Punyeto ni nini na nini madhara yake?
(1) Usikae idle, yaani bila kujishughulisha na kaz yoyote.
(2) Usiangalie sinema za ngono wala picha za utupu.
(3) Shirikiana na wenzio, usikae mpweke mara nyngi .
(4) Usiwe na tabia ya kuchezea au kuzishika nyeti zako pasipo ulazima.
(5) Jenga urafiki na watu wa jinsia tofauti hii itakufanya usiwaogope km sababu ni kushindwa kuwatongoza.
(6) Fanya mazoezi ya kutosha, hii itakufanya uwe bize na kuchoka na hivyo kutofikiria punyeto .
(7) Muombe Mungu.
 
Masturbation kwa walio wengi huanza wakati wa adolescent baada tu ya kubalehe. Tafiti zinaonyeshea kua wanaume hufanya tendo hili (mara 3-4 kwa mwezi) nyingi kuliko wanawake.

Watu wengu pia huyatambua maumbile yao na raha ya tendo la ndoa kupitia ,masturbation. Japokua ni njia salama ya kujiridhisha kwa wasio na ndo/wapenzi kwa njia iliyo salama bila kupata magonjwa kwa jinsia zote na mimba zisizotarajiwa kwa wanawake.

Matokeo ta tafiti kadhaa yameonyesha kua masturbation ina madhara hasi endapo itafanyika mara nyingi
Baadhi ya madara hayo ni;

1. kulegea kwa misuli ya uume hali inayoelezewa kwa kupungua uwezo wa kusimamisha (the firmness of the next erection bsecome softer and spongier) au kumaliza uwezo mda mrefu hali hii hupunguza kwa kiasi kikubwa au kumaliza uwezo wa kusimamisha.

Hata hivyo tafiti hizi zinaonyesha kuwa Umri, Uvutaji wa sigara na matumizi ya pombe, Magonjwa ya Hofu na Vyakula huchangia katika hili.

2. Masturbation pia inaweza kumuadhiri mfanyaji kisaikolojia. Hii ni pamoja ni kuona aibu na kujisikia mwenye hatia kwa sababu ya kufanya masturbation.

3. Matatizo mengine hujitokeza ikiwa ni madhara ya kisaikolojia na kupelekea mtu kupata hofu ambayo inaweza kujionyesha kama maumivu ya kichwa, kuumwa mgongo, na maumivu sugu.

4. tafiti pia zinaonyesha kua wale wanaomastabate mara nyingi hapata tatizo la kushindwa kufarahia mahusiano na tendo la ndoa.

5. Kibaiyolojia masturbation ya mara kwa mara huadhiri ubongo. Mfano huweza kusababisha ubongo kutoa homoni ya kiume kupita kiwango kinachohitajika. Hali huu humuadhiri kila mtu kwa namna yake, mfano yaweza kua maumivu ya pelvic, matatizo ya kuona, maumivu ya kichwa, mgongo, kuumwa kwa korodani, kunyonyoka nywele n.k .

Hata hivyo tafiti zaidi zinahitajika ili kulipatia hili Uhakika.

Kwa hiyo basi, kama una dalili hizi, jitahidi kupunguza kwa muda fulani na kama bado zitaendelea muone daktari kwa ushauri na tiba.
 
kupiga punyeto kupitiliza kunasababisha kupungua urefu wa uume...kipindi cha nyuma nilivyokuwa nasoma habari kwenye magazeti nilikuwa nashangazwa wanasema over masturbation inasababisha uume kuwa mfupi...nilikuwa sipati usingiz i hadi ni masturbate kuna kipindi nilikuwa napima uume wangu ukiwa umesimama kwa kutumia rula nakuuona mdogo sana kwa sababu sikuwa nimefika inch 6...nimeacha masturbation takribani mwaka, nafanya mazoezi na kula vyakula asilia...nimekuja kushangazwa inch 1.5 zimeongezeka...nimegundua kumbe over masturbation inapunguza nguvu na urefu wa uume!

http://youtu.be/rsrVvICJg68
 
Hii ni topic ndefu sana..na kwa hakika haitakuja kuisha! Maana kila mtu anaweza kuielezea kwa ustadi mkubwa sana kutegemea yeye ameegemea upande gani! Kuna wanaosema haina madhara makubwa kama invyosemwa..huku wengine wanasema ina madhara.

Lakini ninachoweza kusema kwa hakika kabisa ni kwamba,pamoja na maelezo hasi ambayo yamekuwa yakitolewa,kitendo hiki kimekuwepo miaka mingi sana,na kwa hakika kitaendelea kuwepo tena kwa miaka mingine mingi..na maisha yataendelea!
 
Ukiendekeza kwa sana inakuletea madhara makubwa...mm nimefanya sana nilikuwa silali hadi nipige bao 2,3 au 4
 
kupiga punyeto kupitiliza kunasababisha kupungua urefu wa uume...kipindi cha nyuma nilivyokuwa nasoma habari kwenye magazeti nilikuwa nashangazwa wanasema over masturbation inasababisha uume kuwa mfupi...nilikuwa sipati usingiz i hadi ni masturbate kuna kipindi nilikuwa napima uume wangu ukiwa umesimama kwa kutumia rula nakuuona mdogo sana kwa sababu sikuwa nimefika inch 6...nimeacha masturbation takribani mwaka, nafanya mazoezi na kula vyakula asilia...nimekuja kushangazwa inch 1.5 zimeongezeka...nimegundua kumbe over masturbation inapunguza nguvu na urefu wa uume!

http://youtu.be/rsrVvICJg68

Inategemea unapiga kistar au unapiga kiganster!! Sasa wewe ulikuwa unapiga kihardcore ndy maana ukawa na mbilimbi. Punyeto ni kamchezo kachafu ka ngono ila kana ladha kuliko K......
 
kupiga punyeto kupitiliza kunasababisha kupungua urefu wa uume...kipindi cha nyuma nilivyokuwa nasoma habari kwenye magazeti nilikuwa nashangazwa wanasema over masturbation inasababisha uume kuwa mfupi...nilikuwa sipati usingiz i hadi ni masturbate kuna kipindi nilikuwa napima uume wangu ukiwa umesimama kwa kutumia rula nakuuona mdogo sana kwa sababu sikuwa nimefika inch 6...nimeacha masturbation takribani mwaka, nafanya mazoezi na kula vyakula asilia...nimekuja kushangazwa inch 1.5 zimeongezeka...nimegundua kumbe over masturbation inapunguza nguvu na urefu wa uume!

http://youtu.be/rsrvvicjg68

hii link ya you tube uongo mtupu anavutia watu watazame video yake ya ngamia msiclick wala kusoma upuuzi mtupu
 
Kw awanaofanya huo mchezo inashauriwa kuwa watumia juisi ya ubuyu kwa muda wa siku nne asubuhi na jioni pamoja kuchukua machungwa unakamua juisi yake unywe glasi moja asubuhi moja jioni inasaidia kukurudisha katika hali ya kawaida.
 
Back
Top Bottom