CONSTRUCTIVE THOUGHT
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 1,158
- 417
Ahsante!Nyeto msiichukulie kirahisi namna hvyo...kuandika umeandika hongera lakini Kiukweli punyeto ni uraibu/addiction ambayo inahitaji malezi ya kiroho na imani kubwa ili kujinasua, punyeto ni sawa na teja wa ngada kwa hiyo kuhubiri tu hivi itasaidia asilimia ndogo sana. Tatizo la nyeto ni mbadala wa tendo la ndoa ambalo ni starehe kubwa kimwili.
Tiba kuu ni kujua kuwa kila ulipo Mungu anakuona popote ulipo hata ukijificha upige anakuona, na punyeto inahesabiwa ni dhambi ambayo utahukumiwa siku ya mwisho.
Nafurahi kuona jitahada nyigi zikifanyika kunusulu wapiga punteto ambapo sasa unatambua kuwa nazo hizo njia zinasaidia ikiwa kama muathilika atakuwa ameaandaliwa kiroho.Now we are talking. Nyeto (au uraibu mwingine) ni tatizo la kisaikolojia zaidi na kutoa masuluhisho ya kimwili tu haisaidii sana. Mtazame masikini Ray C anavyohangaika. Masuluhisho ya kimwili hata yawe mazuri namna gani bila kushibisha kwanza nafsi ya kiroho na kisaikolojia haitasaidia sana. Ndiyo maana program nyingi za kuondokana na uraibu (mf. Alcoholics Anonymous) zinahusisha pia mambo ya kiroho na kisaikolojia. Kuna hatua fulani kisaikolojia/kiroho mwathirika akiweza kuiona basi kunakuwa kama vile kaona ufunuo fulani hivi. Hapo ndipo masuluhisho ya kimwili kama kufanya mazoezi na mengineyo yaliyopendekezwa hapa yanaweza kufanya kazi vizuri na kwa urahisi sana. Vinginevyo mwathirika atajaribu atashindwa halafu ndipo atazidi kudidimia zaidi na kuingia katika depression kali kwani kila anapojaribu kimwili na kushindwa ile sense of guilty na hopelessness inaongezeka. Ndiyo maana nikasema ishu hii ni complicated kwani ina variables nyingi na suluhisho lake siyo rahisi tu kama kufanya mazoezi, kujipaka pilipili mikononi n.k. Kwanza mwathirika awe amegusika kisaikolojia/kiroho na awe ameshakata shauri kuacha kabisa kabisa. Vinginevyo atatoka gym akiwa hoi huyo anaishia kuungurumisha punyeto. Na pilipili mikono ataiosha mwenyewe ili aende akajirahatupuishe. Asante sana mkuu kwa mchango wako.
Kwa wenye tamaa ya kuacha punyeto kwanza wajisaili. Ni kweli wamedhamiria kabisa kabisa kuacha no matter what? Halafu wajieleze wenyewe ni kwa nini wameamua kuacha kabisa. Ni vizuri pia wakawa na plan watakayoifuata katika kufikia jukumu hilo both short na long term. Pia ni lazima wawe na mbinu itakayowasaidia kila wakishikwa na hamu kali ya kunyetoka. Wengine inaweza kuwa ni sala. Wengine ni meditation. Wengine ni kubadilisha physical setting n.k.
Tuwasaidie na wengine waache.watu tumeshaacha unaanza kunikumbusha
Yote ni sawa kwani wapo walioacha baada ya kuoa. Maana yake ni kwamba walipata mtu wa kukizi haja zao pale inapoitajika.Kweli kabisa mkuu, kuorodhesha madhara ya punyeto pekee hakumsaidii mwathirika kuacha, it needs a close care physically and mentally or spiritually, addiction is a mental problem rather than physical, to avoid this catastrophe there must be a very close counselling to an affected person in order to rehabilitate the situation.
Acha kuangalia video za ponography
Video hizi ndio chanzo kikuu cha punyeto kwa watu wengi hua zinajenga picha nyingi kwenye ubongo na kila picha unayoiona utataka ukaipigie punyeto hivyo kuacha kuziangalia tu ndio nafuu yako..
Weka mipango ya kuzuia kupiga punyeto wakati wa kuoga
Bafuni ndio sehemu ambayo inatumika sana na watu wengi kupiga punyeto hivyo ni vizuri kua na mikakati ya kujizuia ukiwa huko kwa kuoga haraka na kuondoka, kuoga maji ya baridi ambayo mara nyingi hayatoi muhemko wa kupiga punyeto.
