Hivi hizi dawa za asili zinazotangazagwa humu zina msaada kweli au ni usanii tu wa mjini.
Dawa kama vile BUTEA SUPREBA au OCEANIC PLUS CAPSULES na zingine nyingi zinazofanana na hizo.
Mara nyingi wauzaji husema zinatokana na mitishamba hivyo hazina additive chemicals zenye side effects kwa mtumiaji.
Hivyo huzitofautisha na hizi dawa zingine za ku-boost uume kama VIAGRA, ERECTA na zingine nyingi ambazo huuzwa kwenye maduka ya kawaida ya Madawa muhimu/baridi

Mwenye uelewa zaidi wa hz dawa za asili atushirikishe, au ambaye alishawahi kuzitumia na zikamsaidia.
 
Hili wazo ni zuri,kuna rafiki yangu alifanya kama anavyosema Mshana Jr.alitumia viagra kwa muda flani mpaka confidence yake iliporudi akaachana nazo,yuko vizuri ameshaoa na ana watoto plus michepuko kidogo.
 
Kwa hilo swali lako ndiyo maana jamaa ana wasi wasi na mapenzi yako..
 
Mm nilikuwa mhanga wa tatizo hilo mwaka 2010/2011. Kama bado lipo ni pm nikusaidie kukushauri maana mm sasa hivi nipo fiti na nina mke na tupo vzuri. Kiukweli safari ya kupona tatizo hilo huwa ni chungu sana! Pia unaweza pitia www.herballove.com kuna wengi washare experience ya tatizo lao na wanakomaa kutatu. Tatizo lake lina sehemu mbili, kuna Porn Induced ED na Masturbation induced ED. Yote hayo yanamkabili kama alikuwa anaangalia porn. Masturbation ukifanya sana ina addiction kama madawa ya kulevya na madhara yake ni kiboko!
 
Nakusihi asitumie dawa yoyote, mm niliathirika na tatizo hilo na nimepata taabu sana kurudia hali ya kawaida. Imenichukua miaka mitatu michungu mpaka kujiona nipo fiti kabisa. Nipo tayari kushare experience na yeyote aliye tayari hususani aliyeathirika. Siuzi dawa wala chochote natoa ushauri kutokana na experience yangu mimi mwenyewe bure kabisa.
 
Umeongea vyema sana mkuu. Huyu ana matatizo mawili, physical na Psychological. Why physical? Punyeto ya muda mrefu imeleta chemical imbalance kwenye mwili wake. Mm nimetoka huko ni mhanga. Ila kama ulivosema asiguse dawa yoyote bali aache kabisa punyeto na porn, pili ale vzuri na afanye mazoezi. Mazoezi ya kegel ni adui kwa mwanaume coz yanasababisha PE labda afanye reverse kegel kidogokidogo.
 
Vyakula kueleweka haswa matunda na mboga mboga, kulala vizuri na wakati, anywe maji ya kutosha, asiwe na msongo wa mawazo na apendelee kutumia aphrodisiac food
 

Viagra ni hatari kwa afya yake
 
Mwambie aende hospital akafanyiwe check up, huenda hormone ya testosterone imeshuka
 

MADHARA YA KUPIGA PUNYETO (MASTRUBATION) JE KUNA FAIDA AU HASARA YA KUPIGA PUNYETO?







Ili tuweze kuongezeka inatubidi tuzaliane kama viumbe wengine, na hatuwezi tu kuzaliana bila ya kujamiiana, na hatuwezi kujamiiana bila ya kuwa na hisia zitakazotupelekea kufanya kitu kama hicho. Katika maumbile ya mwanadamu hupata hisia hizo anapofikia umri wa kubalehe na ndio hapo huanza kuona mambo mageni kiasi cha kumfanya ajione tofauti na wengine hata kama nao walishapitia hatua kama hiyo.
Katika hatua hii ndio mbegu za uzazi (Sperms) zinaanza kutengenezwa na kukomazwa, hali inayomfanya mtu kuwa na hisia za kutaka kuwa na mwenzake (Girlfriend) ili atimize haja zake. Kwa asilimia kubwa ya vijana wa sasa hujichua ili kuondoa hisia hizi pale wanapokosa wapenzi, na imeathiri vijana wengi sasa bila ya wao kujua.
Kitendo hiki cha kujichua kinachojulikana kama "Kupiga punyeto” in English "Masturbation” huleta madhara ya muda mrefu ambayo ni vigumu mtu kugundua. Hebu tuangalie baadhi ya madhara ya kitendo hiki:

