Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Mkuu ulisoma Jitegemee nini miaka ya 2000 mwanzoni?? Maaana pale ndipo nilipoijua hiyo chawaputa na viongozi wake waliokuwa wakiranda kutafuta wafuasi..

chawaputa imeanzia Azania huko kwengine ni matawi tuu.
 



Wanaume wengi sana wanatumia mikono mikavu kujisaga, jambo hili huwafanya waharibu mishipa ya fahamu inayounganisha uume na mfumo uliopo kwenye ubongo.

Uharibifu huu humfanya mwanaume apoteze msisimko wa kujamiiana au hata akiupata humfanya ashidwe kufikisha hisia zake kisawasawa khasa akikutana na mwenza wake ambaye sehemu zake nyeti ni laini sana tofauti na mikono alozoea kujichua nayo.
 
oyeee! kuanzia nianze balehe nalikung'uta daily, mpaka nilipofika secondary magamba boys, hadi tosamaganga boys mpaka UCLAS-boys(sasa ardhi university, enzi hizo mademu wakuhesabu) sijapungukiwa na nguvu za kiume wala kukosa ufundi kwa wale ninaokutana nao, nimeacha puli mara tu nilivyooa, sasa mke ana mimba ya miezi 8, nimeurudia puli hadi atakapojifungua na kuwa fit tena, inanisaidia sitongozi vimalaya, na nikitongoza kakiringa ringa sibembelezi
 
Kuacha nyeto ngumu mno jamani, kama kunaushauri tunaomba msaada.
 
hivi kama ukiweka mafuta ya kutosha kwenye mikono si unateleza tu kitu inakuwa lainiiiiii, kama live.
 
Punyeto mara tatu kwa siku ndo mbaya Ila Ile ya once per week iko mzuka Ila inaumiza kichwa hiyo, Jaman Kwan madem mbona hizi Ukienda fesbuk huchelewi kukapata tena Masaa tu. tuache uoga wa kutongoza Punyeto haifai, hata kwa mungu ni Dhambi.
 
