Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Hivi hizi dawa za asili zinazotangazagwa humu zina msaada kweli au ni usanii tu wa mjini.
Dawa kama vile BUTEA SUPREBA au OCEANIC PLUS CAPSULES na zingine nyingi zinazofanana na hizo.
Mara nyingi wauzaji husema zinatokana na mitishamba hivyo hazina additive chemicals zenye side effects kwa mtumiaji.
Hivyo huzitofautisha na hizi dawa zingine za ku-boost uume kama VIAGRA, ERECTA na zingine nyingi ambazo huuzwa kwenye maduka ya kawaida ya Madawa muhimu/baridi

Mwenye uelewa zaidi wa hz dawa za asili atushirikishe, au ambaye alishawahi kuzitumia na zikamsaidia.
 
Kwa uzoefu wangu musterbation haiwezi kumuathiri kwa kiwango hicho, most likely alikuwa na hilo tatizo tangu kuzaliwa halafu likaja kuchagizwa na musterbation.

Lakini pia ambalo ni la hatari zaidi kwa kesi chache nilizokutana nazo kuna watu wameathiriwa na hiyo hali mpaka wamekuwa na tabia za kishoga lakini kwa siri sana, yani starehe yake ni yeye kufanywa kwahiyo hata akiwa na msichana hainjoy kivile na hata erection ni tatizo.

Fanya hivi kwa kuanzia mnapotaka kufanya ngono mshauri atumie Viagra, kama kweli ni tatizo la musterbation Viagra itafanya kazi yake.

Lakini vilevile msidharau mitishamba kuna dawa nzuri sana huko na zisizo na madhara kama shida ni musterbation zitamponyesha kabisa
Hili wazo ni zuri,kuna rafiki yangu alifanya kama anavyosema Mshana Jr.alitumia viagra kwa muda flani mpaka confidence yake iliporudi akaachana nazo,yuko vizuri ameshaoa na ana watoto plus michepuko kidogo.
 
Kwa hilo swali lako ndiyo maana jamaa ana wasi wasi na mapenzi yako..
 
Mm nilikuwa mhanga wa tatizo hilo mwaka 2010/2011. Kama bado lipo ni pm nikusaidie kukushauri maana mm sasa hivi nipo fiti na nina mke na tupo vzuri. Kiukweli safari ya kupona tatizo hilo huwa ni chungu sana! Pia unaweza pitia www.herballove.com kuna wengi washare experience ya tatizo lao na wanakomaa kutatu. Tatizo lake lina sehemu mbili, kuna Porn Induced ED na Masturbation induced ED. Yote hayo yanamkabili kama alikuwa anaangalia porn. Masturbation ukifanya sana ina addiction kama madawa ya kulevya na madhara yake ni kiboko!
 
Nakusihi asitumie dawa yoyote, mm niliathirika na tatizo hilo na nimepata taabu sana kurudia hali ya kawaida. Imenichukua miaka mitatu michungu mpaka kujiona nipo fiti kabisa. Nipo tayari kushare experience na yeyote aliye tayari hususani aliyeathirika. Siuzi dawa wala chochote natoa ushauri kutokana na experience yangu mimi mwenyewe bure kabisa.
 
Anatakiwa aonane na wanaume wenzie wamfundishe namna ya kukabiliana na hofu aloipata. Hakuna tatizo la kifizikia hapo ni saikolojia tuu. Na pia wewe dada uwe mvumilivu sana. Ukionesha kumkimbia ndo hataweza kabisa manakd hofu yake ndo itazidi sana. Pia aache punnyeto na afanye mazowezi makali sana ili kurudisha afya na pia ale vyakula vya asili na samaki kwa wingi na vyakula vya baharini jwa wingi sana. Asitumie viagra. Akae muda mrefu bila ya kusex ili hamu ziongezeke siku akikutana na mwanaamke lazima itasimama na ikishasimama vizuri siku moja tu hofu yote itatoka na atarudi kwenye hali yake ya kawaida.
Mwenye zaidi alete tunufaike sote
Tusitoleane maneno ya kashifa.
Umeongea vyema sana mkuu. Huyu ana matatizo mawili, physical na Psychological. Why physical? Punyeto ya muda mrefu imeleta chemical imbalance kwenye mwili wake. Mm nimetoka huko ni mhanga. Ila kama ulivosema asiguse dawa yoyote bali aache kabisa punyeto na porn, pili ale vzuri na afanye mazoezi. Mazoezi ya kegel ni adui kwa mwanaume coz yanasababisha PE labda afanye reverse kegel kidogokidogo.
 
