BIGstallion
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 6,324
- 7,913
Upo jf mwaka kasoro halafu hujui maana ya popoma???
Seriously sijui mi mgeni wa mambo kibao ndugu,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo jf mwaka kasoro halafu hujui maana ya popoma???
GENTAMYCINE muelekeze maana ya neno popomaSeriously sijui mi mgeni wa mambo kibao ndugu,
Hayo ni maoni yako na mtazamo wako
Hahahaaaa,,nikirud wadau kweli watanipokea maana nimenawa uhusika leoNyeto sio bia , et umeacha kirahis rahisi tu, nyeto ni Kama madawa ya kulevya tu, akikuuzi uyo manzi utarud kujifariji tu
GENTAMYCINE muelekeze maana ya neno popoma
Mkuu huu uzi haupo kwenye jukwaa la kidini nayaheshimu maoni yako ukiona huu uzi wa kishetani uachane nao boss kwa lugha nzuri na nyepesiMarafiki wa shetani
Marafiki wa shetani, hawakai penye jema,
Kazi yao uzaini, ukweli hawatasema,
Usiku ni mumiani, machana ni watu wema,
Marafiki wa shetani, huo
Marafiki wa shetani, huogopa malaika.
Tasnia wakibuni, himaya hujijengea,
Waishi wakiamini, hawatakutangulia,
Awasgabgaa Manani, ruia haziamini,
Marafiki wa shetani, huogopa malaika.
Nawe usiwaamini, au watakutumia,
Hiyo ndiyo yao dini, wataka kuabudiwa,
Ukimkana shetani, hatia watakutia,
Marafiki wa shetani, huogopa malaika.
Wapo tele waumini, na viongozi wajaa,
Anzia misikitini, hadi kanisani pia,
Wanafiki kwa yakini, linalofaa,
Marafiki wa shetani, huogopa malaika.
Hapa sipo kwa ajili ya kumuogopa mtu wala kituSi uniambie tu wewe unachoogopa kitu gani,..
Hapa sipo kwa ajili ya kumuogopa mtu wala kitu
Wewe ni Jinsi Gani ke au MeRejea kichwa cha habari hapo juu nakiri kwa kinywa changu kuwa nimeaga rasmi kwenye chama hiki chaputa.Imechukua muda sana hadi kuja kuacha mchezo huu mara baada ya kupata mtoto mzuri niliyeanza nae mambo ya kikubwa.Aisee asikwambie mtu kusex raha jamani loooh
By popoma aliyetukuka
Hakuna uhusiano wa ki-biology kati ya neno mzuri na jinsia.Ukiwaambiwa mtoto mzuri anakuwa jinsia gani??
unampa mapumziko mema ukiamini atarudi kwenye chama endapo akipigwa cha mbavu na huyo mtoto mzuriMapumziko mema.
Gentamycine Acha ujinga wako ww ni kama mbuni unaficha kichwa wakati kiwiliwili kipo njeRejea kichwa cha habari hapo juu nakiri kwa kinywa changu kuwa nimeaga rasmi kwenye chama hiki chaputa.Imechukua muda sana hadi kuja kuacha mchezo huu mara baada ya kupata mtoto mzuri niliyeanza nae mambo ya kikubwa.Aisee asikwambie mtu kusex raha jamani loooh
By popoma aliyetukuka
Lumumba buku saba fc upoooAsanteeeeee
GentamycineKatbu n wewe??
Acha unafiki kwanza tumia ID yako ya ZamanAsante sana mkuu
Popoma ni GentamycineUpo jf mwaka kasoro halafu hujui maana ya popoma???