PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
Pole sana mkuu.Nilifanya hy kazi kwa muda wa miaka 13 na uwezo wa kufikiri ulipungiua performance yng shule na chuo ilipungua,mwili ulidhofika sn lkn namshukuru mungu nina miezi 5 sasa cjapiga punyeto nguvu za kiume zimekuja lkn bado nina tatizo la kumbukumbu nakua sina vyema lkn matumaini yng soon nita_recover
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hahahahahha mewenyewe nilijua nipo kwenye game mda mrefu kumbe kuna ndugu yangu kaanza miaka ile bado shilingi moja inafanya kazi.
Duh!!!Chama cha wapiga punyeto tunakemea taarifa za uongo kama hizi.
We Huna kazi na matatizo ya kimaisha yamekuelemea alafu unasingizia punyeto imekuathiri ebooooo
Mkuu unakaaje three years bila kusex??Utapata madhara pia tena makubwa. Tembelea website ya herballove.com soma madhara ya punyeto utaona wanawake wanavotoa ushuhuda wao wa madhara ya punyeto. Nawashangaa sana wanaosema punyeto haina madhara. Nataka niwahakikishie kuwa madhara ya punyeto ni kweli yapo kama alivoeleza huyo jamaa. As a man nimewahi kuwa addicted na jambo hilo kwa takribani miaka kumi ndio nikapata madhara. Dalili zote alizoeleza jamaa zilinipata na zilianza kujitokeza kidogo kidogo kuanzia mwaka wa nne. Usahaulifu ulisababisha nisisome degree ya medicine wakati nilikuwa mkali sana kichwani. Kwakweli nashuhudia kuwa punyeto ni kweli ina madhara, najua wengi hawataamini kwasababu hayajawakuta au walioa kabla madhara hayajawakuta au walifanikiwa kuacha kabla hawajapata madhara.
Lakini pia madhara ya punyeto ni ya muda mrefu kiasi kwamba hata ukiwa ndoani athari zake zitaendelea kujionesha mara kwa mara. Nishuhudie pia madhara yake unaweza kupona kwa zaidi ya asilimia sabini japo sina hakika kama utarejea hali yako ya awali kabla hujawa mpiga nyeto. Binafsi nimeacha punyeto 2011 na ilikuwa ni kazi ngumu mno kuacha maana punyeto ina addiction kama madawa ya kulevya. Kwasasa hali yangu imerejea tskribani 75%. Nawakumbusha vijana wenzangu wasihangaike na dawa za mitishamba maana mimi nimehangaika sana na hayo madawa ya dozi laki moja na kuendelea kwa ma herbalist lakini sikupona bali mwili umejiponya wenyewe taratibu. The key is to stop watching porn, stop mustarabition, stop sex and any other sexual stimulation you will be healed gradually within three to five years.
Website iliyonisaidia sana kupona madhara ya punyeto ni www.herballove.com kuna forum ya walioathirika na punyeto na makala mbalimbaili zinazohusu athari za punyeto kwa wanawake na wanaume. Website hiyo wanauza dawa pia, sishauri mtu anunue dawa maana mimi binafsi nimepona bila dawa na isitoshe madawa hayo nimetumia sana huenda yangeweza hata kuniletea madhara kwenye figo. Madhara mengine ambayo jamaa hapo hajaeleza ni pamoja na kupenda kujitenga na kutojumuika na watu, kuwa na aibu sana mbele za watu, kunyonyoka nywele za ndevu na sehemun za siri. Unaweza pata maumivu ya miguu yasiyotibika hospitali maana chanzo hakitajulikana, macho kupoteza uoni wake, viuvimbe visivyokuwa na sababu za msingi, uume ukisimama kidogo tu unajikuta forefluid imetoka nyingi, unaloa kama mwanamke. Wanawake na wao wana madhara yao makubwa sana tu kama vile kutoridhika anavokuwa na mwanamume, kupoteza sexual sensitivity ukeni kwake kumuandaa pekee itabidi uchukue masaa, licha ya ulaini wa maumbile yake lkn atataka utumie maguvu kumpapasa wakati wa foreplay, anaweza pata tatizo la kutofika kileleni awapo na mwanamume , anaanza kuvutiwa na lesbianism n.k. Wengi hawajapata dalili hizi kwasababu hiyo ni advanced stage ya chronic overmusturbation ambayo kimsingi wengi hawajaifikia. Kizazi hiki cha smartphone kitaathirika sana na punyeto kiasi kwamba tutajikuta tunakuwa na idadi kubwa ya mashoga na wasagaji. Sababu ni porn ambayo itafanya watu wengi kujiingiza kwenye punyeto na kama kawaida punyeto ina madhara ya kisaikolojia na kimwili. Madhara ya kiakili ni pamoja na kubadilika kwa hisia za matamanio kutokana na hormanal imbalance. Unaanza kutamani wanawake wenzako baadala ya wanaume and vice versa is true.
