Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Aisee porno kaka, ni yakuacha tu vinginevyo ndugu hautafurahia hawa wadudu lkn nkutie moyo tu nmetumia more than 3 nasikupona ila nlivyo tumia dawa ya no porno no masturbation no erection nkapona ila kiukweli kaka mwanamke mtamu Acha hiyo kitu unakuja niambia inatesa sana yaan zaidi ya miaka 14 nmejaribu kuacha na kupona nlivyokuja pona aisee pipe inasimama htr mpka unajiogopa mzee
More than 3 what.?
 
Tatizo hapo sio puli....Tumepiga sana puli...kwa more than 18 years....na bado tunasimamia show hatari hatari
 
Tatizo hapo sio puli....Tumepiga sana puli...kwa more than 18 years....na bado tunasimamia show hatari hatari
Ila pamoja na ayo iyo kitu co nzuri asee, wengi wanapata madhara, inawezekana usingepiga ungesimamia show zaidi ya apo
 
Hayo ndo madhara yake ndugu, una mke lakini huenjoy mpaka upige nyeto, inamaana nyeto ndo inakufanya uenjoy kuliko papuchi ya my wife wako !!

Pole sana kijana kwa kuathirika na nyeto[/color] ,

Mhhh!
 
Nyeto sio ya kupiga kabisaaaaaaaa especially prone masturbation
 
Mwanangu pole sana .... Hiyo inshu inahitaji kukaza sana kwa sababu vijana wengi ambao wamesha honja wameshindwa kuacha kabsa!!!!!
 
waelimishaji rika inabidi tuingie kazini kwenye masekondari ili kusaidia kupunguza hii shida, inabidi niandae proposal, wadau mnaohusika na utoaji wa grants za kuendeshea uelimishaji tuwasiliane
 
Vita ya punyeto na picha za ngono inahitaji usajiri sana kuanzia kiakili paka ki mwili me nilikaaa mwaka mzima bila kupiga punyeto na nikarudia niliumia sana lakini nikakumbuka vita ni vita tu mapambano lazima yaendelee
Kitu cha kwanza ni kuangalia mazingira yanayokupelekea kupiga punyeto epukana nayo mapema sana na inahitaji dhamira ya dhati na punyeto ni hatari kuliko bangi wanazotumia mateja ya mwananyamala hii ni sawa na kutega bomu ndani ya chumba unacho lala...jamani ambao mnapiga punyeto muache madhara yaliyonipata ni makubwa sana.
Punyeto imawezekana kuacha Mimi nilikuwa muhanga sana but sasa nimeacha zamani tu sina hamu Nayo tena.

Chapa sana k mpaka utaona punyeto haina maana[emoji14]
 
mkuu ulipata madhara gani mbona unatutisha ?
Unajua usipende kujilinganisha madhala ya mtu mwingine na wewe. Katika mbili WA binadamu kuna vitu vingi sana tunatofautiana. Mwingine akinywa bia moja tu chalii, mwingine anapiga hata creti 3 lakini yupo safi. So usijilinganishe unaweza acha starehe yako kwa madhara ya mwingine
 
isipokuwa kwa sababu za kidini, punyeto ni nzuri ikiwa kwa kiasi chake, tena ni njia nzuri ya kujifunza ku control ejaculation na ku prove Mafanikio ya KEGEL EXERCISES.
 
Vita ya punyeto na picha za ngono inahitaji usajiri sana kuanzia kiakili paka ki mwili me nilikaaa mwaka mzima bila kupiga punyeto na nikarudia niliumia sana lakini nikakumbuka vita ni vita tu mapambano lazima yaendelee
Kitu cha kwanza ni kuangalia mazingira yanayokupelekea kupiga punyeto epukana nayo mapema sana na inahitaji dhamira ya dhati na punyeto ni hatari kuliko bangi wanazotumia mateja ya mwananyamala hii ni sawa na kutega bomu ndani ya chumba unacho lala...jamani ambao mnapiga punyeto muache madhara yaliyonipata ni makubwa sana.
Sawa kbs mkuu, mara nyingi punyeto ni matokeo ya kuangalia picha za ngono....

Punyeto ni ulevi kama ilivyo kwq pombe au sigara, suluhisho ni kuepuka kisababishi cha ulevi husika.

Kwahiyo ukiweza kuzikwepa picha za ngono ni Ushindi mzuri wa punyeto
 
Mimi sina porojo nyingi wala siko hapa kwa ajili ya kuchekesha:
ni hivi kama mnakumbuka week 3 zilizopita niliji introduce myself nikasema

I am 26 years na nimekua nikifanya huu mchezo wa kujilipua since niko standard 7 (2004 Shinyanga) mpaka namaliza degree yangu mwaka jana 2015 pale UDSM.

Nimekuja kushtukia mchezo baada ya kushindwa kucheza mechi na demu wangu mpya last month (yani nilimuandaa mpaka akalegea, ile naingiza tu wazungu hao na kwenda second round ikawa ishu)

(Siku ya mei mosi) nilitangaza kuwa nimefikisha Mwezi tangu niachane na punyeto.

