Otorong'ong'o: kumbuka unaweza usifanyane ila ukapata UKIMWI Sijui unajua.

Kivipi...Maana tukiangalia maambukizo ya virusi vya Ukimwi kwa asilia kubwa yanapatikana kwa njia ya zinaa..?

Labda utupe percentage ya risk factors za maambukizo ya VVU kwa njia nyingine mbali na ngono...
 
Mm kila baada ya muda ninapiga punyeto hadi nimethilika kifikira sasa ni mazoea friends nifanyeje niondokane nautumw huu
Hivi unapopiga huwa unamwaza nani? unaweza ukajilazimisha kuacha kisha ukabaka halafu ukajikuta pabaya zaidi.

dawa ya kuacha punyeto ni kujitahidi kumpata yule unayemuwaza wakati wa hilo puli ili ule nyama halali badala ya kibudu. ukifanikiwa hvyo hakika utamteka kwani lazima utampa mavitu ya uhakika. ukijifanya mstaarabu na kushindwa kumtokea madhara yake ndiyo hayo, unaishia kumchuja mawazoni na kujiumiza kisaikolojia. mwisho utajikuta unakua mwoga, hujiamini, unatetemeka hovyo, macho machachu, kichwa kuuma nk.
 
Una pepo la mahaba kaka,jaribu kusoma biblia na utafakri kwa muda then compare hisia zako na hasara utakayo pata baada ya punyeto,kumbka punyeto usababisha ugumba na hata kupungua kwa nguvu za kiume,ushauri tumia muda wa kupiga punyeto iether kufua nuo zako chafu au kutembelea marafiki wenye future na vision za maisha ya baadaye na sio walevi wala wavuta bangi,pia jaribu kusikiliza mahubiri za kiroho!,nice succed to overcome masterbution!,#jully_van_persie the greater thinker
 
dogo Nyeto Ni Nzuri Sana Ila Endapo Utanyetuka Nyeto Ya Kisasa Ni Bora Zaidi
Lasivyo Utakuja Kuwa Zezeta Hapo Baadaye
Nitafute Nikupe Mbinu Za Kunyeketuka Kwa Usalama, Bila Kuathirika Hapo Baadaye
Jichunge kuTokuwa Na Pupa Unaponyepetuka
Ahsante Jigo
 
Uvivu ndio chanzo cha punyeto..jitahidi kuwaongelesha wanawake
.alafu ukishajenga ujasiri unateleza humo humo..siku za kwanza utakula za uso lakin ukishazoea unaongea mistari miwili mnajikuta kwa bed
 
Mm kila baada ya muda ninapiga punyeto hadi nimethilika kifikira sasa ni mazoea, friends, nifanyeje niondokane na utumwa huu?
Mpendwa unahitaji deliverance hiyo ni roho kabisa nimekua nimeona watu wengi wakipata deliverance kwa. Tb Joshua anza kuangalia Emmanuel TV hiyo ni roho kabisa Mungu peke ndo anaweza kukufungua
 
Kata uo msodoki mkuu utanipa jibu baada ya wk
 
HIli ni pepo kabisa, kama unafanya hivyo,omba Mungu akusaidie uache. ni roho, inaweza ikakaribisha hata roho chafu wenzie, ukajikuta haujakuwa mtu wa kueleweka kabisa. its sin and I rebuke it in the Mighty Name of Jesus Christ. Amin.

Ni dhambi kulingana na mitazamo ya watumishi tofauti,ILA hakuna mstari hata mmoja katika Biblia takatifu iliyoeleza kuwa kujichua ni dhambi.

Zaidi sana dhambi zinazofanana na hiyo zilizoelezewa ni: kutamani,kufanya mapenzi na wanyama(hii pia ni laana),uzinzi na uasherati.
 

I can tell, Most of the symptoms here are direct related to the other types of ailments.
This reflects how hard to spot the core problem at hand.
 
Huyu ni rafiki yangu wa muda mrefu.

Amekuwa akipiga punyeto huu ni Mwaka kama wa kumi, hana girfiend na sijawahi kumuona hata na demu wakusingiziwa. Nimemshauri sana ila naona ubongo wake umesha athirika na kupiga punyeto.

Akiingia toilet huwa anamaliza masaa mawili na akitoka huwa amechoka sana tofauti na alivyoingia. Je? Afanye ili aondokane na hii hali.
 
mkuu wameongea sana haya mambo humu labda Tyta aje akusaidie kutafuta link
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…