Hivi mtu mpaka unafikia hatu ya kujichua n uoga
Domo zege πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Hizi mada aisee zimezidi humu

Mods inabidi waziunganishe mada zote kuhusu punyeto halafu waweke sticky kabisa
 
Nimeshangaa hujapata hata LIKE moja, Japo Umetoa Ushuhuda na Elimu ya bure (Hata kama umetuingiza chaka)...

Ndio nimekupa LIKE ya KWANZA.

Hongera sana Mdogo wangu, Umenikumbusha Mbali Sana.
 
Hivi mtu mpaka unafikia hatu ya kujichua n uoga
Domo zege πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
Kwa haraka haraka...

1.Mtt wa mdosi/ushuani
2.Hujasoma Changanyiken, a.k.a Kajamba Nani (Bweni)
3.Unatumia kimango kunasa warembo.
4.Una matatizo kibailojia.

Nakumbuka, nilifanya sanaaaaa huu mchezo miaka ya 85-89, nikiwa na nguvu za ujana.
 
Hongera sana mwana ex- chaputa mwenzetu kwa kufanikiwa kuaga ukapela
japo usijitape sana kuwa umeacha kwani leo hii yenyewe waweza jikuta umepiga
nyento japo kimoko cha kuadhimisha " 1yr Anniversary" ya kuacha puchu.

By the way TEAM chaputa (chama cha wapiga puri Tanzanzania-CHAPUTA).tunakutakia maisha mema ya kutokuwa mwanachama wa mnara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…