Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Bora uwahi kabla hujajisababishia madhara makubwa, binafsi nilibobea katika hiyo issue,,,,nna kama miezi sita hivi nimekuwa na shida za mgongo na kiuno nimefanya vipimo vingi na shida zimeonekana nimetumia dawa mara nyingi tu, lakini cpati nafuu,,,dr akawa anashangaa imeanza vipi ikiwa nina umri mdogo tu? Akaniuliza kama nimeshawah vunjika au pata ajali nikamwambia hapana, baada ya kurudi kwake kwa mara nyingi ndipo cku akaniuliza kama huwa napunyetika nikamwambia hata alfajiri ya leo nishapiga mbili kavu kavu, aakanambia ndio maana ninasumbuliwa na mgongo bila nafuu,,,basi toka siku hiyo cpigi tena ingawa nafuu ipo kidogo sana
 
Kwanza acha kuangalia porn....hili usipoweza hutaweza kuacha nyeto.
Pili, avoid being alone. Ikitokea uko peke yako na huna kitu cha maana cha kufanya ni bora kucheza hata game kwenye simu.
 
Cjilo Dr alikushauri nin na ulifanyaje kuji control pale hali za kufanya zilipokuja.nisaidie kujua umeshindaje ndugu yangu
 
dahhhh mimi nimeshindwaga iyo kitu but jaribu mara nyingi usiwe peke yako coz lazy mind is devil workshop
mimi nikiwa busy sana mpaka nikachoka huuu haijagi hiyo hali sooo nikiwa relax lazima hilo jambo nifanye tena mimi ndo addicted hata kwa mate kidogo nishamaliza but embu tujaribu na kusali novena nadhani tutashinda hilo balaaa
 
Mungu katuumba kwa namna ya ajabu sana ebu tambua hilo kwanza alafu ukisha tambua hilo weka mikakati itakayo kusaidia uache hilo jambo
 
Cjilo Dr alikushauri nin na ulifanyaje kuji control pale hali za kufanya zilipokuja.nisaidie kujua umeshindaje ndugu yangu

C kazi rahisi mkuu hata me nilishawahi kushauriwa nikawa mbishi ila kwa maumivu nnayoyapata imenibidi niache huo mchezo,,,,jitahidi tu uache tena unamke ukijisikia we mchakachue mkeo na mapenzi sio lazima utoe manii ndio utosheke, mwambie mkeo tatizo linalokusibu ili mlipatie ufumbuzi kwa pamoja. Naamni mtapata namna ya kulitatua kwa pamoja hasa kwa siku ambazo atakuwa kwenye siku zake. Kwa aliyeoa ni rahisi kuacha maana kwa sisi ndio kaziukifikiria gharama ya duu na magonjwa unaona bora ujitosoe tu. Kiukweli huu mchezo unaathari kubwa tofauti na tulivyodanganywa tukiwa shule
 
Hatari sana, hii kitu kuacha sio rahisi kama wengi wadhanivyo. Inabidi kwanza uichukie, ujikane mwenyewe kwa kukubali kuvumilia kukaa juani mpaka mkeo atakapotoka mwezini na usithubutu kuangalia picha/video za ngono.
 
Naendelea kupokea ushauri na ninafuatilia kila ushauri . maana nataka kusikia kwa wengine wanazungumzaje juu y hili
 
Kaka kitu cha kwanza futa hizo picha na video za ngono kwenye cm yako hata zile zinazotamanisha zitoe pili mwambie mkeo ili hisia za kupiga master zikija mwambie akupe chap ili kumaliza haja kikubwa ni wewe kujua master ina adhari kubwa ikiwemo kupofuka macho na mishipa ya mboo kukosa nguvu siku hadi siku jitahidi kwa gharama yoyote uache bro
 
Yaani picha za ngono huwa inafika mahali na download nyingiii baadae nikiamua kuacha nazifuta zooote tatizo linakuja pale nikipatwa hisia hizo naanza Ku download maana sio kaz kuzipata mitandaoni yaani kama nilivyosema kipindi naamua acha ila baada y muda narudi kulekule
 
