Imewahi kunitokea hii, mtoto alikua ananielewa sana, kalipia lodge, kanunua msosi, nimemuandaa fresh umefika mda wa tukio ngoma holaa hata kondom haivaliki, nililala nae mpaka asubuhi bila kufanya chochote, niliona aibu sana, pia nilimhurumia sana kumpandisha hisia halafu nikamuacha hewani.. ilibidi nimtafutie sababu ili nimuache coz ningemtesa zaidi , mpaka leo ni mwak sijajihusisha na mapenzi tena kwani bado naogopa aibu.
Kamchezo najitahidi kuacha,nakula vizuri, nafanya kegel mara mojamoja na mazoezi mengine.. ingawa sometimes napitiwa nastua, ila najitahidi sana kuacha, kiukweli tumuombe sana Mungu atuepushe na hii kitu sio nzuri kabisa,Maisha yangu yamekua ya mawazo sana sababu ya hiki kitu kila nikifikiria najiona mwenye hatia sana, naona namkosea Mungu, pia nawakosea wanawake kwani wapo wanaonihitaji ila nawakwepa kukwepa aibu, mpaka kazini kwangu wananishangaa kwani sina mahusiano na wanawake kabisa, jamani TUACHE na kama hujaanza usiingie.