Habari wakuu.

Wengi wetu, tumekua tukijichua(kupiga punyeto) pale tunapopatwa na hamu(mzuka).

Wengine wamekua wakijichua hadi mara tatu kwa siku.

Ikumbukwe kuwa, nyama za sehemu zetu za siri(uke na uume) ni laini mno. Pale tunapotumia kiganja cha mkono kuuchua uume, tunatumia nguvu nyingi ilimradi kuuminya uume kupata mchuo wa ladha uitakayo. Vile vile kina dada vitu wanavyotumia kujichua, huwa siyo laini.

Hayo husababisha nyama ya sehemu hizi nyeti kupata sugu na kutokua na ile nyama yake laini ya asili.

Hivyo, kwa mwanamume ambaye amepiga punyeto sana, akifanya mapenzi na mwanamke hushindwa ku enjoy penzi kutokana na uume kutokua na ngozi yake ile ya asili laini ambayo ndiyo chachu ya utamu. Hata kama mwanamume huyo anafanya mapenzi na mwanamke ambaye hajawahi kujichua, hawezi kufurahia penzi kwa ladha ile ya asili. Wanaume wengine wanaweza fanya mapenzi na mwanamke, kutokana na kutofurahia tendo kwa kutopata msuguo kama waupatao mkononi, baada ya tendo hurudi na kufanya punyeto ili kujiridhisha tu.

Hii hali ipo pia kwa wanawake. Mwanamke ambaye anajichua, hata akutane na mwanaume wa shoka ambaye hajichui, hawezi kufurahia tendo na kuipata ile ladha ya asili. Hivyo anaweza kumaliza show alafu akirudi mlango wa nyuma anajichua ili apate msuguo wa nguvu wenye ladha aitakayo.

Kama wewe unafanya punyeto hadi sasa, nakusihi uache mara moja. Maana unajitafutia maradhi ya kutokuja kuenjoy penzi.

Kama umeshaacha punyeto na unatamani sana upate ule utamu wa penzi natural, unachotakiwa kufanya ni rahisi sana.

Nunua Dark Chocolate, uwe unakula asubuhi, mchana na jioni. Nakuhakikishia ukifanya hivyo kwa mwezi mmoja, unairudisha mwilini mwako ile hali ya kupata utamu halisi wa penzi.

Wakati unafanya hivyo, ni nyema ukaongezea na kunywa chai yenye mchanganyiko wa Tangawizi, Mdalasini na Asali. Hivi vina enzymes zinazoamsha hisia za kimapenzi na kuongeza nguvu za kiume kwa akina kaka.

Kikombe hicho cha chai, inabidi uweke mdalasini kijiko kimoja, asali vijiko vitatu hadi vitano, na Tangawizi nusu kijiko hadi kijiko kimoja. Chai hii utainywa asubuhi kabla hata ya kula chochote, na jioni kabla ya kula chakula cha usiku. Chai hii utainywa kwa wiki tatu na kimsingi lazima utaona mabadiliko.

Vitu vingine vinavyoweza kukusaidia wewe mwanakaka katika kuimarisha nguvu zako za kiume ni Pamojaa na kula ndizi mbivu na vitunguu saumu mara kwa mara.

Hakika ukifanya hayo, mambo yatarudi kuwa ya asili kabisa. Cha msingi kabisa ni chocolate, hivyo vingine ni mazungumzo baada ya habari.


Ngoja Nipate chai yangu ya Tangawizi +asali na mdalasini kikombe kimoja narudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…