Cha kumsaidia ni kuweza kumwambia hasara ya kupiga punyeto ikiwa ni kuifanya mishipa ya sehemu za uume kulegea, na baadae atashindwa kabisa hata kufanya hivyo tena maana uume utakuwa sugu na hataisikia hata hiyo raha anayoipata kidogo.

Na wewe kama una marafiki wa kike jaribu kuwa unaenda nae kupiga story nao hasa za kutaniana ili tu aweze kuwa na confidence kuwa anaweza akiamua utaweza kuijenga saikolojia yake hivyo atajiamini sana na jitahidi asibaki peke yake muda mwingi peke yake kwani akipatwa na wazo la hiyo raha akapata hisia atafanya tu.
 
Raha jipe mwenyewe bhana,wala hakuna haja ya kutafuta ushauri hapo,,,,!!!
 
Mkuu isije kua unatafuta msaada indirectly:A S 11::A S 11::A S 11::A S 11::A S 11::A S 11:. anza program za kufanya mazoezi, avoid kukaa mwenyewe, play sports, tafuta hobby mpya, and more important STOP WATCHING PORN. Convey my message.

Ila hilo la kukaa masaa mawili chooni[ i highly doubt ]
 
Itakuwa hana kazi ya kufanya, mpaka anapata muda wa kupiga punyeto kila mara na kwa muda mrefu. Ache kutazama vitu vitakavyompelekea ushawishi wa kufanya hilo, na ache kutamani ovyo.
 

Kiongozi mimi nikiwa na tatizo huwa nakuja humu direct. Ila huyu rafiki yangu huwezi amini, sometimes ananiambiaga anapiga punyeto mpaka bao4.
 
njia aliyochagua ni sahihi sana sana mwambie atafute mafuta ya johson ya maji yatamsaidia kufanya hiyo kazi iende vizuri
 
Kiongozi mimi nikiwa na tatizo huwa nakuja humu direct. Ila huyu rafiki yangu huwezi amini, sometimes ananiambiaga anapiga punyeto mpaka bao4.

Ndo maana nimekwambia convey my msg kwa mlengwa. Afu watoto wa kiume kupiga stori hizo mpaka kuambiana idadi ya mabao sio ishu sana, if you know what I mean. No offense mkuu.
 
Two hours huyo jamaa ni shidaaa ati, huko chooni anakaa au anasimama?
 
Watu wengi wamekuwa na matatizo haya,bila kujua kama kuna uwezekano wa mtu kuingiliwa na majini mahaba, au mapepo ya uzinzi ukiwa ndotoni au hata kwa vitendo kama hivyo.

Shida ya watu wengi hawata hamini ukweli huu, ni kwamba huyo kijana anamilikiwa na jini mahaba bila yeye kujua na inawezekana kabisa akilala huwa anaota kuna mtu anakuja kufanya mapenzi na yeye. Na si kwamba anakuwa anaota ila inakuwa ni kitendo halisi kinafanyika wakati huo. Na inawezekana akiamka anajikuta kweli katoka kufanya kitendo hicho bila yeye kutaka.

Kuna ulimwengu wa aina mbili. Huyo kijana kashikiliwa rohoni na majini na majini mahaba na tatizo hilo kama yeye akiamua litaisha kabisa:

1: Kama hajaokoka basi aokoke.
2: Atafute kanisa zuri na aombewa. Hakika tatizo lake litaisha kabisa.

Anaweza akanitafuta private pia nikamsaidia. Yote yanawezekana kwa Jina la YESU tu na wala sii kitu kingine.
 
Duh hayo madhara ni ya kweli hilo la kukojoa mara kwa mara lilinikuta. Kama madhara yenyewe ndio hayo ngoja niache.
 
