Wewe subiria tu! kama unavyoingoja siku yako ya kufa kwa kuwa hakuna mwanasayansi aliyeweza kukuthibitishia itakua lini
Atakuwa mwathirika wa hii kitu anataka ushindwe kuthibitisha abariki kamchezo hako
 
Kwani kuna madhara mengine unayapata kutokana na hii kitu au unataka tu kuacha ila haikuathiri chochote?
 
Inategemea anapiga na nini.... kama anatumia mshumaa au peni unadhani itabaki kweli?
acha utani,peni? utakuwa una utani

Nilimaanisha kama anawezavumilia maumivu ya kukatika hymen(yeye mwenyewe ajikate)
 
Wewe nimekwambia subiri umeshindwa kusubiri kalale

Basi tuache hizo point zooooote kwa maana hauna scientific evidence yoyote....toa 'evidence' ya point yako ya kwanza tu...punyeto ina haribu kizazi!. Inaharibu vipi? Na madhara yanayoweza kutokea baada ya kizazi kuharibika ni yepi?. Je takwimu zinasemaje kuhusiana na punyeto na kuharibika kwa kizazi?
 
Endelea tu braza uje kusaidiwa mke wako..........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…