Nayashuhudia haya kwa ajili ya elimu kwa wale watakaoamua kuelewa na kufuata. Sina biashara nafanya na wala sishauri watu watumie dawa bali wabadilike tabia zao na wawe wachaMungu. Kwa wale wanaosubiri sayansi iseme, basi ni huru kwao kufanya hivyo. Ila tu nasisitiza kuwa sayansi ni changa sana ulimwenguni, mambo iliyoyagundua huenda hata asilimia kumi hayajafika na hayo waliyogundua ndani yake kuna uongo, usoni utabainika huko mbeleni. Mfano, tulifundishwa kuwa kuna sayari tisa lkn ukweli ni kuwa huko mbele yatagundulika zaidi na huenda ikaja kufahamika kuwa hamna sayari tisa wala nini.
Pitieni hapa mtajifunza mengi Reversing The Effects of Over Masturbation – A Painful Journey of Recovery | Herballove.com
Pitieni hapa Over-Masturbation: Symptom and Solution Guide | Herballove.com
Hahahaaa walishakudharau, kumbe hawajui kama sasa hivi ni kiumbe mpyakwangu ni vigumu maana nilikotoka nashukuru kwa hapa nilipo.. wale mademu niliowatia kipind sijaacha nawawinda niwatie tena ili nifute aibu but bahati haiji mara mbili wamenikataa wote.
Tafuta mpiga punyeto msaidiane,,,tatizo menu linaisha Kwa pamoja wrote wawilikwa wanawake inakuaje maana huwa napiga sana
atapata na cheo kikubwa kabisaDoh, wewe inapaswa uwe mlezi wa CHAPUTA. Maana ushavuka vigezo vya uwenyekiti na ujumbe wa bodi.
Bro, you are speaking almost 30 good years in bussines.
Hiyo sio punyeto no matatizo mengineHili swala la punyeto limekua ugonjwa wa taifa siku hizi mwanzo nilidhani ni peke yangu tu lakini Siku hizi kila mwana jf naona anatafuta tiba mbadala baada ya kuathirika ama kupata madhara yasabishwayo na punyeto. Mimi mwenzenu sina furaha ya maisha na msongo wa mawazo tu maana mpaka leo siijui ipi tiba ya matatizo niliyonayo. Nmekua mpiga punyeto mashuhuri kwa miaka takribani kumi ila niliiambiwa Ina madhara nikapuuza kwa maana sikuyaona. Kumbe madhara yake ni longterm effect yaani ya muda mrefu. Kama kuna MTU anapiga nyeto namshauri aache haraka maana ni kama unga Ina addiction. Mimi sasa hivi sina sifa ya kuitwa mwanaume kwa maana jogoo halipandi mtungi. Wanawake wote wanaishia kua mashemeji zangu tu. Nmeamua kujitenga nao, sio kama napenda ila nitafanyaje. Utajiujuaje kama umeathiriwa na punyeto??