Vyakula kueleweka haswa matunda na mboga mboga, kulala vizuri na wakati, anywe maji ya kutosha, asiwe na msongo wa mawazo na apendelee kutumia aphrodisiac food
 
Kwa uzoefu wangu musterbation haiwezi kumuathiri kwa kiwango hicho, most likely alikuwa na hilo tatizo tangu kuzaliwa halafu likaja kuchagizwa na musterbation.

Lakini pia ambalo ni la hatari zaidi kwa kesi chache nilizokutana nazo kuna watu wameathiriwa na hiyo hali mpaka wamekuwa na tabia za kishoga lakini kwa siri sana, yani starehe yake ni yeye kufanywa kwahiyo hata akiwa na msichana hainjoy kivile na hata erection ni tatizo.

Fanya hivi kwa kuanzia mnapotaka kufanya ngono mshauri atumie Viagra, kama kweli ni tatizo la musterbation Viagra itafanya kazi yake.

Lakini vilevile msidharau mitishamba kuna dawa nzuri sana huko na zisizo na madhara kama shida ni musterbation zitamponyesha kabisa

Viagra ni hatari kwa afya yake
 
Akimaliza akitaka kurudia round ya pili ni kwa kulazimishia yani anakuwa hayupo fully erect sometimes anaweza akawa anatamani kabisa kufanya lakini in the middle of kufanya tendo nasikia kabisa kwamba jogoo amesha sinyaa basi inabidi tuishie hapo mpaka after a while tunajaribu tena kuna kipindi mazoezi alikuwa anafanya lakini sasa naona ameacha
Mwambie aende hospital akafanyiwe check up, huenda hormone ya testosterone imeshuka
 
Nilikutana nae chuo kwenye masomo ya degree ya pili, ni mwanaume mwenye umri miaka 30 (mimi 24). Ni kijana mtanashati, mcha Mungu mwenye upendo na malengo ya maisha. Safari yetu ya mahusiano ilianza baada ya masomo yetu kuisha.

Tulipoanza kukutana faragha ndipo nilipogundua kwamba ana tatizo la Erectile Dysfunction (jogoo hawiki), yani kama akiwika basi erection inakuwa very weak. Nikamuuliza nini tatizo, hakunificha akanielezea tatizo lake kwamba alikuwa anafanya sana masturbation toka yupo primary mpaka amemaliza chuo for about 15 years and it has affected him psychologically.

Naelewa jinsi gani being able to satisfy a partner is to a man na kama akishindwa inamuaffect kwa kiasi gani, so I understood his struggle basi nilimuelewa na akaniambia ni tatizo linatibika ila nikamshauri asijekujaribu short cuts za madawa ya waganga wa kienyeji just because of the pressure ya kupona haraka.

Nikaahidi kumpa muda na support alishughulikie tatizo lake (meaning abstaining from porn n masturbation) na alisema alivyoona madhara yake with his previous gf's akaanza kulishughulikia kama 2 years ago kabla ya sisi kuanza uhusiano tatizo linakuja kwamba sasa yapata miezi 9 naona tatizo bado lipo,, I play my part as a partner kumfanya mawazo yake yote yawe kwangu yani anione mimi desirable n apate proper erection instead of kuvuta hisia za porn.

Na pia tatizo jingine ni kuwa ameloose confidence kiasi kwamba ana doubt mapenzi yangu kwake, kwahiyo muda wote he questions my true feelings, jambo hili hunikera sana japo nimeshamueleza ila bado haachi, najaribu kumuelewa kwasababu yote hii ni a result of his ED problem.

Sasa wadau swali langu ni je, hili tatizo huwa linatumia muda gani kupona, yani mtu kuweza kurudia katika hali yake ya kawaida?? Na akiweza kurudia hali yake ya kawaida are the results permanent??

(This is a serious question) thanks in advance

MADHARA YA KUPIGA PUNYETO (MASTRUBATION) JE KUNA FAIDA AU HASARA YA KUPIGA PUNYETO?