Nitaacha kiukweli yaani sometime nawaza mengi sana hadi najiuliza hivi niko sawa au nimelogwa au nimetupiwa pepo la ngono na kama ni pepo mbona kanisani naenda vzr tu na kuombewa naombewa kama ni mapepo siyangelipuka basi ijulikane moja .aah misijui kwakweli
 
Jaribu kufanya maombi ya kufunga,ukijinyima mambo ambayo wewe unayapenda huku ukimtafakari Yesu ,kwa njia hii,badilisha aina ya simu ,tumia simu isiyo na mtandao wakati wako wote wa maombi,weka nia ya kusoma biblia wakati wote wa upweke ,mwisho katika maombi yako omba toba kwa kurudia dhambi isiyo penda kukujia.
Tumia vema simu yako ,hiyo ndio kishawishi cha kwanza inapokuwa kuwa na bundle
 
Habari wadau . naomba msaada nifanyeje ili niache tabia hii .
Kwa ufupi tangu mwaka 2000 nikiwa std 7 nilianza tabia hii na nilipokua o level 2001-2004 nikiwa bweni tabia hii ilizidi huku nikifanya bila mtu yeyote kujua .pamoja na kwamba nikiwa secondary nilipata g.friend nikidhani nitaacha tabia hii lakini sikufanikiwa. Kwa wastani nilikua nafanya Mara 1 kwa wiki au Mara 4 kwa mwezi .
Hali hii nimeendelea nayo hata nilipoingia form v hadi namaliza f.6 bado sikufanikiwa
Yaani ninapoamua kuacha huwa nakaa muda tu baadae hali hii hurudi na kujikuta nafanya.

MWAKA 2010 nikaoa nikajua kuanzia hapo basi nitaacha lakini sijaweza hadi sasa ni baba wa mtoto mmoja na kabla ya mwaka huu kuisha Mungu akipenda nitapata mtoto wa pili.
Kiukweli ninapotafakari tabia hii huwa inaniumiza sana ukizingatia tangy utoto hadi nimepita mashuleni nimekua ni kijana anaempenda sana Mungu kiasi kwamba nimeshika nyadhifa mbalimbali za kiroho kama mtunza hazina ,mwenyekiti wa vijana a level , mwenyekiti vijana kanisani na sasa Katibu wa wababa kanisani .

Katika sala zangu ninaomba sana na nikiwa ktk maombi huwa najutia na kutubu kuacha tabia hii lakini baada ya siku kadhaa hurudi pale pale .

Kuna wakati huwa nawaza nimwambie mchungaji labda anishauri lakini kiukweli nakwepa aibu hivyo nikaamua heri nishauriwe na watu nisiofahamiana nao.

Mazingira yafutayo yanachangia .
1. Kuangalia porn video kwa simu
2. Nikiwa peke Yangu hususani nyumbani Mara nyingi nikiwa chumbani
3.Nisipofanya mapenzi hususani siku ambazo wife hayuko fit health.

Hali hii inaniumiza sana kiukweli maana nikijiangalia hadhi na heshima ninapokea ktk jamii , ofisini , kanisani kwakweli nakata tamaa kwakua ni siri ninayotembea nayo kwa takribani mwaka wa 15 sasa.

Najitahidi kujipambanua ili kuongeza maeneo ya kushauriwa . kama haitoshi kwa hivi sasa naweza Fanya hivyo Mara moja kwa mwezi na kila nikifanya huwa najiapiza kwamba Leo ndio mwisho lakini baada ya muda najikuta narudi na kujipa moyo kwamba hamna tatizo ila madhara ya hii tabia nimeanza kuona kubwa ni kutojituma kitandani hali ambayo hata mke wangu ameshawahi kuniambia kwamba sina bidii kuna tatizo gani .
Naomba msaada wa mawazo na ushauri namna ya kuondokana na haya mateso .
Ningefarijika iwapo kuna mtu aliyewahi Fanya na akafanyikiwa kiukweli nawaza mengi na kujiuliza mengi kwamba ni historia gani ninayojitengenezea , inawezekanaje nijimalize mwenyewe kwa kitu ambacho najua madhara yake.
Angalizo :
Kama hauna jambo la kuchangia basi we soma pita kimyakimya waachie nafasi wenye uwezo wa kusaidia.dharau ,vijembe , matusi sipendi maana kila mtu ana matatizo kwa namna moja au nyingine sema tu wengi tumekumbatia matatizo mm siko tayari kufa na tai shingoni ndio maana nimechoka kuumia peke yangu wakati najua penye wengi haliharibiki neno.
Naomba kwa Leo nikomee hapa .natanguliza shukrani

