Punyeto ni nini na nini madhara yake?
usinunue malaya wewe wala kumshauri mdogo wako utakufa ukimwi upo ndom vijana mnagoma kula pipi na maganda
Hivi umenielewa!!..for 4 years malaya wamenikuza na uwa sirudii malaya asanteni sana malaya wa shivaz na mnara wa saa na mianzini A City..Nimepima na niko safi...Kwa wadogo zangu ukimwi umeenea kila pande ndio maana nimeacha hiyo tabia kama unakula malaya cheza kwa makini na akili condom haisaidii kitu..
 
uswahilini mwana kajichokea, katoa mkeka chini ya mti karibu na nyumba, usingizi ukampitia! huku nako madada wa kiswahi wakaja kusukana pale pale ktk mkeka! mara mshikaji anajikunja kama samaki, mara mkono ndani ya pummbu, wadada hawana habari, kumbe mshikaji kajipimia size ya k, anafanya yake ndotoni, wadada walitoka mbio baada ya mshikaji kuanza kulia kelele zisizoeleweka!
 
unajua mimi mwenyewe nilitaka nipotee kwa haya maneno mpaka nikanunua dawa fulani inaitwa capsule inaniumaga 40000 yangu nikaona hakuna lolote nikaja kushtuka wapi jamaa ananiambia niongeze dozi nyingine Check nilivoachana na masuala ya dawa MECHI KAMA KAWA kikubwa ni kufuata mlo kuna watu hawajawahi nyeto ila mzigo dakika moja kamwaga
Mimi haninyweshi mtu dawa za hayo makitu hata siku moja ila kikubwa naamini lishe tu.
 
wife akiwa kwenye siku za hatari lazima nipige hiyo kitu sasa na akiwa poa napiga mzigo kama kawaida. Kuchepuka naogopa maradhi so mkono wangu unanipa raha bila shida nina zaidi ya miaka kumi na tano sijapata hzo athari.
kwani anaukuwa kwenye hatari wiki mbili? unashindwa vumilia three to four dAyS?
 
Mtoa mada jaribu kutueleza maana ya punyeto na "aina za punyeto" mfano ya kitambaa laini, ya sabuni, ya mafuta, ya papai, ya kubana mpini na mapaja, na kutoboa godoro au kupiga kwny mwanya wa mito ya makochi. Jaribu kutunyambulia zote kisha tuone ni ipi inafaa zaidi na ipi ina mapungufu
 
kwani anaukuwa kwenye hatari wiki mbili? unashindwa vumilia three to four dAyS?
mimi siwezi kuvumilia hata siku moja mkuu so. Ili nisiaibike najipimia size ya k niitakayo kwa mkono wangu
 
Chaputa wanaweza hata kuandamana ili watetee hii kitu
 
Watapoteza pesa bure kila siku.

Mi nawaangalia hawa wanaojidai wanatibu nguvu za kiume....utapewa kidonge kilichotengenezwa na muhogo na dona.

Enzi hizo naanza punyeto nlikuwa napiga mara 3 kwa siku na now nipo vizur balaa hasa "huu msosi naukubali sana"

Mara ya mwisho mepiga february, sasa mmenikumbusha tena ngoja....
Nimecheka hadi machozi eti 'tumekukumbusha ngoja'
 
Back
Top Bottom