Ili tuweze kuongezeka inatubidi tuzaliane kama viumbe wengine, na hatuwezi tu kuzaliana bila ya kujamiiana, na hatuwezi kujamiiana bila ya kuwa na hisia zitakazotupelekea kufanya kitu kama hicho. Katika maumbile ya mwanadamu hupata hisia hizo anapofikia umri wa kubalehe na ndio hapo huanza kuona mambo mageni kiasi cha kumfanya ajione tofauti na wengine hata kama nao walishapitia hatua kama hiyo.
Katika hatua hii ndio mbegu za uzazi (Sperms) zinaanza kutengenezwa na kukomazwa, hali inayomfanya mtu kuwa na hisia za kutaka kuwa na mwenzake (Girlfriend) ili atimize haja zake. Kwa asilimia kubwa ya vijana wa sasa hujichua ili kuondoa hisia hizi pale wanapokosa wapenzi, na imeathiri vijana wengi sasa bila ya wao kujua.
Kitendo hiki cha kujichua kinachojulikana kama "Kupiga punyeto” in English "Masturbation” huleta madhara ya muda mrefu ambayo ni vigumu mtu kugundua. Hebu tuangalie baadhi ya madhara ya kitendo hiki:

  1. Upungufu wa nguvu za kiume.
Hili ni tatizo linalowakabili watu wengi sana na hili pia hutokana na watu hao kuwa na mchezo wa kupiga punyeto hapo awali au hata muda huu. Na hivyo hukosa nguvu za kiume na kuwafanya wakose heshima ndani ya ndoa.

  1. Kutofurahia tendo la ndoa.
Kumbuka kuwa unapopiga punyeto unatumia mkono ambao unapewa amri na ubongo ya kufanya kile ambacho nafsi itaridhika, hivyo lazima utatumia nguvu nyingi za mkono kwa kadiri ya matamanio ya nafsi yako yanavyohitaji hali itakayopelekea kutofurahia tendo la ndoa kwani hapo utakuwa hutumii mkono bali ni kiungo kingine ambacho hukiamrishi wewe kufanya vile utakavyo.

  1. Madhara ya ndani ya sehemu za siri.

Kitendo cha kupiga punyeto hutumia sabuni ambayo ina kemikali, hivyo kitendo cha kusugua sugua kwa kutumia sabuni huifanya ipenye ndani au kwenye vitundu vidogo vya ndani ya ngozi na kuweza kukusababishia madhara mbalimbali. Ni wachache sana ambao hawatumii sabuni lakini bado haina faida kwani huweza kupata athari kwa sababu zingine.

  1. Kupunguza uwezo wa kufikiri.

Wafanyao kitendo hiki hutumia nguvu nyingi za akili kuwaza kuwa yuko na fulani kumbe sio kweli, yeye yuko peke yake bafuni na sabuni yake tu. Hali hii huumiza sana akili kwani ni kitendo cha kila siku na kwa vijana wengine hufanya mara mbili au zaidi kwa siku kutegemea na hisia zake, hivyo akili huchona na uwezo wa kifikra unapungua kwa kiasi kikubwa sana.

  1. Kukosa nguvu katika magoti.
Kufanya sana kitendo hiki hupunguza mafuta yalio katika viungio vya magoti na kufanya magoti kukosa afya na nguvu.

Unaweza kujiuliza sasa kama ni kijana ufanyeje ili uepukane na hili? Na je? Utadhibiti vipi hisia zako? Ni rahisi sana fanya haya yafuatayo:

  1. Jiweke busy na masomo yako kwani ndiyo wakati wake huu na sio kufuata au kufikiria juu ya matamanio. Kumbka kuw amatamanio hayawezi kuja tu ikiwa utayapuuza na kujali mambo mengine ya muhimu kulingana na wakati wako.

  1. Fanya sana mazoezi ya kuuchosha mwili kama vile kukimbia, kuruka kamba, kucheza mpira, basketball, karate na mengineyo ambayo yatakuchosha na kukutoa jasho kila siku kwa mpangilo maalumu.

  1. Epuka kukaa peke yako bila kazi yoyote kwani kutakufanya ufikirie matamanio kwani ndio jambo linalotawala fikra za vijana.

  1. Acha kula hovyohovyo bila sababu maalum na hasa epuka sana kula vyakula vya mafuta mafuta kwani hivi hutengeneza mbegu za kiume kwa kasi kubwa sana.