Haya ni baadhi ya madhara ambayo hayatoki Google wala site yoyote ila ni kwangu ambayo yamenitokea.
1. Kupoteza uwezo wa kufikiri
2.kupoteza nguvu za kusimamisha uume
3.uume na korodani kusinyaa(uume unakua kama mtoto pumbu zinashuka kama mzee
4.shida ya mkojo maana kukojoa inabidi usikilizie kama sekunde 3 au 4 ndo mkojo utoke
5.kupoteza kumbu kumbu hata kama kitu unakifanya sasa hivi unasahau muda huo huo
6.kuota kipara au kiwalaza wakati bado una umri mdogo
7.maumivu ya korodani
8.kuhisi umechoka muda wote na mwili kukosa nguvu.
9.kua na mwili wa kizembe yani unakua na manyonyo mtoto wa kiume
10.kupata wakati mgumu kwenye kulizngatia japo(low concentration)
11.msongo wa mawazo (ambao nimesikia unaathiri vitu vingi)
Kwa ufupi sina furaha ya maisha kabisa. Naona umri unaenda ila mi kazi yangu kulala na kuamka. Sina kazi sina elimu na familia yangu ndo vile mwenzangu na mie, naona kama majanga yote ya dunia nimeshushiwa mie. Nawasihi ndugu zangu hizi herbal clinic mnazosikia ni wapiga pesa tu nishaenda kwa dokta mwaka, mandai na tanzaone herbal clinic ila Hamna kitu. Nishawahi kupima hormone hospitali ila nkashindwa gharama za matibabu. Nilikutwa na hormonal imbalance yani za kiume ziko chini halafu zile za kike zipo juu wakat mimi ni mwanaume. Siombi msaada wenu kama watu wengine maana hakuna mwenye uwezo wa kunisaidia, ila nachokitaka tu ni nyie msambaze Ujumbe huu uwafikie watu wengine ambao bado hawajaanza kuona madhara niliyoyataja hapo juu ama kuwakanya kabisa vijana wenu. Na chanzo kikubwa cha mapunyeto ni filamu za x na kuogopa au kuwaonea aibu wasichana.. Filamu za x zitaendelea kutumaliza hasa kizazi hiki cha smartphone.
Sawa mkuuTafuta mpiga punyeto msaidiane,,,tatizo menu linaisha Kwa pamoja wrote wawili
punyeto IPO ya aina nyingi inategemeana na kilainishi utakachokuwa unatumia. withdraw ingawa nayo mi naona ni nyeto.Hiyo sio punyeto no matatizo mengine
ukijikondition unaacha tu Sena hapo itabid use mbali na romantic movie na ujipe makaz magumu ya kuuchosha mwili.Yan m naona ungekula alf nd uingie nyetoni manake ile k2 ipo alf ukishanz kuacha n ngumu
Samahani mkuu, unamaanisha ukimwi umeisha au kwasababu dawa zipo?Punyeto haina madhara kihivyo, nimefanya sana kipindi nikiwa Secondary baada ya kumuona mjomba wangu akiugua ukimwi kipindi hicho hata dawa za kurefusha maisha hazipo. Nikaona njia mbadala ni punyeto,nikaenda Zanzibar huko nako nikaogopa kusilimishwa kwa kutembea na mademu wa Zenj hivyo mwanaume nikakomaa na punyeto zaidi hata ya hiyo miaka. Nimekuja kupunguza baada ya kuoa na show napiga kama kawaida na michepuko kibao hadi nje ya nchi. Umesema hormones zako zimeonekana za kike ziko juu!! Nakuombea mungu upone usijeanza kuvaa high-waisted jeans
Logically tiba yake nadhani itahusisha kuacha punyeto...Nimekua nikisikia kuwa moja ya madhara ya punyeto ni maumivu kwenye magoti.
Sasa ningependa kujua uhusiano uliopo kati ya punyeto na maumivu hayo? Nini hasa chanzo cha maumivu hayo?na tiba yake nini?
Asante