Lexus SUV
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 4,493
- 5,591
Baada ya mods kufuta huzi nilouanzisha hapa..,mimi ninapenda kuwa asa wanaume kwa wanawake acheni kufanya mchezo huo ni mbaya sana yaaani bora ulale na dada poa uliye mpima damu..kuliko kupikicha pikicha viungo vya ndani...(nina mengi ya kuongea ila niishie tu hapa) kwangu mimi zaidi ya miezi 10 iliyopita niliacha mchezo huu sasa naona manufaaa ..na kujutia kwa nilichokuwa nafanya kipindi kile..,
So acheni jamani ni kitendo kibaya sana.
Ni hayo tu.
So acheni jamani ni kitendo kibaya sana.
Ni hayo tu.