Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Kwa wanaume wanaiita Punyeto na kina mama wameibatiza ya kwao wanaiita Selfie....So ukisikia demu anawaambia wenzake leo nimejipiga selfie za kutosha...Dont conclude, ask ipi hiyo?
Hahahahaaa. Selfie
 
Kama ilivyo kwa jinsia ya kiume, kuna wanawake pia ni wahanga wa kufanya punyeto kwa kutumia vifaa tofauti tofauti.

Haya ni baadhi ya madhara awezayopata mwanamke anayejichua;

1. Inaharibu kizazi

2. Inakufanya kua mvivu mara kwa mara

3. Unakuwa unakosa hamu ya tendo

4. Maumivu ukeni yasiyo na sababu

5. Uke kuwa mlegevu yaani mtepeto

6. Hupelekea uke kutoa maji maji mara kwa mara au maji yale ambayo utoka kabla ya tendo kuto kuwepo ivyo itakufanya kupata michubuko na maumivu makali wakati wa tendo.

7. Uwezi kuja kujua raha ya tendo ukizoea punyeto sana wewe dada.

8. Punyeto inafanya uke wa mwanamke kukosa ladha kabisa hiyo itapelea kukimbiwa na mmeo au mwenzako kutafuta kamchepuko kenye uke mtamu.

9. Na ukizoea punyeto itakufanya kuwa mtu wa hasira hasira kila mara

10. Punyeto ni hatari kwa afya yako pia ukiizoea sana itapekekea kufanya mapenzi ya jinsia moja.
waache 2 wajikojoze wenyewe
 
Wewe rubii ndiyo maana mi nin kumind sana ila wewe tu. Hiyo ya 5 na ya 8 ni kweli kabisa. Turudi katika mada yetu, hivi lini utanipa nafasi ya kukuona live? Ninakumezea mate kishenzi.
 
Wewe rubii ndiyo maana mi nin kumind sana ila wewe tu. Hiyo ya 5 na ya 8 ni kweli kabisa. Turudi katika mada yetu, hivi lini utanipa nafasi ya kukuona live? Ninakumezea mate kishenzi.

Je Unamiliki mgodi wowote mkuu?? hata wa Gypsum?
 
moja ya madhara ya punyeto kwa mwanaume nikushindwa kuzalisha..!? mh..!?? sa mbona wanitisha mkuu.. mimi ilikuwa ndio mchezo wangu mkuu lakini toka nilipo owa mwezi mey 2016 hadi leo mke wangu haja nasa ujauzito lakin tendo namfanya vizur.. embu nielimishe mkuu sinto weza kuzalisha daima ama kunatiba inabidi nitumie kwanza..?
Ulikua ukipiga mara ngapi kwa siku?
 
Huwezi kufanya mapenzi kila Siku lakin punyeto unapiga kila siku bor kugegeda kuliko puli ndugu tena wapo wanapiga had mara 2 kwa siku
 
Back
Top Bottom