DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Sema wewe kiongoziMbona hii thread ina pingwa vikali sana . Shida iko wako wakuu
Kufa sawa tutakufa ila punyeto inapelekea kifo cha haraka zaidi, hivi ujawahi kusikia kesi za mara za watu wanaokufa ghafla kisa puli??hance mtanashati Mbona wapo vijana kibao wanaokufa kwa ajali
~Halafu tuwekee hapa idadi ya vifo kwa mwaka wanao kufa kwa kupinga punyeto
~Na idadi ya wanao kufa kwa ajali za barabarani!
~Na idadi ya wanaokufa kwa ukimwi nilinganishe!
Na je wanao piga puli tu ndiyo wanaokufa? hujui hata wew lazma uje ufe?
Kufa ni suala la mda tu! Usije ukaogopesha watu kwa mambo ya kijinga
Vizuri fanya hivyo kijana , kamwe usijefatisha wajinga wajinga wa humu ambao bila aibu wanasifia ujinga wao wa kupiga puli,Kuanzia leo sifanyi tena punyeto
swali lipi ambalo sijalijibu??Hapana sijakuelewa...jibu maswali yangu kwanza.
Jamaa angu alipinda hadi mgongo kipindi nipo kidato
punyeto ni mbaya sana,madhara yake ni makubwa sana ushauri kama unapiga punyeto we bora uache tu utaona mabadiliko we kama ni muhanga mwenzangu na unataman kuacha kam mimi tuwasiliane kwa maushauri
pole sana mkuu kwa hilo tatizo .inategemeana naww mwenyewe ktk kuzingatia mashart na tiba.usione aibu kusema kuwa niww hili janga la wengi.asanteHabari Wadau!
Tumeona Vijana Wengi Wakilalamika Kupungukiwa Na Nguvu Za Kiume Humu Ndani, Na Suluhisho Lake 60% Ya Maoni Ya Watu Wanashauri Wanaume Waache Kabisa Kupiga Punyeto, Sasa Swali Langu Ni Muda Gani Uume Unaweza Kurudi Katika Ubora Wake Mara Baada Ya Kuacha Punyeto?
Lengo La Kuuliza Hili Swali Ni Kuwataka Vijana Kuwa Wavumilivu Mara Baada Ya Kuacha Punyeto, Maana Wengine Wanaacha Punyeto Wakiona Hakuna Mabadiliko Chanya Wanakimbilia Kubugia Makemikali Mfano Viagra Na Kasongo Madawa Ambayo Yanaweza Kuwaletea Madhara Makubwa Kuliko Ilivyokuwa Mwanzo.
Naomba Kuwasilisha