Baada ya mods kufuta huzi nilouanzisha hapa..,mimi ninapenda kuwa asa wanaume kwa wanawake acheni kufanya mchezo huo ni mbaya sana yaaani bora ulale na dada poa uliye mpima damu..kuliko kupikicha pikicha viungo vya ndani...(nina mengi ya kuongea ila niishie tu hapa) kwangu mimi zaidi ya miezi 10 iliyopita niliacha mchezo huu sasa naona manufaaa ..na kujutia kwa nilichokuwa nafanya kipindi kile..,

So acheni jamani ni kitendo kibaya sana.

Ni hayo tu.
 
OK sawa, Ila wakati ulipokuwa mwanachama wa chaputa ulikuwa na wadhifa upi?
 
OK sawa, Ila wakati ulipokuwa mwanachama wa chaputa ulikuwa na wadhifa upi?
Me naona tuanzishe chama cha wanaume wanunua madada poa TANZANIA (CHAWADATA) kwa lengo la kuwa asa wanaume waache mchezo huo wa kupikicha pikicha.
 
Reactions: Dyf
'huzi' , 'kuwa asa' ni vitu gani hivyo mkuu?
 
Raia wa ajabu sana. Ingekuwa ukipiga unapata gono au kaswende au mkono unapata mimba sawa. Sasa mtu unapiga zako kimoja au viwili unakuwa safi ubongo unatulia.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu unaonekana we n mwana chama mkubwa

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Umetoa solution kwenu wanaume kuwa mtanunua madada poa,je kwa wanawake wafanyaje??au nao wanunue kaka poa??na jee kama wapo wanapatikana wapi??

Pamoja na maswali hapo juu mheshimiwa Lexus SUV naunga mkono hoja.
 
Kuna wadada kweli wanafanya hivyo!?? Kabisaa

sent from my Iphone 6s using JamiiForums App
 
Umetoa solution kwenu wanaume kuwa mtanunua madada poa,je kwa wanawake wafanyaje??au nao wanunue kaka poa??na jee kama wapo wanapatikana wapi??

Pamoja na maswali hapo juu mheshimiwa Lexus SUV naunga mkono hoja.
Tukiwa tongoza nyie dadaz msiwe mnaweka vizngiti eti kumpima .....achaneni na hizo bwana mkitongozwa kwa ajili ya kwichikwichi............jibu nifate baadae tuongeee @(full stop) na siyo maneno mengi utazani gerezani...
 
toa hoja za msingi ,usiongee kitu usichofanyia utafiti ,ingia google hakuna mahali madaktar wamesema punyeto inamadhara,ila ni nzuri kwa afya,acha kudanganya watu,hatuwezi kuacha kupiga,by mwenyekiti kitaifa wa CHAPUTA
 
Me naona tuanzishe chama cha wanaume wanunua madada poa TANZANIA (CHAWADATA) kwa lengo la kuwa asa wanaume waache mchezo huo wa kupikicha pikicha.
hatunapesa ya kuchezea ,wkt raha tunayowenyewe ebo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…