Epuka kukaa nyumbani peke yako
Mara nyingi kukaa peke yako kunakufanya ushawishike kufanya tendo hilo, hebu ondoka na ujichanganye na watu wengine au tafuta majirani wa kukaa na kuongelea mambo mengine.
Fikiria kuhusu madhara yake
Kila aliyewahi kupiga punyeto kuna madhara mabayo ameshayapata hasa madogo madogo kama uchovu mkubwa, kuumwa kichwa na kusahau sana hii itakupa moyo wa kuendelea kutopiga punyeto.
Acha kusema eti hii punyeto ni ya mwisho
Siku zote wapiga punyeto wana akili moja ya kufikiria eti sasa leo napiga afu sirudii tena. Hicho kitu hakipo, kwani kesho yake utasema ivoivo, kama unaacha acha mara moja.
Tafuta mpenzi kama huna kabisa
Ukiwa na mpenzi madhara ya punyeto kama kupungukiwa nguvu za kiume yatakufanya uache kabisa kwani ukiendelea utaaibika siku moja pale uume utakaposhindwa kusimama kabisa mkiwa faragha chumbani na pia utapata nafasi ya kushiriki tendo la ndoa hivyo kuacha kabisa punyeto. pia unaweza kumshirkisha mwenzi wako tatizo lako ili akusaidie kuacha.
Anza mazoezi na jishughulishe na mambo mengine
Hii itakufanya ue bize na mambo mengine na utumie mda wako mwingi huko, pia mazoezi ya jioni yatakufanya uchoke na kushindwa kufikiria kupiga punyeto wakati wa kwenda kulala.
Nyeto msiichukulie kirahisi namna hvyo...kuandika umeandika hongera lakini Kiukweli punyeto ni uraibu/addiction ambayo inahitaji malezi ya kiroho na imani kubwa ili kujinasua, punyeto ni sawa na teja wa ngada kwa hiyo kuhubiri tu hivi itasaidia asilimia ndogo sana. Tatizo la nyeto ni mbadala wa tendo la ndoa ambalo ni starehe kubwa kimwili.
Tiba kuu ni kujua kuwa kila ulipo Mungu anakuona popote ulipo hata ukijificha upige anakuona, na punyeto inahesabiwa ni dhambi ambayo utahukumiwa siku ya mwisho.
vipi wife alirudi au na wewe umeanza kupiga puchuissue ya mazoezi ni story tu lkn utabeba hata nyumba lkn mwisho wa siku uta piga tu,
njia rahisi ya kuacha ni kujiepusha kukaa peke yako, acha kabisa kwa mda kutumia smartphone au tumia palipo na watu, usithubutu kuangalia pornography, tafta mpenzi fanya nae sana kla mda, usipende kushika nyeti zako hasa usiku, mwisho ukianza kupata hisia za punyeto badil akili yako kwa nguvu waza kitu kingine miez 2 tu unapona.
I'm speaking from experience
Jitahidi uache.Nina wiki moja toka niache ila leo imenibana kazini ikabidi nipige moja.ila nitaendelea kuwa bize zaidi ili niache
Ahsante sana mkuuKama unahitaji msaada kuna website nyingi zinatoa msaada kama Protect Yourself! | K9 Web Protection - Free Internet Filter and Parental Control Software
Mmh!Wapiga pinyeto msimu huu wa baridi nawashauri musmke mapema,oga maji naridi uhakikishe dushe linalala,alafu wahi kazini taratibu utaacha kupiga puchu
thanks too!thanks for sharing
Sawa mkuu, taendelea kutoa ujuzi zaidiShukran kwa neno lako, ni wiki sasa cjafanya hiki kitendo.... Nipeni ujuzi zaid ili niendelee kuikimbia hii dhambi
hongera najitahidi ifike mwezi,miezi miaka mwisho unasahau mazima mi nina miez 6 nataka mwaka uishe nijipokeze miaka ipite,Shukran kwa neno lako, ni wiki sasa cjafanya hiki kitendo.... Nipeni ujuzi zaid ili niendelee kuikimbia hii dhambi
Hongerahongera najitahidi ifike mwezi,miezi miaka mwisho unasahau mazima mi nina miez 6 nataka mwaka uishe nijipokeze miaka ipite,
punyeto ni mbaya sana ukirudia eta itakuja kukufanya ujichukie