Nafika vizuri tu bila assistance yoyote!
.
.
Tatizo ninaloliona now ni kukosa hamu kama nitakuwa nimefululiza sana kujichua. Kusema ukweli natamani niache lkn ni kama imekuwa addiction inanitesa.
 
Nafika vizuri tu bila assistance yoyote!
.
.
Tatizo ninaloliona now ni kukosa hamu kama nitakuwa nimefululiza sana kujichua. Kusema ukweli natamani niache lkn ni kama imekuwa addiction inanitesa.

Karibu Pm nikufundishe
 
Wafungue darasa LA kuacha puli ikiwekezaka adhabu Kali itatolewa kwa atakaejichua kutakua kuna kutwa na bweni.. La sivyo ndoa zitavulugika

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Ungenifundisha hapa ingewanufaisha na wengine pia!

bafuni ndio sehemu ambayo inatumika sana na watu wengi kupiga punyeto hivyo ni vizuri kua na mikakati ya kujizuia ukiwa huko kwa kuoga haraka na kuondoka, pia unaweza kuanza kuoga maji ya baridi ambayo mara nyingi hayatoi muhemko wa kupiga nyeto, tundika chochote kwenye angle ya meza, kochi / kitanda kama napo ni moja ya vitendea kazi vyako.

Acha glafla usiseme leo ndio mwisho itakucost utasema ivo kila siku
 
Nikiwa naoga siwazi hiyo kitu. Bali nikiwa alone kwa bed. Asante kwa ushauri. I MUST STOP.
 
Msaada wote utaupata kwangu hiyo ndio idara yangu [emoji23] [emoji23] [emoji23] rudi chumbani nikutibie.
 
Habari Mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kula vyakula vya kiasili ikiwa ni pamoja na mbogamboga za kijani kama vile mchicha, ila zisiivishwe sana, bamia na nyanya chungu, ndani ya wiki moja tu then tupe mrejesho.
 
Kula vyakula vya kiasili ikiwa ni pamoja na mbogamboga za kijani kama vile mchicha, ila zisiivishwe sana, bamia na nyanya chungu, ndani ya wiki moja tu then tupe mrejesho.
Hivyo vinavyopuliziwa madawa ya kizungu?
 
Follow this link to join my WhatsApp group: GENERAL KNOWLEDGE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…