  1. Upungufu wa nguvu za kiume.
Hili ni tatizo linalowakabili watu wengi sana na hili pia hutokana na watu hao kuwa na mchezo wa kupiga punyeto hapo awali au hata muda huu. Na hivyo hukosa nguvu za kiume na kuwafanya wakose heshima ndani ya ndoa.


  1. Kutofurahia tendo la ndoa.
Kumbuka kuwa unapopiga punyeto unatumia mkono ambao unapewa amri na ubongo ya kufanya kile ambacho nafsi itaridhika, hivyo lazima utatumia nguvu nyingi za mkono kwa kadiri ya matamanio ya nafsi yako yanavyohitaji hali itakayopelekea kutofurahia tendo la ndoa kwani hapo utakuwa hutumii mkono bali ni kiungo kingine ambacho hukiamrishi wewe kufanya vile utakavyo.



  1. Madhara ya ndani ya sehemu za siri.

Kitendo cha kupiga punyeto hutumia sabuni ambayo ina kemikali, hivyo kitendo cha kusugua sugua kwa kutumia sabuni huifanya ipenye ndani au kwenye vitundu vidogo vya ndani ya ngozi na kuweza kukusababishia madhara mbalimbali. Ni wachache sana ambao hawatumii sabuni lakini bado haina faida kwani huweza kupata athari kwa sababu zingine.



  1. Kupunguza uwezo wa kufikiri.

Wafanyao kitendo hiki hutumia nguvu nyingi za akili kuwaza kuwa yuko na fulani kumbe sio kweli, yeye yuko peke yake bafuni na sabuni yake tu. Hali hii huumiza sana akili kwani ni kitendo cha kila siku na kwa vijana wengine hufanya mara mbili au zaidi kwa siku kutegemea na hisia zake, hivyo akili huchona na uwezo wa kifikra unapungua kwa kiasi kikubwa sana.



  1. Kukosa nguvu katika magoti.
Kufanya sana kitendo hiki hupunguza mafuta yalio katika viungio vya magoti na kufanya magoti kukosa afya na nguvu.


Unaweza kujiuliza sasa kama ni kijana ufanyeje ili uepukane na hili? Na je? Utadhibiti vipi hisia zako? Ni rahisi sana fanya haya yafuatayo:

  1. Jiweke busy na masomo yako kwani ndiyo wakati wake huu na sio kufuata au kufikiria juu ya matamanio. Kumbka kuw amatamanio hayawezi kuja tu ikiwa utayapuuza na kujali mambo mengine ya muhimu kulingana na wakati wako.

  1. Fanya sana mazoezi ya kuuchosha mwili kama vile kukimbia, kuruka kamba, kucheza mpira, basketball, karate na mengineyo ambayo yatakuchosha na kukutoa jasho kila siku kwa mpangilo maalumu.

  1. Epuka kukaa peke yako bila kazi yoyote kwani kutakufanya ufikirie matamanio kwani ndio jambo linalotawala fikra za vijana.

  1. Acha kula hovyohovyo bila sababu maalum na hasa epuka sana kula vyakula vya mafuta mafuta kwani hivi hutengeneza mbegu za kiume kwa kasi kubwa sana.

  1. Tumia muda wako wa free kupumzisha akili yako kwa kulala.

  1. Jitahidi kutokukaa bafuni kwa muda mrefu bil aumuhimu wowote na epuk akujisugua au kujishika sana sehemu za siri wakati wa kuoga.
Jitahidi ubadilike na fahamu kwamba kufanya hivyo kukiendelea sana kwako itakuwa tena sio mazoea bali ni tabia na siku zote mazoea hujenga tabia, utajikuta huachi hata kama utampata wa kukutimizia haja zako (Mke) kwani hutoridhika naye kwa athari ya mkono wako.

