[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mbavu zangu jamani!
 
Mwanaume katika kipindi chake chote cha uhai ana uwezo wa kutengeneza Shahawa za ujazo wa lita54 nasikitika kusema with in 2 years za Upigaji Nyeto uliokuhubu... umeshamaliza hicho kiasi au kimebaki km 0.001mls..
 
Dah
 
Msaidieni kiukweli nyeto sio ishu, for sure inamadhara makubwa badae, so kama huwezi kukausha tafuta dem
 
Msaidieni kiukweli nyeto sio ishu, for sure inamadhara makubwa badae, so kama huwezi kukausha tafuta dem
Mkuu hata uwe na dem mkali kiasi gani kama unaendekeza hilo swala basi huwezi kuinjoi nae hata kidogo, cha msingi aache kama nilivoacha mimi sasa nafurahia ndoa yangu. Kipindi naendekeza suala hilo nilipata tabu sana mpaka nikahisi nimerogwa kumbe hapana nilijiroga mwenyewe. Cha msingi njia rahisi ya kuepuka kuja kusumbuka baadae acha sasa hivi moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…