Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Pole sana mm nilikuwa mpiga punyeto maarufu lakini nikiona mbunye tu ngoma inasimama atareee na uwa sina kawaida ya kuchelewa nikiwa na mchuchu ata siku moja
Mpaka mtoto ananita kikojozi
Sasa ww inawezekana punyeto ulikuwa unapiga na sabuni badala ya mafuta ya reizi
 
Hayo madhara yako hayasababishwi na puli, afya yako tu imedolola kwa sababu ya vyakula na life style yako. Mimi nimepiga puli toka mwaka 1987 hadi leo sijaacha sema tu nimepunguza sana, yaani sijawa mtumwa kama zamani. nilikuwa na uwezo wa kupiga hadi bao nane kwa puli wakati nipo teenager. sasa ivi naweza pitisha miezi bila kugusa kwa vile wife anatosha. sidhani kama nimeathirika kwa vile mashine inauwezo wa kutosha na matamanio ya haja kwa wanawake wazuri kama kawa, napiga mashine hadi wanawake wananikubali.
 
Hayo madhara yako hayasababishwi na puli, afya yako tu imedolola kwa sababu ya vyakula na life style yako. Mimi nimepiga puli toka mwaka 1987 hadi leo sijaacha sema tu nimepunguza sana, yaani sijawa mtumwa kama zamani. nilikuwa na uwezo wa kupiga hadi bao nane kwa puli wakati nipo teenager. sasa ivi naweza pitisha miezi bila kugusa kwa vile wife anatosha. sidhani kama nimeathirika kwa vile mashine inauwezo wa kutosha na matamanio ya haja kwa wanawake wazuri kama kawa, napiga mashine hadi wanawake wananikubali.

Doh, wewe inapaswa uwe mlezi wa CHAPUTA. Maana ushavuka vigezo vya uwenyekiti na ujumbe wa bodi.

Bro, you are speaking almost 30 good years in bussines.
 
kwa wanawake inakuaje maana huwa napiga sana
Utapata madhara pia tena makubwa. Tembelea website ya herballove.com soma madhara ya punyeto utaona wanawake wanavotoa ushuhuda wao wa madhara ya punyeto. Nawashangaa sana wanaosema punyeto haina madhara. Nataka niwahakikishie kuwa madhara ya punyeto ni kweli yapo kama alivoeleza huyo jamaa. As a man nimewahi kuwa addicted na jambo hilo kwa takribani miaka kumi ndio nikapata madhara. Dalili zote alizoeleza jamaa zilinipata na zilianza kujitokeza kidogo kidogo kuanzia mwaka wa nne. Usahaulifu ulisababisha nisisome degree ya medicine wakati nilikuwa mkali sana kichwani. Kwakweli nashuhudia kuwa punyeto ni kweli ina madhara, najua wengi hawataamini kwasababu hayajawakuta au walioa kabla madhara hayajawakuta au walifanikiwa kuacha kabla hawajapata madhara.
Lakini pia madhara ya punyeto ni ya muda mrefu kiasi kwamba hata ukiwa ndoani athari zake zitaendelea kujionesha mara kwa mara. Nishuhudie pia madhara yake unaweza kupona kwa zaidi ya asilimia sabini japo sina hakika kama utarejea hali yako ya awali kabla hujawa mpiga nyeto. Binafsi nimeacha punyeto 2011 na ilikuwa ni kazi ngumu mno kuacha maana punyeto ina addiction kama madawa ya kulevya. Kwasasa hali yangu imerejea tskribani 75%. Nawakumbusha vijana wenzangu wasihangaike na dawa za mitishamba maana mimi nimehangaika sana na hayo madawa ya dozi laki moja na kuendelea kwa ma herbalist lakini sikupona bali mwili umejiponya wenyewe taratibu. The key is to stop watching porn, stop mustarabition, stop sex and any other sexual stimulation you will be healed gradually within three to five years.

