Pole sana Mkuu, hayo matatizo yanawakuta wengi. Vipi ukikutana na Mwanamke mwingine tofauti na mkewe? Maana issue hapo ni saikolojia na mazoea katika hisia
 
Habari yako ndugu yangu.
Napenda nikupe pole kwa hali hiyo na nikupe hongera kwa kuacha kwa miezi miwili dawa ya kurudisha nguvu za kiume ni hii
chukua
-Asali
-kitunguu swaumu nyembamba
-tangawizi

kata tangawizi kwa vipande vyembamba changanya na kitunguu swaumu(bila kuviponda) na asali mbichi isiyo pikwa au kuchabganywa na chochote
Mchanganyiko uwe wa kutosha

kisha uache huo mchanganyiko kwa masaa kumi na mbili mara baada ya kuuchanganya

Matumizi
utakuwa unachota mchanganyiko wa kitunguu swaumu na tangawizi kijiko cha chakula na kula mchanganyiko huo vijiko viwili.
utakula mchanganyiko huu baada ya kula na saa moja kupita.
 
Nambeni ushauri
Nenda youtube search, penis milking, pia kuna video zingne znaeleza namna ya kuamsha misuli, kuweka taulo ya maji moto(vuguvugu) chini ya pinas* na kuupaka mafuta na kuanza kuukamua kama unakamua ng'ombe, ukiwa umesimama,
Kwa muda wa wiki mbili
Asubuh na usiku.

NB: kuzingatia mazoezi utapata matokeo mazuri zaidi.
Unaweza kujichua hata kwa asali.

NB: usije kujipiga tena mapuli wakati wa zoezi, kamua kuelkea kichwani kuanzia kwe shina (angalia kwa mkuaji wa n'gombe)

Hii njia ndo pekee iliyonisaidia
Baada ya kua chaputa kwa miaka 2 kwa upigaji puchu uliotukuka.

NB: MIMI SI MTAALAMU BALI VICTIM NILIYEONA.
 
Pole sana Mkuu, hayo matatizo yanawakuta wengi. Vipi ukikutana na Mwanamke mwingine tofauti na mkewe? Maana issue hapo ni saikolojia na mazoea katika hisia
Hivi hii yaweza kuwa dawa eeh? Mfano mtu anagegeda mdada 2 yrs then ghafla hamu inakata, yaani kimoja tuuu gemu inapotea while binti still yupo hot, je man akiamua kubadili king'amuzi channel zitasoma zote?
 
Hili ni kubwa sn,na linachangia.
Mwanamke mmoja lazima utamzoea na hutamgegeda vilivyo kama mlipoanza.
Ila ukipata new utajishanga hizo pumping na upigaji wako wa mashine
 
Hivi hii yaweza kuwa dawa eeh? Mfano mtu anagegeda mdada 2 yrs then ghafla hamu inakata, yaani kimoja tuuu gemu inapotea while binti still yupo hot, je man akiamua kubadili king'amuzi channel zitasoma zote?
Huwa zinasoma maana wengine huwa ni tatizo la hisia. Ndio maana wengine huwa wanawafanya wake zao kwa kutumia hisia za Michepuko hasa ile inayojituma
 
Huwa zinasoma maana wengine huwa ni tatizo la hisia. Ndio maana wengine huwa wanawafanya wake zao kwa kutumia hisia za Michepuko hasa ile inayojituma
Ha ha haaaa, mtu upo juu ya wife, kumbe mkuyenge unamgegeda Fatuma viuno!!! Duh!!
 
Nimekuelewa sana, Hongera kwa kuwa Muwazi maana wengine wanakausha ndio maana hawaponi. Ukifunguka stress zinakuwa free.
 
Ha ha haaaa, mtu upo juu ya wife, kumbe mkuyenge unamgegeda Fatuma viuno!!! Duh!!
Ndio hivyo kwa walio wengi. Ukichukulia wake zetu wanaishi kimazoea, sio wabunifu, hawapendi kwenda na wakati. Ukikutana na Mchepuko unakuona kwa manati unategemea nini?
 
Ahah ww unamatatizo yako tu Mkuu tena kwa taarifa yako nyeto + mazoezi inatengeneza bonge moja la nguvu za kupiga mashine muda mrefu bila kufika kileleni
Kwa hili nakubali, ila kuna namna ya upigaji kama wanavosema vilainish nk
 
True, mim kimbe ndo maana nachelewega sana
 
Nimekuelewa sana, Hongera kwa kuwa Muwazi maana wengine wanakausha ndio maana hawaponi. Ukifunguka stress zinakuwa free.
Sawa mkuu, uwazi hapa ni muhimu. Yani HILI TATIZO TIBA ZAKE NI KUTIBU MISULI KWA MAZOEZI NA KU CONTROL PSYCHOLOGICAL INFERIOR.

Siku hizi napiga moja tu ya dk 30-40, huwa sirudiagi labda new partner
 
Ni ngumu sana Kuacha punyeto kama Utaendelea kuangalia Ponooo...!! Yanii ukiweza.kuacha kuangalia ponooo bhasi kazi imeishaa... Au wew huwa unapigaa tuu bila haya Pono mzee!??? Bhasii utakuwa upo Level ya MASTERS kabisaa... Kuacha hapo tafutaa demuu tuu
 
Mim mbona nlikuwa na phd nimeacha? Mkuu adhamirie tuu kuacha.
 
Majibu ya humu inabidi mtu acheke
Heli yako wewe umeoa mimi sitamani kabisa mwanamke
Kwa kulala naye. Nikisha muona tu mwanamke mawazo yangu yote yanakimbilia kwenye SABUNI

Mkuu siku hizi kuna New Vesion sio sabuni tena ni mwendo mdundo wa vaseline unaimix na mafuta yanazi inavoteleza ***** kama papuchi ya dent wa fom2
Mambo ya soap ni Old Vesion hio ya kizamani[emoji1321]
 
Ulikuwa unapigaa bila Kuangalia pono???? Dawa block site za ponoo...
Mi yang ndo ilikuwa death level nkishamueka mke WA mtu kichwani ,jimama ata mbibi napiga balaa, bila porn wala picha,nlikuwa hadi natoboa mattress, napiga balaa, ila yale manguvu bado yapo, SHETAN KAFANYA KAzi nami sana loh,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…