Tafuta boyfriend/Girlfriend. Ukipiga show ya kikweli huwezi fanya hiyo makitu. Hizo selfie hazimalizagi hamu, bali zinachochea hamu. Ndo maana mtu anayefanya anafanya mara nyingi kwa sababu hamu inakuwa inazidi. Dawa yake ni kufanya mapenzi ya kweli fullstop.
 
Kutokua na mpenz ndio kunakufanya ww kufanya hiyo kitu. Jarib kutafuta mtu ambae utakuanae lakin pia awe anakupa doz ya ukweli kiasi kwamba usiku huwez hata kukumbuka hiyo kitu, unakua umechoka na kuridhika sana, jarib kuwa nae karib kila unapohis hizo hisia za kufanya hiyo kitu.. Utasahau baada ya mda
 
Hapo mpaka umpate mtu kama mimi ndo utaacha
 
Pole sn...as long as upo alone itakusumbua sn kuacha...acha kuangalia porn kwanza mengine yatafuatia
 
Kiangalia movie/series usiku ni hatari sana mkuu huchangia sana kuleta matamanio ya selfie
 
Hamna kitu kigumu kama kuacha nyeto.. We fanya tuu..!!
Sio kweli mkuu Akili ukiitune hivyo inakua hivyo kweli, mi nmeacha zaid ya miaka 5 sasa! Kipind napga tena nilikua hata staman demu maana utamu wa nyeto ni zaidi ya demu,

Sahv stak hata kuiskia kabsa nikihisi MAKINIKIA yana dhahabu zmezd nafanya uchenjuaji kwa njia ya kawaida(Sex), Akili ukiifanya iamue inawezekana!
 
Usithubutu kujaribu. Umeona mdada mwenzako anavyohangaika kujinasua?
Kwa nini ajinasue? Ni mara elfu kujipa raha mwenyewe kuliko kuhangaika mitaani hovyo hovyo. Bora aendelee tu mpaka atakapopata mtu wa uhakika. Sioni ubaya wowote katika hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…