Website iliyonisaidia sana kupona madhara ya punyeto ni www.herballove.com kuna forum ya walioathirika na punyeto na makala mbalimbaili zinazohusu athari za punyeto kwa wanawake na wanaume. Website hiyo wanauza dawa pia, sishauri mtu anunue dawa maana mimi binafsi nimepona bila dawa na isitoshe madawa hayo nimetumia sana huenda yangeweza hata kuniletea madhara kwenye figo. Madhara mengine ambayo jamaa hapo hajaeleza ni pamoja na kupenda kujitenga na kutojumuika na watu, kuwa na aibu sana mbele za watu, kunyonyoka nywele za ndevu na sehemun za siri. Unaweza pata maumivu ya miguu yasiyotibika hospitali maana chanzo hakitajulikana, macho kupoteza uoni wake, viuvimbe visivyokuwa na sababu za msingi, uume ukisimama kidogo tu unajikuta forefluid imetoka nyingi, unaloa kama mwanamke. Wanawake na wao wana madhara yao makubwa sana tu kama vile kutoridhika anavokuwa na mwanamume, kupoteza sexual sensitivity ukeni kwake kumuandaa pekee itabidi uchukue masaa, licha ya ulaini wa maumbile yake lkn atataka utumie maguvu kumpapasa wakati wa foreplay, anaweza pata tatizo la kutofika kileleni awapo na mwanamume , anaanza kuvutiwa na lesbianism n.k. Wengi hawajapata dalili hizi kwasababu hiyo ni advanced stage ya chronic overmusturbation ambayo kimsingi wengi hawajaifikia. Kizazi hiki cha smartphone kitaathirika sana na punyeto kiasi kwamba tutajikuta tunakuwa na idadi kubwa ya mashoga na wasagaji. Sababu ni porn ambayo itafanya watu wengi kujiingiza kwenye punyeto na kama kawaida punyeto ina madhara ya kisaikolojia na kimwili. Madhara ya kiakili ni pamoja na kubadilika kwa hisia za matamanio kutokana na hormanal imbalance. Unaanza kutamani wanawake wenzako baadala ya wanaume and vice versa is true.

Nayashuhudia haya kwa ajili ya elimu kwa wale watakaoamua kuelewa na kufuata. Sina biashara nafanya na wala sishauri watu watumie dawa bali wabadilike tabia zao na wawe wachaMungu. Kwa wale wanaosubiri sayansi iseme, basi ni huru kwao kufanya hivyo. Ila tu nasisitiza kuwa sayansi ni changa sana ulimwenguni, mambo iliyoyagundua huenda hata asilimia kumi hayajafika na hayo waliyogundua ndani yake kuna uongo, usoni utabainika huko mbeleni. Mfano, tulifundishwa kuwa kuna sayari tisa lkn ukweli ni kuwa huko mbele yatagundulika zaidi na huenda ikaja kufahamika kuwa hamna sayari tisa wala nini.

Pitieni hapa mtajifunza mengi Reversing The Effects of Over Masturbation – A Painful Journey of Recovery | Herballove.com

Pitieni hapa Over-Masturbation: Symptom and Solution Guide | Herballove.com
 
we miez tisa unasema umeacha???? hapo umepumzika kijana yn bado sana....

mi sikupiga miaka miwil lkn juz nimedonoa kidogo[emoji4]
kwangu ni vigumu maana nilikotoka nashukuru kwa hapa nilipo.. wale mademu niliowatia kipind sijaacha nawawinda niwatie tena ili nifute aibu but bahati haiji mara mbili wamenikataa wote.
 
Punyeto haina madhara kihivyo, nimefanya sana kipindi nikiwa Secondary baada ya kumuona mjomba wangu akiugua ukimwi kipindi hicho hata dawa za kurefusha maisha hazipo. Nikaona njia mbadala ni punyeto,nikaenda Zanzibar huko nako nikaogopa kusilimishwa kwa kutembea na mademu wa Zenj hivyo mwanaume nikakomaa na punyeto zaidi hata ya hiyo miaka. Nimekuja kupunguza baada ya kuoa na show napiga kama kawaida na michepuko kibao hadi nje ya nchi. Umesema hormones zako zimeonekana za kike ziko juu!! Nakuombea mungu upone usijeanza kuvaa high-waisted jeans
 
Nmeshasoma uzi nyingi tu khs hatar za nyeto ....ila leo kidogo nmeshawishika kuacha ....nasema hv sipigi tena nyeto.....natafuta demu sasa hv
 
Back
Top Bottom