Wadau habari zenu

Bwana Yesu Asifiwe
Aslaamhaleykhum

Baada ya salamu naomba niende Moj kwa Moja kwenye hoja
Hoja yangu ni njia ya kuacha punyeto nlianza kupiga nipo boarding form 1 miaka zaidi ya 15 iliyopita ,nimejaribu kuacha lakini after 1 or 2 week natamani kuipiga na nna piga,nna mademu watano ,MKE halali mmoja na mtoto mmoja

Naweza nikasex na demu goli 5 akasepa lakini ghafla natamani Nyeto Sasa sijui nitumie njia Gani kuacha kabisa najua tatizo hili linawakumba wengi so sio mbaya tukashauriana hapa kuachana na kadhia hii
 
kuwa unakaa kwenye makundi ya watu wanaojadili michezo au siasa na jitenge na picha za wadada wasiojiheshimu na penda kusoma neno la mungu na kusali
 
Una miaka mingapi mwenye mademu5 mke1 na mtoto mmoja? huo mda unapata wapi ya kufanya hayo manyago? nilidhani watoto wa5 kumbe mademu wa5, hongera wewe Chiboko..
 
Hizo goal 5 unazopiga unachukua muda gani?? Au kama zile za jogoo..manake goal 5 si mchezo then unataman puchu duh...hilo pepo la ngono siyo bure
 
Naona unautafuta UKIMWI kwa juhudi zote.
 
Hapo una tatizo la kisaikolojia. Cha msingi zingatia hakuna mbadala wa jinsia ya kike kwenye mapenzi hizo fikra zitakuondoka. Pia kila ukitaka kufanya hivyo ona kama mwanao yupo na mkeo wanakuangalia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…