Hivi unajua picha za ngono, na puli, zinaua dopamine? Hii ni neuro transmiter, ambayo huwa ina control mambo ya pleasure, au starehe katika ubongo. Sasa madhara ya hii dopamine kuharibiwa, inasababisha addiction.
Hautaweza kuacha hiyo makitu hata ukipewa ushauri hapa. Pia inaleta madhara katika movement na cognition. Baadaye unaweza ukapata ugonjwa mmoja unaoitwa Parkison's Disease (PD). Acha kujichua, badala yake tafuta wanawake.