Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Punyeeeeeetoooooooo wengine sasa ndo mda wao wa kunyetokaaaaaa mh hayaaaaaaa bana nyir nyetokeni tuuu aseeee
 
Mkuu hata uwe na dem mkali kiasi gani kama unaendekeza hilo swala basi huwezi kuinjoi nae hata kidogo, cha msingi aache kama nilivoacha mimi sasa nafurahia ndoa yangu. Kipindi naendekeza suala hilo nilipata tabu sana mpaka nikahisi nimerogwa kumbe hapana nilijiroga mwenyewe. Cha msingi njia rahisi ya kuepuka kuja kusumbuka baadae acha sasa hivi moja.
Asante mkuu nitajitahidi kuacha sasa hivi
 
Habari za saa hii wana JF,

Mimi ni mmoja wa member wa CHAPUTA kwa muda wa takribani miaka miwili sasa.
Sasa leo asubuhi nilipokuwa nikipiga punyeto nikashangaa kuona badala ya shahawa kutoka yakatoka maji maji hivi kama gundi.

Sasa wadau hapa naweza kuwa na tatizo lipi na mpaka umri huu sijawahi kukutana kimwili na mwanamke yoyote.
Hebu niletee hiyo gundi kuna karatasi zangu hapa zimechanika nataka nizigundishe
 
Yah kabisa yaan hiyo ninpunyeto mkuu sasa hapo ukiwa upo na mwanamke unamchezea bas yanatoka makamasi hivi menfmgi hlf dudu linakua dhaifu pole sana mzee....karibu kwenye janga hili...au soma uzi wangu hapo juu
 
Wakuu nina wiki sasa kwenye maungio ya miguu kuna uma yani kama kumesagika hivi

Baadhi ya watu waliniambia synovial fluid ambayo ina act kama lubricant itakuwa imepungua kama sio kuisha kabisa kwa sababu ya over masturbation

Msaada wenu tafadhari nifanyaje ili nirude hali yangu ya zamani maana miguu inauma sana
hata mimi iyo ishanitokea ilikua sehemu za paja panauma kimtindo nikishajilipua,ikabid niaache nitafute demu wa kumuwasha toka apo mambo flesh__pole mkuu
 
Kwa kukushauri.... punyeto huwa ina addict, pia katika binadamu huwezi kuwa addicted kwa vitu viwili lazima kimoja ndo itakua to the maximum.....kwahiyo kama unania ya kuacha punyeto itabidi uwe serious sana ile ukishakua addicted nayo ni ngumu kuacha kama yalivyo madawa ya kulevya......kwanza kuwa na nia, pili usipende kukaa pekeyako, tatu tafuta kitu kingine jaribu kujiaddict nacho ambacho ni rahisi kuacha kama we ni fan wa mpira unaweza ukajiaddict na betting itakusaidia. Na punyeto sio nzur kama ni mwanafunzi utaharibikiwa sana......yapo mengi sana ila kwa Leo ni hayo yu...
 
Yah kabisa yaan hiyo ninpunyeto mkuu sasa hapo ukiwa upo na mwanamke unamchezea bas yanatoka makamasi hivi menfmgi hlf dudu linakua dhaifu pole sana mzee....karibu kwenye janga hili...au soma uzi wangu hapo juu
Dah mkuu nitapambana hadi niweze kuacha
 
Back
Top Bottom