Punyeto ( kwa wanaume ) ni kitendo cha mwanaume, kujifikisha mwenyewe kileleni kwa kujichua uume hadi kumwaga mbegu za kiume. Uchunguzi unaonyesha katika watu wa jinsia ya kiume kumi wenye umri wa kuanzia miaka 16 hadi 45, angalau wanne kati yao wamewahi kupiga punyeto katika kipindi fulani cha maisha yao, na wawili kati yao wanajihusisha na upigaji punyeto. Uzoefu unaonyesha, asilimia kubwa ya wanaume wanao piga punyeto huanza katika umri wa kubalehe ( miaka 14-16 ), wengine huachana na tabia hiyo mara baada ya kupata wapenzi wa kike ama kuoa na wengine huendelea na tabia hiyo hata baada ya kuoa .

Zipo sababu mbalimbali zinazo wapelekea wanaume kupiga punyeto, ila kubwa kati ya hizo ni pamoja na kutokuwa na wapenzi, kutokuwa na wapenzi wanao kidhi vigezo vyao, kuwa katika mazingira yasiyokuwa na wanawake ( mfano katika shule za sekondari za bweni za wavulana tu ), kujiepusha na hatari ya kupata maambukizi ya v.v.u nakadhalika

ATHARI ZA PUNYETO KWA WAVULANA.

Punyeto ina athari nyingi na kubwa sana kwa wanaume wanao jihusisha nayo, lakini kwa leo, tutaangalia athari moja kubwa kati ya nyingi. Athari hii si nyingine bali na KUUA NGUVU ZA KIUME. Mwanaume anayepiga punyeto hutumia nguvu nyingi kuibana mishipa inayo fanya uume usimame. Mwisho wa siku uume hulegea na kusinyaa, na kukosa nguvu kabisa na hatimaye mhusika kuwa khanithi. Uchunguzi unaoonyesha, kuna idadi kubwa sana ya wanaume wanao sumbuliwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume kama matokeo ya kupiga punyeto kwa muda mrefu. Athari za mwanaume kutokuwa na nguvu za kiume, nadhani zinajulikana, ila kwa faida ya wote tutazizungumzia kwa kina siku za mbele, lakini kwa ufupi ni aibu kubwa sana kwa mwanaume kukubali kuua ufanisi wa uume wake kwa sababu ya kupiga punyeto.

MUNGU HAPENDI PUNYETO : ( MIONGONI MWA WANANZUONI WA MASOMO YA BIBLIA DHAMBI YA KUPIGA PUNYETO HUJULIKANA KAMA ONANISM )

Kwa mujibu wa maandiko matakatifu, upigaji punyeto ni moja kati ya matendo yanayo muudhi Mwenyezi Mungu, kwa sababu yanapigana na utaratibu aliouweka . Kwenye kitabu cha MWANZO 38:9, Onan mwana wa Yuda aliagizwa na baba yake ( Yuda ) kwenda kumjua mke wa kaka yake ( Onan ) ili aweze kumzalia watoto. ( Kwa mujibu wa mila na desturi za kiyahudi wakati huo, kaka anapofariki bila kucaha mtoto, ndugu wa kiume wa marehemu hutakiwa kwenda kumuoa mjane aliye achwa na kaka yake, na watoto watakao zaliwa watabeba jina la marehemu kaka yake..., aina hii ya ndoa hujulikana kama LEVIRATE MARRIAGE )Biblia inasema, Onan hakutaka kumpa mimba mjane wa kaka yake ilihali akijua watoto watakao zaliwa hawatakuwa warithi wake, hivyo basi kila mara alipokutana kimwili na mjane wa kaka yake, alimwaga mbegu zake pembeni. Biblia inasema katika kitabu kile cha Mwanzo 38: 10 "
" Alicho kifanya kilikuwa ni chukizo kubwa mbele za Mwenyezi Mungu hivyo Mwenyezi Mungu akampa adhabu ya kifo! "

Umeona! Kumbe basi adhabu ya kiroho ya tendo la masturbation ni "umauti!". Umauti huo unaweza usiwe kama ulio mpata Onan, ila unaweza kuja katika sura tofauti. Mfano kufa kwa nguvu za kiume, ni adhabu tosha sana kwa mwanaume yoyote yule duniani na inaweza kuwa kali kuliko hata ile aliyopewa Onan.

