Punyeto ni nini na nini madhara yake?
mi sitokaa rudia hiyo kitu na ninachukia sana porn kwa anayehitaji kuacha kwa kiroho saf tupeane ma contact tupeane ma hope
 
Hii mambo ilinishinda kuacha aisee, Uchanguzi mkuu 2015 nilipiga ya mwisho nikasema na huu uchanguzi kinaweza Tanzania kuna weza kukanuka mda wowote nikasepa na huko nitakako sepea nikakosa sehemu ya kwenda kutimiza haja yangu ya nyeto, cha kushangaza juzi mwezi wa 5 nimefuliliza wiki napiga tu wakati nilisha kaa mda mrefu bila kupiga hii kitu! Ukisha kuwa mhanga yaani unakuwa na dharau kwa wanawake balaa
 
So bro ukawa unajipimia......fanya uamuz unaaweza acha.

Vuta chombo ndani, utajikuta unaacha tu
 
Hii mambo ilinishinda kuacha aisee, Uchanguzi mkuu 2015 nilipiga ya mwisho nikasema na huu uchanguzi kinaweza Tanzania kuna weza kukanuka mda wowote nikasepa na huko nitakako sepea nikakosa sehemu ya kwenda kutimiza haja yangu ya nyeto, cha kushangaza juzi mwezi wa 5 nimefuliliza wiki napiga tu wakati nilisha kaa mda mrefu bila kupiga hii kitu! Ukisha kuwa mhanga yaani unakuwa na dharau kwa wanawake balaa
Nimecheka sana ulipo sema ukiwa mpigaji unazalau wanawake
 
ni wewe tu uliamua kupiga kwani kuna mtu alikulazima ukisema naacha ukaamua kweli unaacha ichukie halafu utaacha au endelea nayo usipotaka jiua bas utaacha
 
Nipe mbinu nijitoe maana mwisho jana nimestua dah
ukisema mwisho jana ulishtua utapiga leo ukijidanganya eti utamu ukimaliza umeichosha akili yako kwa kuvuta hisia ambazo sio asilia unajimaliza na ukiendelea zaidi na zaidi utakua likitu la ajabu utakua huna nguvu kimwili,uwezo wa kufikiri na pia utajichukia sanaa ukitaka kuacha tafuta muathirika mwenzie aliepona akupe ushaur ni vyakula na mazoez kegel na kuondoa stress kujenga mazoea ya kujamiiana na mwanamje(tafuta mpenzi 1) utaacha mazima utakua dume la mbegu
 
Hayo mazoezi ya kegel ndo unafanyaje mkuu?
 
Back
Top Bottom