Jamaa angu amkeuwa addicted na hii kitu inaitwa masturbation kiasi kwamba hafichi akienda kufanya vitu vyake husema kabisa. huanza na kuangalia picha za ngono kisha kutafuta faragha kwa ajili ya upuuzi huo.
- afanyeje iliaweze kuacha?
- nini madhara yake asipoacha?
- je, kuna dawa akitumia itamrejesha katika hali ya kawaida?