habari wana jamiiform mimi ni mgeni kwenye hili jukwaa ila naomba msaada wenu mimi ni kijana wa miaka 22 nimeathiriwa na punyeto sana kwani nilianza kupiga punyeto nikiwa na miaka 15 mpaka juzi tu kama miezi miwili iliyopita ndio nimeacha nimeacha baada ya kushindwa kabisa kufanya mapenzi na msichana mara mbili kwani kabla sijaweka hata kitu kwenye k ninakuwa tayari nishamaliza na siwezi kusimamisha tena nikashauriwa nitumie erecto nikawa naweza kufanya lakini sasa hata erecto nikinywa kidonge kimoja hakifanyi kaxi naombeni mnisaidie kwani sasa naisi kuwa mimi sio mwanaume kama wengine naomba msaada wenu jamanii