Hii suala limekua janga Taifa ni bora lijadiliwe Bungeni...
Tengeneza picha pale Madam Stay-Calm anapobishana na Tobo kuhusu hii issue.
Pale Chama chao wanatete na chetu wanapinga au kinyume.
Stay-calm: Mheshimiwa kaa chini mpe nafasi na August achangie
Tobo anagomea pale.
Stay-calm: Mh. Mbona umelivalia njuga swala hili?! Kwani na wewe ni muhanga?!
Tobo: umenitus kwa hasira sote tunatoka nje!!

Baada ya vikao vyao wanapitisha sheri.....
.
.
.
Hii touch vip.... aaagh!!!
 
Hakikisha hukai chumban peke yko na ukiingia bafuni acha mlango waz!maana mawazo y kulikwaruza yanakuja ukishajihc uko peke yko hamna watu
Ahahahahaha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Fanya mazoezi kiasi, kama soma vitabu mbarimbari, epuka kukaa karibu na vishawishi ikiwemo movie na porno
 
Kama uko mbali na mpenzi kuacha nikazi unaacha au umepata njia mbadala piya nazani wanawake ndoo chanzo cha wanaume kuingia huku unakuta dem anakuzingua anaona bora ujichuwe unaokowa pesa na mda
Yah. Na hii ni sababu pia. Wanawake wamekua ghali sana siku hizi. Na udomo zege pia ni sababu
 
Unazijua vizuri nyg?
Nazijua ndiyo.. Kuwa bize na mambo yako, fanya mazoezi, usipende kukaa peke yako maana utajikuta mpweke na matokeo yake utaishia kujichua. Mrudie Mungu wako ili uwe na hofu ya Mungu kila ukifikiria kufanya jambo hilo.. Its easy and hard at the same time
 
Hongera sana kwa kuweza kuacha. Kwaiyo sasa hivi upo fiti 100%?
 
Una bahati sana kama hujazipata izo side effects. Ila lipo kundi la watu ni wahanga na wanajutia kuijua puli
 
Mbona sijaona faida? Fungka Na faida ili mtu anapoacha ajue atakosa vitu gan...!!!
 
This is an addiction! Kama ukiendelea kuna hatari ipo siku itagoma kusimama kabisa ukiwa na mkeo. Ni ngumu sana kuacha, believe me i know what am saying because i was there!
 
Nilishawahi kupatwa na janga kama hili! Sina hamu na punyeto! Vijana wengi wameathirika na punyeto, vijana wengi wameishiwa nguvu za kiume kwasababu ya punyeto! Nashudia punyeto ina addiction kama madawa ya kulevya, kuacha ni tabu! Mtu ukimaliza unajichukia kabisa na kujiona ni mwenye hatia lkn kesho unarudia tena!! What is this?? Devil at work!!.
Baada ya kuhangaika sana kuacha hiki kitendo na kurudia tena na tena, siku moja ilibidi nilie kwa Mwenyezi MUNGU aniokoe na balaa hili maana najaribu nashindwa! Namshukuru Mwenyezi MUNGU kwa dhati kabisa aliivunja ile cycle ya kurudia kutamani tendo lile hadi numeacha na nimepona. It has taken years to get full recovery! Safari ni ngumu maana kumridhisha mke huwezi hata! Unaweza lia kitandani. Namshukuru Mwenyezi MUNGU kwa kunijaalia mke mvumilivu hadi sasa nipo normal. Saivi kitanda changu na mke wangu ni kizuri na kina furaha sana. Kwakweli punyeto haifai. Kwa mwanamke mpiga punyeto ni ngumu sana sana kuridhishwa kitandani, kuoa mke wa aina hii ni janga maana kila siku atakusingizia humfikishi kumbe tatizo lipo kwake viungo vyake na hisia zake zimeuawa kwa punyeto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…