Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Kama uko mbali na mpenzi kuacha nikazi unaacha au umepata njia mbadala piya nazani wanawake ndoo chanzo cha wanaume kuingia huku unakuta dem anakuzingua anaona bora ujichuwe unaokowa pesa na mda
 
aixee ni tatizo kumbe...madhara yapo,lkn kwa wanaume inaweza ikawa msaada wa kukukinga na tezi dume(prostate cancer)...kufanya mazoezi na meditation inaweza saidia
 
Hili tatizo Ni kubwa Sana.ila Kuna siri kubwa ndani yake wengi husema Leo nafanya Mara ya mwisho lkn baada ya siku kadhaa hurudia.kitu cha kushangaza zaidi hujiuliza maswali Na kujipa matumaini kwa majibu mepesiiiii
utasikia mtu anapiga puli uku akisema "ya mwisho mwisho mweee!!"
 
kiukweli mimi ndoo kiongozi wa hiyo hishu nimeaza kupiga nyeto so chini ys miaka 15 na mpaka sasa nimeoa ila mke wangu simpigi zaidi ya bao moja nikimpiga moja siwezi tena kuruddia tendo mazara niliyo yapata ni hayo ila natamani sana kuacha ila naisi siwezi ila namshukuru mungu kwa sasa nimepunguza yaan nafanya mara moja kwa mwezi au nisifanye kabisa ila sema mimi ni mjanja ila angekuwepo boya mwingine angeachwa na mke wake mimi bao moja nikimpiga mke wangu ni jisaa moja tena nazaidi namchezea vizuri namlamba kila kona ya mwili wake tena ananiona mimi ndo shujaa wake kwamaana namrizisha naananipenda sana ila mateso ninayo yapata jinsi gani yakuacha punyeto ila nimeepuka kukaa pekeyangu pia mara nyingi najichaganya na marafiki yaani punyeto aitaki uwe pekeyako ukiwa mpweke tu lazima upige tu kuwacha hii kitu ni ngumu na wala sio rahisi kama watu wanavyo nazani ÑAWASILISHA
 
Mimi nilishakua muhanga wa hii kitu, ngoja nikiri tatizo

nilikua najichua toka form4 hadi chuo 3rd year
Sikuwahi kuwa na mwanamke siku niliyoamua kua nae ilikua usiku tulikua sehem nikasema ngoja leo nimkiss ya kizungu na huku kifuan nifanye kama mtoto hakika NASEMA ishu haikusimama kabisaaaa niliogopa sana, ila niwe kweli ilibidi nivute hisia za kujichua nimweke huyo huyo nimvue nguo ishu ndio ikasimaa kichwani sikua na yule pale bali yule aliku kama kivuli ili kuendeleza kusimama kwa ishu ilibid niendelee kumuweka kichwani

toka hapo nilisema basi. Nimekua vzr
 
hizo side effect zako za kujichua sio za kweli...nimeanza ako kamchezo toka mwaka 2003 mpaka leo.Na kila siku napiga mechi kwa uwezo ule ule na nina watoto watatu kila mtoto na mama ake na watoto wote copyright na mimi.

Hakuna matatizo kwenye kujichua ukiona mtu ana matatizo hayo ni matatizo yake binafsi ya kimaumbile asisingizie Nyeto.

Tena nina uwezo wa kupiga round moja kwa zaidi ya dakika 45 kinachotakiwa ni usiwe na papara unapokuwa na mwanamke na uwezo na uwezo wa kumuandaa kwa muda mrefu na kwa kuwa mimi ni mpiga nyeto hodari basi nina uwezo mkubwa mno wa kujizuia kumwaga.

sasa wewe baba acha kupotosha watu waende kuyavaa magonjwa huko kama wewe umfikishi demu wako hilo ni tatizo lako ambalo halina uhusiano na kujichua.asante sana

#ChaPuTa
 
Back
Top Bottom