Masturbation kwa walio wengi huanza wakati wa adolescent baada tu ya kubalehe. Tafiti zinaonyeshea kua wanaume hufanya tendo hili (mara 3-4 kwa mwezi) nyingi kuliko wanawake.
Watu wengu pia huyatambua maumbile yao na raha ya tendo la ndoa kupitia ,masturbation. Japokua ni njia salama ya kujiridhisha kwa wasio na ndo/wapenzi kwa njia iliyo salama bila kupata magonjwa kwa jinsia zote na mimba zisizotarajiwa kwa wanawake.
Matokeo ta tafiti kadhaa yameonyesha kua masturbation ina madhara hasi endapo itafanyika mara nyingi
Baadhi ya madara hayo ni;
1. kulegea kwa misuli ya uume hali inayoelezewa kwa kupungua uwezo wa kusimamisha (the firmness of the next erection bsecome softer and spongier) au kumaliza uwezo mda mrefu hali hii hupunguza kwa kiasi kikubwa au kumaliza uwezo wa kusimamisha.
Hata hivyo tafiti hizi zinaonyesha kuwa Umri, Uvutaji wa sigara na matumizi ya pombe, Magonjwa ya Hofu na Vyakula huchangia katika hili.
2. Masturbation pia inaweza kumuadhiri mfanyaji kisaikolojia. Hii ni pamoja ni kuona aibu na kujisikia mwenye hatia kwa sababu ya kufanya masturbation.
3. Matatizo mengine hujitokeza ikiwa ni madhara ya kisaikolojia na kupelekea mtu kupata hofu ambayo inaweza kujionyesha kama maumivu ya kichwa, kuumwa mgongo, na maumivu sugu.
4. tafiti pia zinaonyesha kua wale wanaomastabate mara nyingi hapata tatizo la kushindwa kufarahia mahusiano na tendo la ndoa.
5. Kibaiyolojia masturbation ya mara kwa mara huadhiri ubongo. Mfano huweza kusababisha ubongo kutoa homoni ya kiume kupita kiwango kinachohitajika. Hali huu humuadhiri kila mtu kwa namna yake, mfano yaweza kua maumivu ya pelvic, matatizo ya kuona, maumivu ya kichwa, mgongo, kuumwa kwa korodani, kunyonyoka nywele n.k .
Hata hivyo tafiti zaidi zinahitajika ili kulipatia hili Uhakika.
Kwa hiyo basi, kama una dalili hizi, jitahidi kupunguza kwa muda fulani na kama bado zitaendelea muone daktari kwa ushauri na tiba.