  1. Tumia muda wako wa free kupumzisha akili yako kwa kulala.

  1. Jitahidi kutokukaa bafuni kwa muda mrefu bil aumuhimu wowote na epuk akujisugua au kujishika sana sehemu za siri wakati wa kuoga.
Jitahidi ubadilike na fahamu kwamba kufanya hivyo kukiendelea sana kwako itakuwa tena sio mazoea bali ni tabia na siku zote mazoea hujenga tabia, utajikuta huachi hata kama utampata wa kukutimizia haja zako (Mke) kwani hutoridhika naye kwa athari ya mkono wako.

Fahamu pia kuwa kutafuta msichana (Girlfriend) sio njia sahihi kwani ndiyo sababu ya kuharibu jamii kwa kuwaharibia maisha yao kwa kuwapa ujauzito wakiwa mashuleni, kusambaza maradhi na kuleta watoto wa mitaani (Street Children).
Njia sahihi ni kama tulizozitaja hapo juu. Soma kawa bidii, Jali muda wako na kuwa makini sana. Utapata kazi nzuri,utampata akupendaye mkaridhiana, mkaoana na kujenga familia iliyo bora kabisa ambayo hata mungu ataipenda na kuibariki.

POLE BIBIE KWA HUYO MPENZI WAKO KUTOKUWA NA NGUVU ZA KIUME DAWA YA KURUDISHA NGUVU ZAKE ZA KIUME MIMI NINAZO UKIHITAJI TIBA TOKA KWANGU BONYEZA HAPA.DAWA YA KUONGEZA NA KURUDISHA NGUVU ZA KIUME KWA ANAYETAKA!
 
Simple jiweke mbali na urojo. Mafuta vase lini .lotions na sabuni .Na Wacha kutamani
 
nimeipenda sana ujumbe wako nami nawatakia kila lakheri kwa atakaetumia afanikiwe ila wasije kuchukua wake za watu wala mabinti wa watu bali watulie katika ndoa zao
 
hii nahisi inawafaa vibosile zaidi..
wale wakishua kazi kwenu
 
Kutokana na matatizo ya nguvu za kiume na watu kuhitaji kuongeza maumbile ya kiume bas leo hii nimeamua kuwaletea sehemu ndogo tu ya mbinu za kutibu nguvu za kiume na kuongeza ukubwa wa umee

TIBA YA PUNYETO

Sasa nakuja kwenye punyeto na kutibu hilo tatizo na kuwa nguvu za kiume kama kifaru dume
Pia wenye tatizo la nguvu za kiumee tumieni hizi mbinu.

Naomba nieleweke hiv mtu mwenye tatizo hilo anatakiwa kufuata mambo yafuatayo Nina uhakika atapona kabisa na nguvu kama zamani inatakiwa afanye mambo yafuatayo japo ni mashart magumu kidogo kwani unatakiwa ukae miez 4 had miez 6 bila kufanya mapenzi .ntawambia faida zake ukiweza kuwa hiv kwanza utakuwa na nguvu za kiume za ajabu yaan utazid hata zile za awal utakuwa umeweza kuongeza nguvu za kiume kwa kiwango kikubwa zaid na utakuwa umejenga uwezo Mkubwa wa kuwa na kiwango kikubwa cha mbegu za kiume . faida nyingine utafanikiwa kuongeza ukubwa wa mboo yako hasa unene wa mboo na kupitia zoez hili utakuwa umezuia tatizo la mboo kusinyaa na kuwa kadogo jambo jingine utaweza kujenga mwili wa mvuto kimapenz yaani utakuwa na six pack.

Onyo: usifuate masharti, hutaweza kufanikisha zoez hili.

Vyakula unavyopaswa kuvitumia wakati kutibu tatizo hilo(unaweza kutumia vyakula vingine ila hiv ntakavyokutajia hakikisha unatumia)
kula ugali wa dona faida yake ni kuwa utaongeza uwezo wako wa nguvu za kiume na mbegu za kiume pia zitaimarika zaimbivu samaki aina zote, maziwa fresh, maharage, kunde, mboga za majani, mihogo, viaz vitamu, tumia mafuta alizeti, ufuta au mawese..

Tumia matunda
parachichi,ndizi mbivu, machungwa,chenza,madalanzi,maboga,tikiti maji,papai,Nana's,tende,nyanya,pera,kitungu maji,saumu,zabibu,karoti,madafu,bamia,bilinganya.mayai ya kienyeji na n.k

Jinsi ya kuondoa tatizo la punyeto kwa kutumia njia hii unakuwa nguvu ya kuipatia misul nguvu zaidi

Chua uume wako kwa kutumia kitunguu swaumu.