Fahamu pia kuwa kutafuta msichana (Girlfriend) sio njia sahihi kwani ndiyo sababu ya kuharibu jamii kwa kuwaharibia maisha yao kwa kuwapa ujauzito wakiwa mashuleni, kusambaza maradhi na kuleta watoto wa mitaani (Street Children).
Njia sahihi ni kama tulizozitaja hapo juu. Soma kawa bidii, Jali muda wako na kuwa makini sana. Utapata kazi nzuri,utampata akupendaye mkaridhiana, mkaoana na kujenga familia iliyo bora kabisa ambayo hata mungu ataipenda na kuibariki.

POLE BIBIE KWA HUYO MPENZI WAKO KUTOKUWA NA NGUVU ZA KIUME DAWA YA KURUDISHA NGUVU ZAKE ZA KIUME MIMI NINAZO UKIHITAJI TIBA TOKA KWANGU BONYEZA HAPA.DAWA YA KUONGEZA NA KURUDISHA NGUVU ZA KIUME KWA ANAYETAKA!
 
Simple jiweke mbali na urojo. Mafuta vase lini .lotions na sabuni .Na Wacha kutamani
 
nimeipenda sana ujumbe wako nami nawatakia kila lakheri kwa atakaetumia afanikiwe ila wasije kuchukua wake za watu wala mabinti wa watu bali watulie katika ndoa zao
 
hii nahisi inawafaa vibosile zaidi..
wale wakishua kazi kwenu
 
Sijaelewa haya

���������������&#56478

Sasa Lita 24 za karanga kwa mwezi sawa na Lita 120
Sijaelewa haya
���������������&#56478

Pia karanga Lita 24 kwa mwezi sawa na Lita 120 kwa miezi 5 halafu unaanza kuvutvuta uume kwa maji ya uvuguvugu sasa si utakuwa na nyege nyingi itakayo kupelekea kumwaga. Sasa mbona hatari
 
Hii inawezeka tu kwa wale ambao watakuwa wapo tayar kupata tiba hii nina uhakika itakusadia maana mi nimetumia mbinu hiz kuongeza size ya uume wangu na ipo sawa kabisa
Size ya uume inaenda sambamba na size ya mwili. Huwezi kuwa na mikono mirefu wakati wewe ni mfupi! Ikiwa utaweza kurefusha mikono wakati sehemu zingine ziko vile vile maana yake viungo havitaweza kufanya kazi kwa ushirikiano unaotakiwa, hapo inakuwa tatizo jipya kwa tatizo la zamani.
 
Kama ilivyo kwa jinsia ya kiume, kuna wanawake pia ni wahanga wa kufanya punyeto kwa kutumia vifaa tofauti tofauti.

Haya ni baadhi ya madhara awezayopata mwanamke anayejichua;

1. Inaharibu kizazi

2. Inakufanya kua mvivu mara kwa mara

3. Unakuwa unakosa hamu ya tendo

4. Maumivu ukeni yasiyo na sababu

5. Uke kuwa mlegevu yaani mtepeto

6. Hupelekea uke kutoa maji maji mara kwa mara au maji yale ambayo utoka kabla ya tendo kuto kuwepo ivyo itakufanya kupata michubuko na maumivu makali wakati wa tendo.

7. Uwezi kuja kujua raha ya tendo ukizoea punyeto sana wewe dada.

8. Punyeto inafanya uke wa mwanamke kukosa ladha kabisa hiyo itapelea kukimbiwa na mmeo au mwenzako kutafuta kamchepuko kenye uke mtamu.

9. Na ukizoea punyeto itakufanya kuwa mtu wa hasira hasira kila mara

10. Punyeto ni hatari kwa afya yako pia ukiizoea sana itapekekea kufanya mapenzi ya jinsia moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…