strong ruler
JF-Expert Member
- Nov 2, 2013
- 4,921
- 3,308
Cjilo Dr alikushauri nin na ulifanyaje kuji control pale hali za kufanya zilipokuja.nisaidie kujua umeshindaje ndugu yangu
Habari wadau . naomba msaada nifanyeje ili niache tabia hii .
Kwa ufupi tangu mwaka 2000 nikiwa std 7 nilianza tabia hii na nilipokua o level 2001-2004 nikiwa bweni tabia hii ilizidi huku nikifanya bila mtu yeyote kujua .pamoja na kwamba nikiwa secondary nilipata g.friend nikidhani nitaacha tabia hii lakini sikufanikiwa. Kwa wastani nilikua nafanya Mara 1 kwa wiki au Mara 4 kwa mwezi .
Hali hii nimeendelea nayo hata nilipoingia form v hadi namaliza f.6 bado sikufanikiwa
Yaani ninapoamua kuacha huwa nakaa muda tu baadae hali hii hurudi na kujikuta nafanya.
MWAKA 2010 nikaoa nikajua kuanzia hapo basi nitaacha lakini sijaweza hadi sasa ni baba wa mtoto mmoja na kabla ya mwaka huu kuisha Mungu akipenda nitapata mtoto wa pili.
Kiukweli ninapotafakari tabia hii huwa inaniumiza sana ukizingatia tangy utoto hadi nimepita mashuleni nimekua ni kijana anaempenda sana Mungu kiasi kwamba nimeshika nyadhifa mbalimbali za kiroho kama mtunza hazina ,mwenyekiti wa vijana a level , mwenyekiti vijana kanisani na sasa Katibu wa wababa kanisani .
Katika sala zangu ninaomba sana na nikiwa ktk maombi huwa najutia na kutubu kuacha tabia hii lakini baada ya siku kadhaa hurudi pale pale .
Kuna wakati huwa nawaza nimwambie mchungaji labda anishauri lakini kiukweli nakwepa aibu hivyo nikaamua heri nishauriwe na watu nisiofahamiana nao.
Mazingira yafutayo yanachangia .
1. Kuangalia porn video kwa simu
2. Nikiwa peke Yangu hususani nyumbani Mara nyingi nikiwa chumbani
3.Nisipofanya mapenzi hususani siku ambazo wife hayuko fit health.
Hali hii inaniumiza sana kiukweli maana nikijiangalia hadhi na heshima ninapokea ktk jamii , ofisini , kanisani kwakweli nakata tamaa kwakua ni siri ninayotembea nayo kwa takribani mwaka wa 15 sasa.
Najitahidi kujipambanua ili kuongeza maeneo ya kushauriwa . kama haitoshi kwa hivi sasa naweza Fanya hivyo Mara moja kwa mwezi na kila nikifanya huwa najiapiza kwamba Leo ndio mwisho lakini baada ya muda najikuta narudi na kujipa moyo kwamba hamna tatizo ila madhara ya hii tabia nimeanza kuona kubwa ni kutojituma kitandani hali ambayo hata mke wangu ameshawahi kuniambia kwamba sina bidii kuna tatizo gani .
Naomba msaada wa mawazo na ushauri namna ya kuondokana na haya mateso .
Ningefarijika iwapo kuna mtu aliyewahi Fanya na akafanyikiwa kiukweli nawaza mengi na kujiuliza mengi kwamba ni historia gani ninayojitengenezea , inawezekanaje nijimalize mwenyewe kwa kitu ambacho najua madhara yake.
Angalizo :
Kama hauna jambo la kuchangia basi we soma pita kimyakimya waachie nafasi wenye uwezo wa kusaidia.dharau ,vijembe , matusi sipendi maana kila mtu ana matatizo kwa namna moja au nyingine sema tu wengi tumekumbatia matatizo mm siko tayari kufa na tai shingoni ndio maana nimechoka kuumia peke yangu wakati najua penye wengi haliharibiki neno.
Naomba kwa Leo nikomee hapa .natanguliza shukrani
mkuu hakuna atakae kubadilisha hata akupe ushauri mzuri kiasi gani!,bali ni wewe mwenyewe tu!,mdau mzizimkavu wa jf docta aliwahi kusema ukijitahid kuacha siku 40 basi ujue umeacha!,Yaani picha za ngono huwa inafika mahali na download nyingiii baadae nikiamua kuacha nazifuta zooote tatizo linakuja pale nikipatwa hisia hizo naanza Ku download maana sio kaz kuzipata mitandaoni yaani kama nilivyosema kipindi naamua acha ila baada y muda narudi kulekule
Naendelea kupokea ushauri na ninafuatilia kila ushauri . maana nataka kusikia kwa wengine wanazungumzaje juu y hili