Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Leo napenda kutoa ushauri kwa wadogo zangu na hata pia watu wazima wenzangu ambao mnatabia ya ajabu ya kujichua.

Kwa wewe ambao unaendeleza huu ujinga nakusihi acha mara moja usije ukawaacha ndugu zako wakiwa wapweke kwa kifo cha kujitakia.

Utafiti unaonesha kuwa upigaji wa punyeto husababisha mwili kukosa nguvu mwisho wa siku mpigaji atakuwa mchovu mchovu na mtu anayependa kulala muda wote. Na kama inavyojulikana kulala lala hovyo husababisha ugonjwa wa kiharusi utakao pelekea kifo.

Pia upigaji wa punyeto husababisha kansa ya ubongo ambayo nayo pia itapelekea kifo. Vile vile upigaji wa puli husababisha magonjwa ya moyo.

Alafu kama tunavyojua Y chromosome ina low life expectancy kuliko X chromosome alafu bado mnaendeleza ujinga ujinga.

Pia napenda kukosoa baadhi ya watu wazima humu kwa tabia yao ya kuwapotosha wadogo zetu na kuwaambia eti puli haina effect yoyote na kuipa sifa kedekede.

NB: Huu ni ushauri tu ukiweza uchukue kama hauna maana yoyote kwako pia nayo iko poa maana imeandikwa Asiye sikia la mkuu huvunjika guu.



Nimependa avatar yako unajua kuchagua picha nzuri yenye ujumbe mwanana.
 
Sijui umekula maharage ya wapi wewe, huna udaktari wowote, kufa mwenyewe huko
 
Hili tatizo Ni kubwa Sana.ila Kuna siri kubwa ndani yake wengi husema Leo nafanya Mara ya mwisho lkn baada ya siku kadhaa hurudia.kitu cha kushangaza zaidi hujiuliza maswali Na kujipa matumaini kwa majibu mepesiiiii

Sunah mkuu!! Siku moja moja sio haba
 
Nilishawahi kupatwa na janga kama hili! Sina hamu na punyeto! Vijana wengi wameathirika na punyeto, vijana wengi wameishiwa nguvu za kiume kwasababu ya punyeto! Nashudia punyeto ina addiction kama madawa ya kulevya, kuacha ni tabu! Mtu ukimaliza unajichukia kabisa na kujiona ni mwenye hatia lkn kesho unarudia tena!! What is this?? Devil at work!!.
Baada ya kuhangaika sana kuacha hiki kitendo na kurudia tena na tena, siku moja ilibidi nilie kwa Mwenyezi MUNGU aniokoe na balaa hili maana najaribu nashindwa! Namshukuru Mwenyezi MUNGU kwa dhati kabisa aliivunja ile cycle ya kurudia kutamani tendo lile hadi numeacha na nimepona. It has taken years to get full recovery! Safari ni ngumu maana kumridhisha mke huwezi hata! Unaweza lia kitandani. Namshukuru Mwenyezi MUNGU kwa kunijaalia mke mvumilivu hadi sasa nipo normal. Saivi kitanda changu na mke wangu ni kizuri na kina furaha sana. Kwakweli punyeto haifai. Kwa mwanamke mpiga punyeto ni ngumu sana sana kuridhishwa kitandani, kuoa mke wa aina hii ni janga maana kila siku atakusingizia humfikishi kumbe tatizo lipo kwake viungo vyake na hisia zake zimeuawa kwa punyeto.
Mkuu ulitumia njia gani kurudi kwenye Hali ya Kawaida??
 
Habari ya wakati huu wakuu.

Kuna huu uzushi umekua ukienezwa humu na watu kuwa punyeto inasababisha madhara makubwa na kupelekea kupungua kwa nguvu za kiume. Watafiti hao ambao hawasemi utafiti huo wameufanya wapi kuhusisha upungufu wa nguvu za kiume na punyeto hudai kuwa tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume hutokana na madhara ya kupiga punyeto.

Huu uzushi ulianzishwa na wale wanaojiita madaktari wa tiba mbadala kina mwaka na naona siku zinavyozidi kwenda unapata nguvu na tukiuacha hivi mwishowe utaonekana kana kwamba ndio ukweli wenyewe.

Naomba tu kusema kua huo ni uzushi na uongo ulioanzishwa na madaktari na watafiti feki. Punyeto haina mahusiano na upungufu wa nguvu za kiume. Hakuna utafiti wa kisayansi unaosema hivyo, vijana pigeni punyeto kwa raha zenu.
 
Mkuu hiyo issue ina athir saikolijia.. itafikia hatua hauta shiba papuchi hadi umalizie na punyeto au hata ku prefer punyeto over papuchi halisi..

Ikizidi inafika hatua hupati muhemko kutokana na mwanamke
 
Mkuu hiyo issue ina athir saikolijia.. itafikia hatua hauta shiba papuchi hadi umalizie na punyeto au hata ku prefer punyeto over papuchi halisi..

Ikizidi inafika hatua hupati muhemko kutokana na mwanamke
Hayo sio madhara ni faida
 
Ahsante mleta uzi mi nashangaa sana na huu uzushi sisi tuliosoma boarding school ndio tunaojua nakumbuka ilifika kipindi cha mitihani kila baaada ya kumaliza mtihani wa somo tunaingia chooni ku refresh atulali bila kupiga nyeto....
Nilipokuwa chuo tulikuwa tunakesha kuangalia porn movies room mtu akizidiwa anakimbilia chooni alaf anakuja kuendelea na libeneke kiasi kwamba kwa usiku mmoja mtu anaweza kupiga goli hata tano kwa kujichua yaani ilikua too much lkn watu tupo vizuri hakuna anaelalamika mpaka leo na wengine wameoa na wamezalisha....na mi nikimkamata Dem bila Goli 5 na kuendelea sijaridhika na Nyeto naendeleza km kawa...
Chaputa never die walaaniwe wanaoimention km chanzo cha upungufu wa nguvu za KIUME
Upungufu wa nguvu za kiume ni matatizo ya kimaumbile full stop
 
mimi huwa nawasikiliza tu halafu naachana nao,kichwan najiuliza sana hivi hawa wanaongelea nguvu za kiume zipi
 
Back
Top Bottom