Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Mkuu najitahidi sana, huwa naomba sana mke wangu anisaidie kuacha. Tena siku hizi nimegundua puli aina nyingine, yaani navaa condom then nakunja nguo kwenye dushe then naukaza mto {pillow}. Tatizo utamu wa puli upo nje nje sana wala huitaji kuumiza akili, hadi ubembeleze, mara uanze kumpapasa mwenzio hadi apate genye......
Sawa mkuu
 
Mkuu Benfamous hata Mimi nilisumbuliwa na suala kama hilo lako, yaan uume kuwa teketeke nilikula mazaga yote na tizi gumu ngoma bado. lakini nilikuja kugundua kuwa ni suala la kisaikologia tu nikajicontrol na kujiona sina tatizo, believe me sasa hivi nimekuwa zaidi ya faru dume, hata dumu la maji Lita tano nabeba, viboko vyangu sio masihara havivumiliki, na sasa nishajaza mtu mimba. Wewe usife moyo jaribu kujikubali tu kuwa huna tatizo hata kama unawahi kumaliza chukulia ni hali ya kawaida, mwezi hautaisha nakuambia utakuwa bora maradufu
 
Dah.... Inategemea sababu ipi ilikufanya uwe mwanachaputa.... Kama kwasababu hukuwa na dem basi kila heri mkuu....Wengine wapo kwasababu mbalimbali....bajeti imebana....mida ipo kidogo(bize)....wanataka Uhuru... Sababu ni nyingi sana[emoji41] [emoji87]

Sent from my beretta ARX 160 using JamiiForums Mobile App
 
Nimekuelewa sana mkuu. muhimu maelezo yako uyaweke katika mpango mzuri ili mtumiaji asichanganye matango pori. kiufupi tiba imekamilika.
 
Wanabodi husika na kichwa apo juu mimi nikjana naelekea 25 yrs,niende kwenye tatizo langu ni kwamba katika balehe yangu 14 yrs niliingia rasmi kwenye hii ishu ya nyeto nilidumu nayo mda mrefu naweza sema niliacha nikiwa na kam 19 yrs.

Hasa naona kabisa haijaniacha salama kimaumbile ya korodani ni kwamba zimekuwa ndogo mpaka naogopa yani moja yaupande wakushoto nikiishika kama vile gololi za watoto vile, dah inaniogopesha endapo ntaingia kwenye ndoa manake nikisex malamoja kwa wiki zinapungua hasa naogopa mfano nimeoa afu wiki nzima nikipiga shoo dah naogopa kweli naonakama zitapotea.

Kwenye ishu yakusimamisha sina tatizo kabisa yani ni rijali ipo strong tatizo ni korodani kuwa ndogo sana

Naombeni msaada wenu nitumie njia gani au vyakula gani kuongeza korodani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom