kambagasa
JF-Expert Member
- Aug 18, 2014
- 2,269
- 1,803
Hasa ukiona video ya churaHapa Pagumu Aisee!!!! Unaweza Jikuta Miaka 2 umeacha ikisha siku moja tu ukajikuta unajiripua kiroho safi huku ukiwa unajipa matumaini hutofanya tena..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hasa ukiona video ya churaHapa Pagumu Aisee!!!! Unaweza Jikuta Miaka 2 umeacha ikisha siku moja tu ukajikuta unajiripua kiroho safi huku ukiwa unajipa matumaini hutofanya tena..
issue ya mazoezi ni story tu lkn utabeba hata nyumba lkn mwisho wa siku uta piga tu,Madhara yake makubwa, hata ukipata demu dushe halisimami vizuri, na likisimama ujue dakika tano nyingi wazungu hao alaf halinyanyuki tena hapo....matokeo yake utaanza kutumia madawa na huo ndio mwanzo wa safari ya shimoni..
Solution
Jiwekeze kwenye mazoezi, acha pornography pic & vids, tafuta mpenz,
Angalia post no 26Bullar,suluhisho mkuu
Acha Mr hii mambo sio nzuri kabisa.Ngoja nikapige ya mwisho.
Sikio lakufa ila usijal watoto wako watakua mapovu namke wako sabuniNgoja nikapige ya mwisho.
Aseee umeongea ukwel hizi smartphone zinatuharib hasa ukiwa nabundleissue ya mazoezi ni story tu lkn utabeba hata nyumba lkn mwisho wa siku uta piga tu,
njia rahisi ya kuacha ni kujiepusha kukaa peke yako, acha kabisa kwa mda kutumia smartphone au tumia palipo na watu, usithubutu kuangalia pornography, tafta mpenzi fanya nae sana kla mda, usipende kushika nyeti zako hasa usiku, mwisho ukianza kupata hisia za punyeto badil akili yako kwa nguvu waza kitu kingine miez 2 tu unapona.
I'm speaking from experience
Lazima utakua unapigiwa mana kabao kamoja hakamtoshi mkeoNina Mke Sasa Nina Mtoto Wa Kiume Niliwah Kua Muhanga Wa Punyeto Tangu Mwaka 2000 Mpaka 2011 Na Kuna Miaka Kama Kuna Sku Nlikosa Kupga Puli Ni Wiki 3 Madhara Yake Makubwa Mno Kwanza Mpaka Nimepata Nguvu Ya Kubebesha Mimba Aise Achen Hyo Kitu Mara Moja Madhara Yake Makubwa Sana.
ahahaha yani unajilaumu lakini unajikuta unarudia, unaweza pumzika kwa muda hata wa mwaka mzima(though ulisema umeacha;ulipumzika tuu) lakini ipo siku utajipa nosweat utachukucha tena,hapo usipokuwa makini utachukucha frequently kwa muda fulani hadi uje uache/upumzike.mimi ili kuacha/kupumzika ilinibidi nitafute manzi zaid ya mmoja mana niligundua napanda sana mnazi kipindi nikiwa single au manzi yangu akienda kwao likizo.ni mwaka na miezi kadhaa tangu mara ya mwisho kupanda mnazi nimepumzika/nimeacha sijui.Hapa Pagumu Aisee!!!! Unaweza Jikuta Miaka 2 umeacha ikisha siku moja tu ukajikuta unajiripua kiroho safi huku ukiwa unajipa matumaini hutofanya tena..