Unatakiwa kipindi chote ukiwa unatumia dozi hii ni unatakiwa kuchukua mboo yako kwa vitunguu vyaumu kila siku kabla ya kulala unaweza kutwanga punje kama tank hiv na ukachua vizur. Faida yake ni kuwa hii inasadia kuipa nguvu mishipa ya uume wako na kuweza kurudisha hali yake ya nguvu kama awali.

Unatakiwa kula kalanga Lita 1 kwa wiki kwa hiyo kwa mwez unatakiwa utumie lita 4 za kalanga kwahiyo kwa miez 4 had sita unatakiwa utumie lita 20 had 24 za kalanga.

Unatakiwa utumie tangawiz kila siku.hii ni kwamba unatakiwa utwange tangawiz mbichi na uchemshe kisha kunywa . hapa hutakiwi kuchanganya na kitu chochote kile na unatakiwa ukitumie ikiwa ya moto wastan na sio iwe ya vugu vugu.unaweza kutumia asubuhi au jioni.

Unatakiwa kunywa maji mengi sana kwa Siku ni vyema ukiweza kunywa maji kuanzia Lita 3 had 5 kwa siku hii ni muhimu sana. Unatakiwa kuchukua pia uumee wako kwa asali mbichi sio ya kuchemshwa . chua uume wako kila siku unapo amka na ukisha chua unalamba kijiko kimoja pia chua jion na utalamba kijiko kimoja cha asali.

Jitahid kutumia matikit maji kwa wiki wasta tumia tikit maji 1 kwa wiki moja na matikit maji 4kwa mwez had miez 4au 6itimie unatakiwa utumie kila wiki yai moja au 2 had umalize doz hii ya miez 4au 6.

Unatakiwa kupasha uume wako kwa kitambaa cha moto wastani. Hapa ni hivi, chemsha maji afu yakiwa ya moto wastan utatakiwa kupaka uume wako mafuta ya zaituni na kisha chukua kitamba chako kikiwa cha moto wastan funika uumee wako afu uwe una vuta mboo kwa kuvuta kwenda mbele .rudia zoez hili mara 3 .Fanya kila siku had umalize doz .unaweza kufanya muda wowote unaopenda ilimrad una muda.

����unatakiwa ufanye mazoez hakikisha kila siku unapiga push up 20 asubuhi na jion 20 na ukiwa na muda fanya zoez la kukimbia au nunua kamba na uruke ruke ukiwa kwako
����unatakiwa ujiamin na kuwa wewe una nguvu za kiume huna tatizo
����hii ndiyo sharti gumu na ukikosea tu bas hutaweza kupona hata kidogo. Na tatizo litakuwa kubwa zaid ya awal. Ni hiv kipind chote hiki hutakiwi kufanya mapenz na mtu yoyote yule au kupiga punyeto. Kwa ukifanya hivyo utakuwa umeharibu tiba yote. Kwa sababu kipind hiki mishipa na viungo vyote vya kiume vitakuwa na kaz moja tu kujenga uwezo wa awal na kurudisha nguvu za awali za kiume hivyo kuipatia nafas mishipa yote kuwa imara na kuimarisha uwezo was kufanya mapenz. Hapa ili uweze kufanikisha hili ni vyema ukajadiliana na mkeo/mpenzi wako kuhusu hili tatizo lako na jinsi unavyotaka kutibu ili uweze kuwa kidume kama awal
����utatakiwa kufanya mazoez ya kegel. Haya ni mazoez maalum ya kujenga uwezo wa mishipa kuwa na nguvu kama kifaru dume
����kula ugal wa dona
������������ Mazoez maalum ya kukujenge uwezo na kuupatia mgongo nguvu mazoez haya yatakusadia kuondoa maumivu ya mgongo na pia nakushaur penda kulala kwenye cement au udongo ila pawe tambala na ukiwa na hayo maumivu ya mgongo au kiuno yatapungua au kuondoka kabisa. Unapo lala lalia mgongo huku ukitazama juu unaweza kulala SAA 1 au zaid au ukihitaji mazoez mengine download video za Abs workout level up to 8 six pack

