Nakushauri kuwa wazi kwa mwenza wako ili akusaidie ktk muda ambao hautakuwa na nguvu.

Jitahidi kuondoa mawazo ya kuwa na tatizo na ujiamini kuwa tunaweza.

Acha kabisa matumizi ya madawa kwa kuwa yanakupunguzia uwezo wa kujiamini na yatakuongezea tatizo la maradhi ya moyo na figo.

Kula ndizi mbivu zisizipungua 5 kila siku.

Tumia tende japo tunda 3 hadi 10 kwa siku na jipe muda wa mazoezi na mapumziko.

Pole na jiamini utarudi ktk halo yako ya kawaida.

Tafuta nyanya chungu za asili(sio zile nyeupe).Chemsha na upate juisi yake japo kwa siku 14 kila siku jioni.

Usirudie kufanya tena tendo hill.
 
Punyeto haifanyi uume kushindwa kusimama, utakua una matatizo ya saikolojia... Wewe miaka 7 tu, kuna wengine wana miaka zaidi ya 15 kwenye fani na bado wanagegeda vizuri tuu....
Mim kuanzia mwaka 1992 nagegeda kiganja changu,Sina tatizo lolote na bado kazi inafanyika kote kote yaan
kiganja na home kama Bahar imechafuka.Sasa wewe 7yr tu tatizo??
 
Ahsante sana mkuu, ngoja nifanye kama ulivyonielekeza
 
Simamia lishe kunywa juice yenye mchanganyiko wa embe, parachichi,nanasi,tikiti na tangawizi. Kunywa asubuh na jioni. Pili piga zoezi kwa miezi 2 usiache urudishe body na pumzi. Usifikirie mademu sana. Kuwa bize na masuala ya msingi.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hatari sana
Punyeto haifanyi uume kushindwa kusimama, utakua una matatizo ya saikolojia... Wewe miaka 7 tu, kuna wengine wana miaka zaidi ya 15 kwenye fani na bado wanagegeda vizuri tuu....
 
Hiyo itakuchukua muda kam miaka 3 ivi kua mvumilivu
anaweza chukulia masihara ila uliloliandika ni ukweli mtupu yani tiba pamoja na mazoezi kwa ujumla ni lazima ichukue kipindi ndo awe sawa
 
Punyeto haifanyi uume kushindwa kusimama, utakua una matatizo ya saikolojia... Wewe miaka 7 tu, kuna wengine wana miaka zaidi ya 15 kwenye fani na bado wanagegeda vizuri tuu....

Kuna upotoshaji sana kwenye mitandao ya kijamii kila mtu atajifanya doctor, hapo kwenye red huo ni upotoshaji, punyeto kwa kiwango kikubwa huathiri sana kusimama kwa uume, wakati wa kufanya nyeto kiganya kinavyosugua uume hasa ukiwa unafanya mara kwa mara upelekea mishipa ya uume kushindwa kuwa na nguvu na kudhoofisha kufanya kazi yake,

Pia ina athari kwenye uwezo wa brain to memorise and to work properly , kwa maana unauchocha ubongo kufikiria kile unachokiwaza ili ukojoe, sasa wakati unavutia picha ili ukojoe pale unaufanyisha brain kazi kubwa sana,
 
Mim kuanzia mwaka 1992 nagegeda kiganja changu,Sina tatizo lolote na bado kazi inafanyika kote kote yaan
kiganja na home kama Bahar imechafuka.Sasa wewe 7yr tu tatizo??
Endelea kujivika manyota kuwa wewe ni mkali wa nyeto sawa General, athari zake ni long term range ipo siku utaona tu gari haliwaki halafu ndiyo upo kwenye ndoa, punyeto ni ya kuacha na kukemea vikali kuipinga sio kitu cha kukenulia meno
 
Gari hisiwake tu kwan kitu gani kitan- cost! Kama watoto ninao wakutosha,Nitashangaa nin hapa duniani.
 
Mkuu mimi naongelea uzoefu... Nakaribia kufikisha miaka 13 kwenye gemu... Na sijaona tatizo lolote...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…