DAWA YA ASILI NA YA UHAKIKA YA KUKUFANYA UACHE KUFANYA PUNYETO.

Uzoefu unaonyesha, mtu anayepiga punyeto, hata kama ameathiriwa na tatizo la punyeto kwa kiwango gani, endapo atafanikiwa kutopiga punyeto kwa muda wa siku arobaini mfululizo, mtu huyo hatopiga tena punyeto katika siku zote za maisha yake kwani tayari mtu huyo atakuwa amerudia katika hali yake ya kuto kuwa addicted tena na upigaji punyeto, na atalichukia kabisa hata jina la tendo hilo achilia mbali tendo lenyewe.

UFANYE NINI ILI USIPIGE PUNYETO KWA MUDA WA SIKU AROBAINI MFULULIZO!

Sio rahisi kwa mtu aliyekuwa addicted na punyeto kustahimili kujizuia kupiga punyeto kwa muda wa siku arobaini mfululizo. Anaweza kujizuia kupiga punyeto kwa siku mbili lakini baada ya hapo ataendelea tena na mchezo wako.

ATUMIE DAWA IPI?
PILIPILI

Pilipili inayo hitajika hapa ni yoyote ile ili mradi iwe kali sana, ( Ila inayo pendekezwa ni pilipili mbuzi ama pilipili kichaa, pilipili hoho haihusiki hapa ).

MATUMIZI

Kwanza kabla ya kujua matumizi ni vyema ukatambua muda ambao huwa unapiga punyeto ( Mara nyingi huwa ni asubuhi baada ya kuamka,wakati wa kuoga ama usiku kabla ya kulala ).

Chukua pilipili zako, zipasulie kwenye viganja vya vidole vyako na kujipakaza katika viganja vya vidole vyako. Unaweza kutumia pili moja kwa kila kiganja, na kwa kila muda ambao huwa unapiga punyeto lakini unaruhusiwa kujipakaza zaidi ya pilipili moja.

Ukishajipaka pilipili kwenye viganja vya vidole vyako, moja kwa moja unakuwa umekwisha jilazimisha kutokufanya punyeto, kwa sababu ukipiga punyeto kwa viganja ambavyo vina pilipili utawashwa sana wala hautaweza kufurahia tendo hilo.

JAMBO LA KUZINGATIA : Hakikisha unakuwa na walau pilipili mbili mpaka nne kila unapokuwa katika maeneo ambayo yanaweza kukuchochea kufanya punyeto.

UFANISI WA DAWA HII : Dawa hii inawafaa wale tu ambao wamedhamiria kutoka mioyoni mwao kuacha kufanya punyeto. Kwa wale ambao hawajadhamiria haitaweza kuwasaidia.
 
Pole sana broo,,anza kupunguza dozi...leo piga v4 kesho v3 hatimae unaacha kabisa
 
Tafuta mwanamke umuoe na hakikisha ukiwa na hamu unakuwa nae, hali hiyo itatoweka.
 
Nilivyosoma kichwa cha habari nikadhani anatuelezea jinsi alivyopona kutoka kwenye ulegevu uliosababishwa na punyeto kumbe anaomba msaada!
Vichwa vya habari vingine ni kama vya magazeti ya udaku
 
Kuna dawa za kuongeza nguvu za kiume,so kama vp tutawasiliana.. Ila kingine usirudie huo mchezo. Ji keep busy na shughuli nyingine. THANKS
 
Pole Sana, Ila Jtahd Pnd Hsia ZJpo Tafuta Shughuli Yeyote Unayo Zan Ina Weza Kuondoa Hsia Zako, Baadh Ya Shughuli N Kama Kuangalia Mpira, Kutazama Series Zszo Husu Mapenz Kama Vile Wakolea Pamoja Na Za Kvta.c
 
Mie sioni tatizo Coz nami ndo wale so ka mimi sioni tatizo
Chaputa for lifee!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…