Hapa ndipo ninapolikumbuka lile Andiko la Paulo katika Biblia Takatifu. Mungu Atupe neema tu; kwa nguvu zetu hatuwezi kuishinda nguvu ya dhambi.
 
Yaani picha za ngono huwa inafika mahali na download nyingiii baadae nikiamua kuacha nazifuta zooote tatizo linakuja pale nikipatwa hisia hizo naanza Ku download maana sio kaz kuzipata mitandaoni yaani kama nilivyosema kipindi naamua acha ila baada y muda narudi kulekule
mkuu hakuna atakae kubadilisha hata akupe ushauri mzuri kiasi gani!,bali ni wewe mwenyewe tu!,mdau mzizimkavu wa jf docta aliwahi kusema ukijitahid kuacha siku 40 basi ujue umeacha!,
1.achana na pcha za x,futa hizo applications zote zenye uchochezi,sahau web zote zenye uchochezi.
2.kuwa na ratiba ya mazoezi ya kila siku.,kukimbia,ruka kamba,jim nk ,jitahid kwa hili sana sana maana utarecover mind na misuli yako.
3.Kula vyakula vyenye kutia mwili nguvu mf dona,mihogo,karoti,karanga,maji mengi,mdalasini,asali,tende nk hii ni ili uwe fit kwenye nguvu za kiume wakati unafanya mazoezi.
4.Set mind yako kwa kutambua faida za kuacha nyeto na madhara makubwa ya nyeto!,pia anza kuset kua uke ni mtamu kuliko nyeto,mungu hapendi,jitahid kwa hili.
5.Usijutie nafsi yako sana,maana asilimia kubwa ya wanaume hupitia huku eg.ww,mbunge,raisi,ceo,bosi wako ila hawasemi tuu!,na ww umepitia na sasa ni zamu yako kuacha!
Zingatia hayo na pia ebu jitahidi ivyo bila kumshirikisha mkeo au umshirikishe kwa namna fulan ambayo atakua anakujali kwenye vyakula,na tendo la ndoa!,mkuu mindset mabadiliko ni wewe naomba uwe unatoa updates kila wiki hapa.
Asante.
 
Kaka hilo ni janga la wengi, Kuacha ni kazi Aisee. Nami ni miongoni mwao. Afadhari wewe Mara moja kwa mwezi.
 
Naendelea kupokea ushauri na ninafuatilia kila ushauri . maana nataka kusikia kwa wengine wanazungumzaje juu y hili

Daah....! Yaaani utadhani unachota yote unayoandika akilini mwangu...! Muda ulioanza km mimi, muda uliodumu kwenye tatizo km mimi, matatizo unayoyapata km mimi, njia zinazo kupelekea kupunyeto km mimi, mawazo yakupatayo ukifikiria hali hiyo km mimi, mimi pia nimekulia sana kanisani na huwa naaminiwa sana kwa mambo ya Mungu na vijana na nyumbani kwetu, pia huwa wakati mwingine nafikiria kuna pepo la au jini la ngono linanifuatilia...!
 