Uuh?
Habari za alfajiri wapenzi wa jukwaa hili murua, lenye ban chache kuliko yote humu. Au pengine halina kabisa, natumai wote mu wazima...
Nimekuwa nikifikiria suala hili kwa kitambo kidogo, kabla ya kuamua kuja na uzi wa mwongozo kuhusu suala hili ambalo limekuwa, au likikwepwa na wahusika, au halizungumziwi kwa uwazi, suala la punyeto, au kujichua.
Hiki ni kitendo cha kuchezea viungo vyako vya uzazi, pamoja na sehemu zenye msisimko, ili kukidhi mahitaji ya kimwili, hasa pale ambako hakuna mwenzi au ni vigumu kushiriki ngono ya kawaida. Mtu yeyote, wa umri wowote (ambaye ameshabalehe) na jinsi yoyote anaweza kufanya kitendo hiki, lakini kwenye uzi huu nitalenga hasa wanaume.
Kwa mazingira yetu ya hapa Tanzania, hasa kwa vijana, suala la kupiga punyeto ni suala ambalo limekuwa halikwepeki, kutokana na sababu kadhaa:-
1. Mazingira magumu ya kushiriki ngono na mwenzi wako bila kuathiri uhusiano wako na watu wengine, hasa kwa vijana ambao wanaishi na familia zao nyumba moja.
2. Uchumi. Kwa vijana wanafunzi, chanzo cha mapato ni fedha toka kwa wazazi, hivyo ni vigumu kushiriki ngono katika nyumba za kulala wageni kutokana na gharama.
3. Kazi. Ajira zingine huwa ni za kuchosha, baadhi ya watu hutoka nyumbani saa 11 alfajiri na kurudi saa 5 usiku, kama hakai na mwenzi wake, anajikuta analala doro.
4. Kusafiri kwa wenzi. Hii huwakuta wale waaminifu katika mapenzi yao, mwenzi wako anaposafiri, au hata kuwa mgonjwa, unajikuta unakosa ile huduma ya msingi.
5. Menstruation period kwa wanawake, hupelekea waume zao kukosa mbadala, hivyo kujikuta wakipiga punyeto.
N.k n.k.
Sababu hizo hapo juu, na nyingine nyingi, zimepelekea vijana wengi kuangukia kwenye punyeto. Hili si tatizo kubwa, endapo zoezi husika litafanywa kwa njia salama isiyoathiri afya ya mhusika.
Mbinu za kufanya zoezi liwe salama:-
1. Tambua umuhimu wa punyeto. Kwa sababu nilizotaja hapo juu, ni wazi kuwa punyeto haikwepeki, hivyo ni vyema mhusika akajichua huku akijua kwanini anafanya hivyo, na sio kufuata mkumbo. 2. Ondoa hatia ndani yako. Hili ni tatizo hasa kwa vijana wadogo, baada ya kukojoa, huwa kuna hali ya kujihisi kuwa umekosa inayojitokeza ndani yako, ishinde.
3. Piga punyeto pale tu unapokuwa na hamu. Ni vizuri punyeto isiwe mazoea ya kila wakati, upige pale unapohisi hamu. Usitumie muda mwingi kuvuta hisia.
4. Usitumie kemikali. Tafiti zimethibitisha kuwa matumizi ya mafuta, sabuni, shampoo na vitelezi vingine, huweza kupelekea kansa ya ngozi au uume. Ni vyema kuepuka kemikali hizi. Unaweza kutumia mkono mkavu, au mate.
5. Epuka kukandamiza sana uume. Moja ya madhara ya punyeto ya muda mrefu ni kuua hisia za mpigaji, hii huweza kuepukwa kama mhusika atapunguza mgandamizo wa mkono kwa uume, hasa endapo viganja vya mhusika vina sugu.
6. Tumia picha au video za ngono kuamsha hisia zako. Lengo hapa ni kuepuka kutumia nguvu kubwa ya ubongo kuvuta hisia za kingono, jambo ambalo linaweza kupelekea kifafa cha uzeeni endapo litafanywa kwa muda mrefu.
7. Ifanye punyeto iwe kibadala cha ngono, na sio starehe yako ya kudumu. Kila kitu kikizidi kina madhara kwa mtumiaji, ieleweke kwamba lengo la punyeto ni kuziba pengo la ngono halisi, endapo imekosekana. Hivyo ni wajibu wa mhusika kujiepusha na uraibu wa punyeto, yaani 'addiction'.
8. Mwisho, ieleweke wazi kuwa punyeto si suala la kuonea aibu. Vijana wengi wamekuwa wakikana kujihusisha na punyeto, wakati si kweli. Kama unavyoweza kuweka wazi kuhusu mahusiano ya kawaida, hakuna ubaya kukiri kuhusika na punyeto, hii itakujengea ujasiri na kuona punyeto kuwa jambo la kawaida.
9...
10...
Asubuhi njema wakuu,
MASTURBATE RESPONSIBLY!
 
Naona wazee wa kiganja bado kupita mitaa hii...
 
Hahahaha, nimecheka hapo mwisho, eti MASTURBATE RESPONSIBLY
 
hivi hata wanawake hujichua? yap ni madhara ya kujichua kwa mwanamke
 
hivi hata wanawake hujichua? yap ni madhara ya kujichua kwa mwanamke

Yeah! Wanawake pia hujichua, ingawa uzi uu ulilenga hasa wanaume..
Mimi sina uzoefu sana na kujichua kwa wanawake, ila unaweza kuchungulia hapo chini kwa taarifa za awali, halafu tuendelee na mnakasha.
Masturbation for women
 
Hahahaha, nimecheka hapo mwisho, eti MASTURBATE RESPONSIBLY

EEh, abuse ya kitu chochote ina madhara kwa hakika...
At least wa have to do everything responsibly.
 
Back
Top Bottom