Na nikaomba kama wana MMU wenzangu mzidi kunipa moyo juu ya
haka ka ugonjwa.

Sasa hii week nzima since j3 manzi wangu yupo MP halafu mie nikawa na maganzi kishenz, nimejikaza usiku na mchana... Aaaah leo uzalendo ukani shinda...

Kwanini nisijilipue kamoja ka fasta fasta kitandani mchana huu.. Hapa mwili mwepesi...

Demu wangu siishi nae, mie nimepanga yeye anaishi kwao bado..

Lengo la kuleta MREJESHO ni kuwapa changamoto zinazo tukumba sisi vjana tuliokua ADDICTED na hii kitu inahitaji niya ya dhati jamani kuachana nayo..

Anyway, I will do my Best niachane nayo, mwanzo mzuri (more than 40
days?) zaman ilikua kwa week hata mara tatu..

Wenu katika harakati za vijana kujitambua "NITAKUFA LINI"

Ahsanteni sana

Nimecheka kama mtoto wa mwaka 1.

Inaonyesha watanzania tunapenda hizi mada kupiga nyeto.

Ndio maana matangazo ya nguvu za kiume yako mengi.

Wanawake wataanza kukosa soko.

Sara jay ni mkombozi wa wengi.
 
Vita ya punyeto na picha za ngono inahitaji usajiri sana kuanzia kiakili paka ki mwili me nilikaaa mwaka mzima bila kupiga punyeto na nikarudia niliumia sana lakini nikakumbuka vita ni vita tu mapambano lazima yaendelee
Kitu cha kwanza ni kuangalia mazingira yanayokupelekea kupiga punyeto epukana nayo mapema sana na inahitaji dhamira ya dhati na punyeto ni hatari kuliko bangi wanazotumia mateja ya mwananyamala hii ni sawa na kutega bomu ndani ya chumba unacho lala...jamani ambao mnapiga punyeto muache madhara yaliyonipata ni makubwa sana.
Funguka kidogo ayo madhara
 
Mbona wengine wanapiga punyeto na wanawaridhisha wapenzi wao?? Wewe itakua unamatatizo binafsi
Na hapa mimi ndipo nashindwa kuelewa kuna uhusiano gani wa puli na kushindwa kumtosheleza mwanamke? Nakumbuka kipindi nasoma mwalimu wetu aliulizwa madhara ya puli akasema moja ya mazara ni kuufanya uume uzoee ugumu wa mkono kwenye kukojoa na siku ukitumia papuchi ile ni laini sana basi utakuwa huwezi kukojoa maana yake utapiga show kutwa mzima bila kukojoa. Sasa hawa vijana wanalalamika kuwahi kukojoa sizani kama shida ni puli.
 
Tatizo la puchu ni tamu kuliko papuchi na rahisi kuipata.Ila ACHAAAAA
 
Acha kuangalia video za ponography

Video hizi ndio chanzo kikuu cha punyeto kwa watu wengi hua zinajenga picha nyingi kwenye ubongo na kila picha unayoiona utataka ukaipigie punyeto hivyo kuacha kuziangalia tu ndio nafuu yako..

Weka mipango ya kuzuia kupiga punyeto wakati wa kuoga

Bafuni ndio sehemu ambayo inatumika sana na watu wengi kupiga punyeto hivyo ni vizuri kua na mikakati ya kujizuia ukiwa huko kwa kuoga haraka na kuondoka, kuoga maji ya baridi ambayo mara nyingi hayatoi muhemko wa kupiga punyeto.

Epuka kukaa nyumbani peke yako

Mara nyingi kukaa peke yako kunakufanya ushawishike kufanya tendo hilo, hebu ondoka na ujichanganye na watu wengine au tafuta majirani wa kukaa na kuongelea mambo mengine.

Fikiria kuhusu madhara yake

Kila aliyewahi kupiga punyeto kuna madhara mabayo ameshayapata hasa madogo madogo kama uchovu mkubwa, kuumwa kichwa na kusahau sana hii itakupa moyo wa kuendelea kutopiga punyeto.

Acha kusema eti hii punyeto ni ya mwisho

Siku zote wapiga punyeto wana akili moja ya kufikiria eti sasa leo napiga afu sirudii tena. Hicho kitu hakipo, kwani kesho yake utasema ivoivo, kama unaacha acha mara moja.

Tafuta mpenzi kama huna kabisa

Ukiwa na mpenzi madhara ya punyeto kama kupungukiwa nguvu za kiume yatakufanya uache kabisa kwani ukiendelea utaaibika siku moja pale uume utakaposhindwa kusimama kabisa mkiwa faragha chumbani na pia utapata nafasi ya kushiriki tendo la ndoa hivyo kuacha kabisa punyeto. pia unaweza kumshirkisha mwenzi wako tatizo lako ili akusaidie kuacha.

Anza mazoezi na jishughulishe na mambo mengine

Hii itakufanya ue bize na mambo mengine na utumie mda wako mwingi huko, pia mazoezi ya jioni yatakufanya uchoke na kushindwa kufikiria kupiga punyeto wakati wa kwenda kulala.
 
Back
Top Bottom