Taja madhara yaliyokukumba kijana usaidiwe na wataalamu hapa
 
Haina madhara punyeto kaka ni faida tupu mi nna mke na nnapiga kwa wiki mara 3
Hayo ndo madhara yake ndugu, una mke lakini huenjoy mpaka upige nyeto, inamaana nyeto ndo inakufanya uenjoy kuliko papuchi ya my wife wako!!

Pole sana kijana kwa kuathirika na nyeto,
 
Kwa nini uache kitu kinachokupa raha?

Piga nyeto, haina ukimwi wala STDs.

Kama umeoa inakuwa kama mke wa pili, siku zamu ya wife siku zamu ya nyeto maisha yanaenda huna shida na michepuko.
 
Mimi sina porojo nyingi wala siko hapa kwa ajili ya kuchekesha:
ni hivi kama mnakumbuka week 3 zilizopita niliji introduce myself nikasema

I am 26 years na nimekua nikifanya huu mchezo wa kujilipua since niko standard 7 (2004 Shinyanga) mpaka namaliza degree yangu mwaka jana 2015 pale UDSM.

***********************
Saa zingine vitu unavotumia kupigia hiyo nyeto navyo vinachangia sana ukubwa wa tatizo...kama unatumia sabuni,lotion na kemikali nyingine kama hizo mara nyingi tatizo huwa ni maradufu kuliko wanaotumia mate(saliva)[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Pole sana ilo ni tatizo limewaathir weng na wamefikir halitibiki ...kwanza inahitaj subra kubwa pili zipo Dawa mchanganyiko na chakula zimewasaidia mamia wakijitibu wenyewe ....wasiliana nasi tulitatue tatizo hilo kwa uwezo wa mwenyez 0712770729
 
Zipo Dawa za asili ambazo hata wew wazjua atapona akifata mashart na aache hayo mambo ..jaribu asal na mdalasini kwanza utaona maajabu yake pia mpikie chai ya tangawizi tu na sukar yake iwe asali utaona maajabu
 
Mimi mwenyewe nilikuwa napiga sana punyeto, nikaathirika kisaikolijia nikawa ndani ya dk tano tu wazungu hao!! Nikabadili life style sasa hivi shemeji na wifi yenu anaomba poo kila tukiwa na mechi!
Mkuu Ulibadili VIP lifestyle.?
 
Kabla ya game make sure unamsucks vya kutosha at the end ataenda mnara tu, pia kuna dawa za asili mshauri akawaone wataalam wa miti shamba
 
hapo mtazunguka sana ila matatizo ni mawili tu...jamaa atakuwa na psychological and spiritual problem....weka psychological problem pembeni...spiritual problem ndo ipo shidaa...hako kamchezo hawezi kaacha kama hatokuwa fit at this field...yaani hapo kuna evil spirits znamvuta kufanya hivyo..na shetan kashajua anapenda mchezo ndo anazidi kumkolezea..i dont want to go into details khsu hiyo field.
back to his brain...kuna chemical kwenye kila human brain inaitwa dopamine..bila hiyo sisi tungekuwa kama mazombie hatujielewi..hyo chemical inatumotivate kufanya vitu...so tangu alipoanza kamchezo amezidi kuichochea hyo chemical hadi leo...so amekuwa ana addiction kama vile mtu wa drugs,alcohol,even prostitution...zotee hizi zinachochewa na dopamine...he is looking for a reward,something precious,hyo ndo dop,
TIBA
1.he have to seek for divine help every day through praying
2.Aache kabisa kucheki pornography coz those videos and images ndo znamfanya afanye masturbation
3.ajaribu kubadilisha habit kama vile asome vitabu,achek movie,ila hyo habit iwe iina positive impact
4.afate balance diet..ale sana watermelon ili arudi kwenye perfomance
5.kuhusu inshu ya ED...chanzo kikubwa ni psychological problem,over 85% ya sababu ya ED ni hiyo..he must deal with that
6.N.B anaweza kukaa kwa miez bila kamchezo ila ataanguka siku moja,ila asijali aendelee kukaa katika imani na msimamo wa kukataa kamchezo...
sorry for my bad writing...hope this will be helpful to him
 
Ni kweli umeeleza vyema nadhani ila uwe unatumia lugha ya kiswahili pekee,itapendeza na kuwasaidia wengi.kiswaenglish unaweza kukitumia na usiwasaidie wengi kwa kutokujua kwao lugha isiyo yao
 
Matatizo haya yanawasumbua miongon mwa vijana weng ila sulhu ni kuacha hayo mambo kisha zipo Dawa za kisunna na asili zinazomrejesha ktk hali yake takriban KWA wiki tatu ataanza ona mabadiliko ...wasiliana na madokta wetu 0712770729
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…