Habari wadau . naomba msaada nifanyeje ili niache tabia hii .
Kwa ufupi tangu mwaka 2000 nikiwa std 7 nilianza tabia hii na nilipokua o level 2001-2004 nikiwa bweni tabia hii ilizidi huku nikifanya bila mtu yeyote kujua .pamoja na kwamba nikiwa secondary nilipata g.friend nikidhani nitaacha tabia hii lakini sikufanikiwa. Kwa wastani nilikua nafanya Mara 1 kwa wiki au Mara 4 kwa mwezi .
Hali hii nimeendelea nayo hata nilipoingia form v hadi namaliza f.6 bado sikufanikiwa
Yaani ninapoamua kuacha huwa nakaa muda tu baadae hali hii hurudi na kujikuta nafanya.

MWAKA 2010 nikaoa nikajua kuanzia hapo basi nitaacha lakini sijaweza hadi sasa ni baba wa mtoto mmoja na kabla ya mwaka huu kuisha Mungu akipenda nitapata mtoto wa pili.
Kiukweli ninapotafakari tabia hii huwa inaniumiza sana ukizingatia tangy utoto hadi nimepita mashuleni nimekua ni kijana anaempenda sana Mungu kiasi kwamba nimeshika nyadhifa mbalimbali za kiroho kama mtunza hazina ,mwenyekiti wa vijana a level , mwenyekiti vijana kanisani na sasa Katibu wa wababa kanisani .

Katika sala zangu ninaomba sana na nikiwa ktk maombi huwa najutia na kutubu kuacha tabia hii lakini baada ya siku kadhaa hurudi pale pale .

Kuna wakati huwa nawaza nimwambie mchungaji labda anishauri lakini kiukweli nakwepa aibu hivyo nikaamua heri nishauriwe na watu nisiofahamiana nao.

Mazingira yafutayo yanachangia .
1. Kuangalia porn video kwa simu
2. Nikiwa peke Yangu hususani nyumbani Mara nyingi nikiwa chumbani
3.Nisipofanya mapenzi hususani siku ambazo wife hayuko fit health.

Hali hii inaniumiza sana kiukweli maana nikijiangalia hadhi na heshima ninapokea ktk jamii , ofisini , kanisani kwakweli nakata tamaa kwakua ni siri ninayotembea nayo kwa takribani mwaka wa 15 sasa.

Najitahidi kujipambanua ili kuongeza maeneo ya kushauriwa . kama haitoshi kwa hivi sasa naweza Fanya hivyo Mara moja kwa mwezi na kila nikifanya huwa najiapiza kwamba Leo ndio mwisho lakini baada ya muda najikuta narudi na kujipa moyo kwamba hamna tatizo ila madhara ya hii tabia nimeanza kuona kubwa ni kutojituma kitandani hali ambayo hata mke wangu ameshawahi kuniambia kwamba sina bidii kuna tatizo gani .
Naomba msaada wa mawazo na ushauri namna ya kuondokana na haya mateso .
Ningefarijika iwapo kuna mtu aliyewahi Fanya na akafanyikiwa kiukweli nawaza mengi na kujiuliza mengi kwamba ni historia gani ninayojitengenezea , inawezekanaje nijimalize mwenyewe kwa kitu ambacho najua madhara yake.
Angalizo :
Kama hauna jambo la kuchangia basi we soma pita kimyakimya waachie nafasi wenye uwezo wa kusaidia.dharau ,vijembe , matusi sipendi maana kila mtu ana matatizo kwa namna moja au nyingine sema tu wengi tumekumbatia matatizo mm siko tayari kufa na tai shingoni ndio maana nimechoka kuumia peke yangu wakati najua penye wengi haliharibiki neno.
Naomba kwa Leo nikomee hapa .natanguliza shukrani

Pole sana. Mindset ikibadilika hutawaza hicho kitu. Ebu jiambie moyoni kuwa sasa nimeoa sihitaji punyeto tena. Na kumbuka unapofanya jitihada za kimwili kujikwamua weka na sala pia ili uongeze hofu ya Mungu. Waweza funga jumamosi moja toka asubuhi unakuwa katika sala walau kila baada ya saa na jumapili andika ombi lako na utumbukize kwenye boksi la maombi kama lipo. Jambo hili ni faragha usishirikishe mtu, mwambie Mungu anatosha.
 
Back
Top Bottom