Habarini, nimeona niwashirikishe nilichokisikia toka kwa mkufunzi wa masuala ya mahusiano na ngono kama alivyokuwa akitoa semina katika kipindi cha "TED Talk show".
UKWELI.
1. Wale wale walio katika mahusiano wana nafasi kubwa ya kutaka kujaribu punyeto kuliko wasio katika mahusiano.
2. Mapenzi ya jinsia moja yanahusishwa kwa kiwanngo kikubwa na punyeto.
3. Wanaume wanapiga sana punyeto kuliko wanawake.
4. Vijana wanapiga sana punyeto kuliko wazee.
5. Wenye wasili ya ngozi nyeupe wanapiga sana punyeto kuliko ngozi nyeusi.
6. Kadri mtu anavyozidi kuwa na elimu kubwa ndivyo uwezekano wa mtu huyo kupiga punyeto huongezeka
7. Punyeto ni njia pekee ya kufanya ngono salama.
Punyeto hupunguza msongo wa mawazo
8. Karibu asilimia 95 ya wanaume wameshawahi jaribu punyeto katika maisha yao, halikadhalika ni asilimia 89 kwa wanawake.
9. Punyeto husababisha matatizo ya kiakili kama tuu utaendekeza. Maana wengine wanaweza piga punyeto hata muda wao wa kufanya kazi nk
UONGO.
1. Wanawake wanaotegemea Vitetemeshi katika
2. Punyeto katika umri mdogo hakuchangii mtoto huyo kuwa na mihemuko ya kimapenzi hapo baadae.
3. Punyeto kwa kiwango kikubwa hakisababishi matatizo ya kiafya kwa maana ya magonjwa. bali yasababishayo matatizo ya kiafya katika mchakato mzima wa punyeto ni vile vinavyotumika katika mchakato mzima wa punyeto ( kama vile vilainishi, Mafuta, mikono michafu n.k )
Hapa nimeyaweka baadhi tuu, Hayo pamoja na mengine mengi, pitia katika link ya video niliyoiweka mwanzoni mwa huu uzi ujionee na kusikia mwenyewe.