����������������
Mbinu za kutibu tatizo la punyeto

������������

Mazoezi: kama wewe ni mtu unayeishi bila
mazoezi kabisa hutaweza kurudisha nguvu hizo,
hivyo unahitaji kufanya mazoezi yeyote angalau
nusu saa kwa siku. Inaweza kua kuruka kamba,
push ups, kukimbia, kuogelea na kadhalika.
Mazoezi haya ndio yanayofanya mzunguko wa
damu ue mzuri na wewe usimamishe uume
vizuri. Pia zoez la kegel ni zur zaid kwa kujenga misuli ya uume
Onyo: mazoezi yasiwe makali sana kwani
yatakumaliza nguvu za kiume.
��������������
Kula chakula bora cha asili ; vyakula vya
viwandani vina kemikali nyingi sana na ndio
vyakula vinaliwa sana kwenye kizazi chetu hichi
cha sasa hivi ndio maana shida hizi zamani
hazikuwepo ila siku hizi hata kijana mdogo
analalamika kuishiwa nguvu za kiume. Kula
ugali, maharage, viazi, maziwa mgando, karanga,
korosho, mihogo na vyakula vyote vya asili
unavyofahamu ila punguza ulaji wa nyama
kwani hauna matokeo mazuri kwenye tiba hii.
Kunywa maji mengi sana; kusimama vizuri kwa
uume kunategemea sana mzunguko mzuri wa
damu mwilini hivyo kama mwili una maji mengi
ni rahisi damu kwenda vizuri kwenye uume.
Nikukumbushe kwamba ni wingi wa damu
unaopelekwa sehemu za siri zako na kufanya
uume wako usimame vizuri.. pia mwili unatoa
kipaumbele vya damu nyingi kwa viungo
vinavyotupa uhai kwanza kwa maana nyingine
damu yako haiwezi kuacha kwenda kwenye
ubongo, figo na moyo kwanza afu iende kwenye
uume. Upe mwili sababu za kupeleka damu ya
ziada kwenye uume wako kwa kunywa maji
mengi.

���� chuo cha mapenzi����
Sijaelewa haya

���������������&#56478

Sasa Lita 24 za karanga kwa mwezi sawa na Lita 120

Pia karanga Lita 24 kwa mwezi sawa na Lita 120 kwa miezi 5 halafu unaanza kuvutvuta uume kwa maji ya uvuguvugu sasa si utakuwa na nyege nyingi itakayo kupelekea kumwaga. Sasa mbona hatari
 
Hii inawezeka tu kwa wale ambao watakuwa wapo tayar kupata tiba hii nina uhakika itakusadia maana mi nimetumia mbinu hiz kuongeza size ya uume wangu na ipo sawa kabisa
Size ya uume inaenda sambamba na size ya mwili. Huwezi kuwa na mikono mirefu wakati wewe ni mfupi! Ikiwa utaweza kurefusha mikono wakati sehemu zingine ziko vile vile maana yake viungo havitaweza kufanya kazi kwa ushirikiano unaotakiwa, hapo inakuwa tatizo jipya kwa tatizo la zamani.
 
Kama ilivyo kwa jinsia ya kiume, kuna wanawake pia ni wahanga wa kufanya punyeto kwa kutumia vifaa tofauti tofauti.

Haya ni baadhi ya madhara awezayopata mwanamke anayejichua;

1. Inaharibu kizazi

2. Inakufanya kua mvivu mara kwa mara

3. Unakuwa unakosa hamu ya tendo

4. Maumivu ukeni yasiyo na sababu

5. Uke kuwa mlegevu yaani mtepeto

6. Hupelekea uke kutoa maji maji mara kwa mara au maji yale ambayo utoka kabla ya tendo kuto kuwepo ivyo itakufanya kupata michubuko na maumivu makali wakati wa tendo.

7. Uwezi kuja kujua raha ya tendo ukizoea punyeto sana wewe dada.

8. Punyeto inafanya uke wa mwanamke kukosa ladha kabisa hiyo itapelea kukimbiwa na mmeo au mwenzako kutafuta kamchepuko kenye uke mtamu.

9. Na ukizoea punyeto itakufanya kuwa mtu wa hasira hasira kila mara

10. Punyeto ni hatari kwa afya yako pia ukiizoea sana itapekekea kufanya mapenzi ya jinsia moja.
 
Back
Top Bottom