hujaanza huu mchezo usianze! Kila nnachokifikilia huwa nasev kwenye cm! Naamini nimeeleweka na nimewaelewesha vya kutosha. Tell a friend to tell a friend! Am done!.
 
Back
Top Bottom